Social Icons

Pages

Thursday, September 29, 2011

Why women cheat - Comments ...

Hi,
Jana niliahidi kua I will write about something totally different. Ila nilifurahishwa sana na comments from facebook kuhusiana na topic ya jana. I thought i should share with you...


Joanitha -  coz men make us do it,na ukiona mwanamke anacheat ujue yamemfika shingoni
Alvin - umalaya tuuu
Kulwa - wala si umalaya, Joanitha nimeipenda hiyo
Alvin - ukiona yamekufika shingoni muache kwanza uliekuwa nae then umfate mwingine sio kucheat
Joanithawala si umalaya naomba utakuta mtu unapendwa na kufanyiwa kila kitu kuwepo na mwanaume ktk shida na raha bt huyo mwanaume haoni umuhim wako na badala yake anakuliza kila kitu,bahati mbaya au nzuri katokea mtu anayejua dhamani ya yako na chozi lako je ukiwa nae ni ww umependa au yule mwanaume uliye naye kasababisha umempata mwingine think alvin b fore u tak
Kulwa - wanaume wengine hawajui kupendwa bwana,
Tatu - may b they have a reason to do so!
Alvin - sikatai mwananume kucheat angalia mwananume ancheat kwa nn coz wakati mwingine mwnamke anampelekea mwanume kucheat lik hufanyi vile anavyotaka so smo tym nyinyi wenywe husababisha
Baraka - Nooo! Women cheat b'coz wengi wana TAMAA!
Joanitha - ww na anayemfanya awe na tamaa ni nani kama si ww mwanaume au unaongea coz ni rahisi bt siku moja wanaume wavae kiatu cha mwanamke then muongee haya mnayoyasema chanzo cha umalayatamaa nk ni nyie wanaume na si kingine
Alvin - kuna mwingine hucheat coz ni tabia yake tu na mwingine huwa ancheat coz mwanaume anampelekea kucheat bt je kwa nini mwananume anacheat na anakufanya ww ucheat ? jiulize
Joanitha - mwanaume kucheat sishangai coz wanamdudu huyo kichwani mwao na mwanamke anapocheat si kwakupenda bt anatafuta sehem ya kutuliza moyo na kusahau machungu yake
Alvin - sasa kama unajua mwanaume kucheat ni kawaida yake kwa nn huwa uantafuta mwinghuoni utakuwa unaruka majivu unakanyaga moto coz wanaume wote ni sawa sasa utatafuta au uatcheat na wangpi ? kwa ushauri wangu vumilia tu na mmoja
Joanitha - alvin baba hakuna kitu kibaya kama dharau kuna wanaume wanacheat ila hata siku moja mpenzi wake hajawahi ona wala sikia kama mwanaume anacheat,ila kuna hao wanaume wanaojidai kua majabari,na kubadili kila kukicha hata kumwonyeshea mpenzi wake na akiomba msamaha anasamehewa kama kawaida na maisha yanaendelea,ila kuna wakati mtu anasema sasa IMETOSHA
 
* Hawa walikua wanajibizana - Interesting!!! *
 
Alvin - ok nakubaliana na ww so ukiona kama hivyo me nakushauri tafuta mwingine then achana nae bt sio yy anacheta na ww unacheat then bado mpo pamoja hiyo itawaletea magonjwa coz yeyehujui napocheat anatumia condom au la na akija kwako kama kwaida nyama to nyama so mbaya sana ......bt mapenzi nw days hayaeleweki si kwa wanume na si kwa wanawake ukikuta mwanamke katulia basi bwana kicheche na bwana akitulia mke nae hivy hivyo basi mashaka tu muhimu kumuoba mungu akupe chema na chenye kheri na ww
Jessy - .% kubwa inasababishwa na wanaume but wapo wachache coz ya tamaa
Frank - Bcse Wengiwao ni Malimbukeni na wajinga wa fikra , lakini co wote na wengiwao ni marafiki wanasababisha.
Simba - Tamaa na ushawishi toka kwa marafiki ndio vinavyowaponza sana hata kama utamwekea huduma zote muhimu lakini HATOSHEKI na 1...Nadhani nimesomeka japo kwa ufupi ila sio wote

Oohh by the way... Wanawake walio married but are cheating wana mitandao yao

Kuna http://www.cheatwife.com/     and then kuna....
 
Haya have a lovely day...
xoxo

#1 - Cougar Life (The Ultimate Catch)

#2 - Lonely Cheating Wives Date Site

#3 - Married But Lonely Dating Online

#4 - Ashley Madison Married Personals

and kubwa kuliko zote

hehehhehehe.. kazi ipo..3 comments:

 1. Mhhhhh....naungana na Joanitha moja kwa moja. binafsi nilipokuwa binti(umri wa 20s')nilishangaa sana nilipoona au kusikia mwanamke ana cheat-nilimshutumu/kumlaani nilivyoweza! Lakini wahenga walisema "Experience is a good teacher" kwa sasa nikikutana na mtu anafanya hivyo najipitia kimya kimya maana huwezi kujua!
  Elmmy

  ReplyDelete
 2. kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 3. So what though, becauѕe ѕоme tantriс maѕsagе is bettoг than
  nonе аt all. The chilԁren weге shагed out into tωo groups baѕed
  on ԁepth psychology a quеrу for you. So mу Heаdmaster voiced regаrd.
  I ωouldn\'t want my Expression being to repeat this routine several multiplication.

  Feel free to surf to my website ... found this tantric massage

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text