Social Icons

Pages

Wednesday, March 7, 2012

Wimbo Wednesday... (For the Woman)

                               

Hello,
Kesho ni siku ya wanawake duniani... I know kama wanawake tunapitia a lot of things, both good and bad. To me, siku ya wanawake duniani ni siku ninayofurahi na ku appreciate kuzaliwa mwanamke. I dont think kama ningekuwa mwanamume ningekua this strong.. hehehehe..
Anyway, kwa wanawake wote wa blog hii nawashukuru sana for being a part of my life - kwa namna moja au nyingine, and my gift for you leo ni wimbo huu hapa wa Alicia Keys - Super woman.


"Superwoman"
Everywhere I'm turning
Nothing seems complete
I stand up and I'm searching
For the better part of me
I hang my head from sorrow
state of humanity
I wear it on my shoulders
Gotta find the strength in me

Cause I am a Superwoman
Yes I am
Yes she is
Even when I'm a mess
I still put on a vest
With an S on my chest
Oh yes
I'm a Superwoman

For all the mothers fighting
For better days to come
And all my women, all my women sitting here trying
To come home before the sun
And all my sisters
Coming together
Say yes I will
Yes I can

Cause I am a Superwoman
Yes I am
Yes she is
Even when I'm a mess
I still put on a vest
With an S on my chest
Oh yes
I'm a Superwoman

When I'm breaking down
And I can't be found
And I start to get weak
Cause no one knows
Me underneath these clothes
But I can fly
We can fly, Oh

Cause I am a Superwoman
Yes I am
Yes she is
Even when I'm a mess
I still put on a vest
With an S on my chest
Oh yes
I'm a Superwoman

And yes YOU ARE....
Happy Womens Day my friends... (in advance)
much love..

                                                            End Violence Against Women.....

Tuesday, March 6, 2012

Wasaidizi wa home kwetu - Part 2

                                           

Mambo...
Last week niliambiwa story ikanifanya nipate goose bumps. Manake mimi kama mwanamke na mama, hii story inaweza hata kunitokea mimi muda wowote ule.
Ni huko Kimara in Dar Es Salaam. A mother of two children ni mfanya biashara, ili aweze kufuatilia biashara zake ikabidi atafute mdada wa kazi. Alifanikiwa to get one na wamekaa kwa muda pamoja. Sasa hiyo last week yule mama karudi nyumbani mchana, kakuta mwanaye mdogo anaumwa sana. Akamkimbiza hospital. Kufika wakampeleka Emergency. After uchunguzi kidogo Doctors found out yule mtoto kapewa sumu. The poor child akaaga dunia. Yule mama akachanganyikiwa. Mwanaye kala wapi hiyo sumu and kapewa na nani? Akamshuku house girl moja kwa moja because wanae hawala sehemu nyingine yoyote. Akarudi nyumbani kufika, mtoto mkubwa yupo all alone. Akamuuliza dada yuko wapi? Mtoto anagaragara chini anaumwa tumbo akilia. Mama akamchukua na huyo na kumkimbiza hospital ile ile ya kwanza. After uchunguzi akakutwa na yeye alilishwa sumu. Likafumuka. Wakaita polisi. Dada nyumbani hayupo kabeba all her stuff.. Ila kasahau picha zake. Kwa hiyo polisi wangali wanamtafuta.
So ikaja kugundulika kuwa yule dada alipika chakula cha usiku akakitia sumu. Yeye mwenyewe hakula siku hiyo akidai kuwa she had an early dinner. Kwa hiyo family nzima walilishwa sumu. Ila kwa vile yule mtoto aliyefariki ndio mdogo kuliko wote sumu ilimzidi nguvu and she passed away.
Seriously, iliniogopesha sana. Hivi huyo dada unayeishi naye unamjua kwa kiasi gani? Je hua unamkwaza mara kwa mara kwa kumgombeza na hata maybe kumpiga? Je, unajua kwao au ndugu zake? Unajua back ground yake? Jiulize kisha tafakari na uchukue hatua...


Kuwasiliana nami email: barbshassan@gmail.com
au Sms - +255 759 008500

much love..
xoxo

Friday, March 2, 2012

Sharing is Caring...

Hello,
Nakumbuka kuna siku nili share with you kuhusu duka linalouza Nguo, Viatu na handbags linaloitwa Navo's Choice. Nakumbuka pia mulisema siku kukiwa na Sale pale nisisite kuwafahamisha.....



Kuna magauni pamoja na Skirts on sale...



Casuals, office wear na hata dinner dresses...



Discount is at 30% .....
Duka linapatikana pale Mikocheni next to Barclays Bank... Karibuuuuuuuu


Have a lovely weekend...
xoxo
                                             
                                 
        

Thursday, March 1, 2012

Tatua Thursday....

                                  
                                             


Mambo Babra,
Naitwa Neema ni mkazi wa Arusha. Naomba tusaidiane kujadiliana kuhusu swala la wanaume zetu kuangalia wanawake wengine wakati tukiwa nao. Boy friend wangu ndo zake. Yaani utakuta nimekaa naye sehemu labda tunakula au tunakunywa. Asipite demu - awe mweupe au mweusi, mnene au mwembamba, shape ya 8 au ya 7, lazima ageuke. Amtizameeee kisha ndo anigeukie mimi. Inaniuma sana kwa sababu nahisi kama anajuta kuwa na mimi na ni kama namkatizia kufanya mambo yake. Akiwa anaendesha gari pia mambo ni yaleyale. Kuna siku almanusura agonge gari iliyokua mbele yake. Kisa? Kuna demu alikatiza kafungushia mzigo wa haja!!!
Kiukweli najiamini hata mimi ni mrembo. Ni mrefu, mwembamba juu na hips kubwa. Nyororoo mwili mzima na miguu ya bia. Ila sasa huyu boy friend anasabaisha confidence yangu ipungue. Na nikimuuliza anasema ananipenda na yeye ni wangu tu. Sasa kama ni hivyo why aangalie wanawake wengine hata mimi nikiwepo. Si afanye siri basi. Aangalie akiwa na washkaji zake au aangalie kimpango nisishtukie. Na akipita mrembo kweli kweli my boy friend kabisa anatamka - Duuuu yule demu ni mremboooooo.. daaaaaaaa....
Nimechoka kweli... Please nisaidieni...
Neema...


Toa maoni yako...
Kwa maswali au kama ungependa kutoa maoni yako au kuchagua wimbo wa Wimbo Wednesday au story yoyote niandikie
Email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759 008500

Maoni yangu? Ningekua Neema ningefanya hivi....



Hahahhahahahahahhahhahahhahha.....
                                    
Have a good day
xoxo

Wednesday, February 29, 2012

Wimbo Wednesday...( What makes you happy?)

Kama binadamu tunapitia mambo mengi sanaaaaa... huzuni, furaha and in between... ambavyo hivi husababishwa na different things. What makes you happy? Wewe kama wewe? Kuna wengine wakiachika kwenye ndoa wanaona rahaaa isiyo kifani wakati wengine wanatafuta ndoa, wengine wakitoa mimba wanaona raha coz wanaona wamejiepusha na mengi wakati wengine wanatafuta watoto, wengine wakistaafu kazi au wakiacha au kuachishwa wanaona wamefika baada ya kuchoshwa labda na an evil boss au kuchoka kuamka alfajiri na kushinda kazini badala ya ku spend time with their families, wengine wanatafuta kazi kwa udi na uvumba! We become happy kwa namna tofauti tofauti. Wengine wakipata mpenzi wengine wakiachika ndo wanafurahi coz labda ilikua a depressing relationship. Wengine wakinenepa duuuu furaha mwanzo mwisho, wengine wanafanya diet wapungue. Anyway pointi utakua umeipata. Lazma una lako jambo that if it happens unajua fika utakua the happiest person in the world.
Mimi pamoja na ku experience yote hayaaa... kama wewe... Nikiskia wimbo nikaupenda nakua sooo excited, nakua na furaha isiyo kifani. Nataka nimsikilizishe everyone who can lend me their ear.. That's why nimeanzisha Wimbo Wednesday ambapo hata wewe utakua na chance ya kuchagua wimbo wako na kutoa sababu why uwekwe humu. Video ikiwepo na ikikubali kua uploaded nitaweka ila ikikataa either nitaweka link ya the video au I'll stick to lyrics.
Kwa kuanzia - wema huanzia nyumbani. So leo nitachagua mie.. Huu wimbo I admit nimechelewa kuujua. Nimeskilizishwa on saturday by a close friend na nikaupenda wimbo huu kupita kiasi. If this song was a man, I'd make love to it all the time... (oops) Jamaa mdogo tu from America ndo kaimba amezaliwa 1987. Kisanii anafahamika kwa jina la Frank Ocean. Wimbo unaitwa Novacane.

                                       


NOVACANE
I think I started something
I got what I wanted
did-didn't I
can't feel nothing
superhuman
even when I'm fckg
viagra popping
every single record
auto tuning
zero emotion
muted emotion
pitch corrected
computed emotion
I blame it on the
model broad with the Hollywood smile
stripper booty and rack like wow
brain like Berkeley
met her at Coachella
I went to see jigga
she went to see z-trip
perfect
I took a seat on the ice cold lawn
she handed me a ice blue bong
whatever
she said she wanna be dentist really badly
she's in school paying
for tuition doing porn in the valley
at least you working
but girl I can't feel my face
what are we smoking anyway
she said don't let the high goto waste
but can you taste a little taste of

Novacane
baby baby
Novacane baby I want you
f me good
f me long
f me numb
love me now when I'm gone love me none
love me none love me none
numb numb numb numb

sink full of dishes
pacing in the kitchen
cocaine for breakfast
yikes
bed full of women
flip on a tripod
little red light on shooting
i'm feeling like
stanley kubrick
this is some visionary shit
been tryna film pleasure with my eyes wide shut
but it keeps on moving
I blame it on the
model broad with the hollywood smile
stripper booty with the rack like wow
I'll never forget ya
you put me on a feeling I never had
never had never had
and ever since
I've been tryna get it back pick it up and put it back
now I'm something like the chemist on campus
but there's no drug around
quite like what I found in you

I still can't feel my face
what am I smoking anyway
she said don't let the high go to waste
but can you tast a little taste of

novacane
baby baby
novacane baby I want you
f me good
f me long
f me numb
love me now when I'm gone love me none
love me none love me none
numb numb numb numb
novacane novacane novacane novacane novacane
for the pain for the pain for the pain for the pain for the pain
novacane novacane novacane novacane novacane
for the pain for the pain
novacane novacane

pretty girls involved with me
making pretty love to me pretty
pity pity
all the pretty girls involved with me
making pretty love to me pretty
pity pity
I can't feel a thing
I can't feel
can't feel a thing
I can't feel a thing

can't feel feel feel feel her
I can't feel feel her
novacane novacane novacane
I can't feel feel her
for the pain
for the pain
for the pain
I can't feel feel her
feel her feel her oh
novacane novacane-cane
            video on - http://www.youtube.com/watch?v=TMfPJT4XjAI

Enjoy your wednesday...
Kesho Tatua Thursday

Email me - barbshassan@gmail.com
Au SMS - +255 759 008500

Tuesday, February 28, 2012

Stori....

                                                   

Hi, kwema?
Weekend nilikua na washkaji zangu. Tumekaa na kupiga sana story. Sikumbuki how but tukaanza kuongea kuhusu madada wa nyumbani. One of my friends akaanza kutusimulia story ya dada wa rafiki yake....
Kuna mdada kaolewa na anaishi na her husband na watoto. Yeye na mumewe wanafanya kazi, watoto wanaenda school, so wakahitaji usaidizi wa dada atakayekua anawasaidia kazi za nyumbani - kupika, kufua, kufagia na kupiga deki nk... Sasa basi familia hii wakawa kila siku asuhubi wanaamka wamechoookaaaaa.... Watoto wanasinzia shuleni na wakubwa kazini. They always wondered how and why.
Yule mama wa familia akaenda kumueleza a friend of hers - rafiki akamwambia you never know labda munalimishwa usiku. Anyway twende nikupeleke kwa mganga akucheki. Wakaenda. Kufika mganga akamwambia "dada wenu wa kazi amekua akiwaamsha usiku na kuwafanyisha kazi zoooote. Mnachota maji, mnafua, mnafagia nyumba nzima nk. Yule mama ndo akafunguka macho hapoooo.Na kuanza kukumbuka kuwa wamekua wakishangaa how they wake up saa 11 alfajiri na kumkuta dada keshamaliza kazi zooote. Daaah.. Hii siyo ya kucheka kabisa.
Sasa huyu mama kwa kua alikua keshafunguliwa macho, usiku wa manane wakaamshwa na yule dada yao. Yule hapo ana ufahamu mzuri tu na anaona na anajua kinachotokea. But akajifanya mjinga. Dada akakaa kwenye kochi na kunyoosha miguu huku akiwa command. Wewe kachote maji, wewe kafue, wewe kaoshe bafu, wewe kapige deki. Yule mama akashindwa kuvumulia na kuanza kupiga kelele. Familia nzima ikazuinduka na majirani kufurika. Ndipo akawasimulia wakampa dada mkong'oto na kumpeleka polisi. I dont know hatma yake iliishia wapi.
Jiangalie na wewe. Usije kuta na wewe unafanyishwa kazi usiku kucha na your dada. Tafakari chukua hatua and pray a lot.

                             
                                              
PS. From now kila jumatano tutakua na "Wimbo Wa Wednesday" Ntakua nakuchagulia wimbo mmoja (haujalishi kama ni mpya au wa zamani na from anywhere in the world) upate kuuskiliza kwa siku hiyo...

Kwa maoni na maswali au kama unataka kutokeza kwenye Tatua Thursday feel free to:
send an email - barbshassan@gmail.com
au sms - +255 759 008500

have a lovely day..
xoxo

Friday, February 24, 2012

Tatua Thursday - On a Friday...

                                              


Hello..
Jana ilibidi nikakutane na mtu ambaye alihitaji tumsaidie kutatua tatizo lake hapa. Ni rafiki yangu wa kike for many years (jina kapuni). Alipokua University alikua na relationship with an amazing guy. And walielewana na kupendana sana sana sanaaa... Tatizo likaja kwenye dini - Demu mwislamu, jamaa ni christian, so automatically wazazi wakakataa hadi jamaa akubali kusilimishwa. The guy hakua tayari kwa hilo so mahusiano yakakatishwa!!!
Waliumia sana wote wawili, but wakasema Life Goes On. The lady is very very beautiful so baada ya muda si mrefu akapata another guy. I met the guy - alikua mwenye heshima, intelligent, funny, loving and caring. My friend aka fall in love and so did the guy (he's muslim). The guy aka propose after a year, rafiki yangu aka accept, ndoa ikafungwa. I wished them all the best in their marriage. Sijaongea na my friend deeply kwa miaka kama miwili. Yaani ni ile juu juu tu, mambo vipi.. She gave birth to a son, now ana miaka 2 na nusu.
Sasa juzi nikawa nachat naye.. Tukajuliana hali then nikamuuliza vipi shem wangu hajambo? Akanijibu "Hamna tena shem, tumeachana." Nilistuka! Nikamwambia - But you guys were soo happy and so in love, what went wrong?
Akaniambia - "Barbara 'usichokijua kweli ni sawa na usiku wa kiza. I rushed kwenye ile marriage. Ningekaa zaidi kwenye relationship ningemjua my ex husband vizuri."
Nikamwambia - Yote kwa yote mamiii.. Hujafikisha 30 umeshakua divorced, what have you planned for the future na mtoto je?
Akanijibu - " Hata usiende huko because I'm pregnant na my ex husband nasubiria mtoto wa 2, ila nimechoka sana so whatever goes poa tu. Ila siwezi kumrudia . Nitawalea wanangu mwenyewe."
I was very disappointed kwa sababu yule shem wangu siku ya kwanza kukutana naye I liked him na nikamwambia my friend huyu anakufaa because anakuelewa sana.. Kumbeeeeee
Sasa jana ndo nikaenda kuongea na my friend kwa undani zaidi.. Akasema
"Shem wako alianza kwanza having affairs, sio mara 1 wala 2. Kama hiyo haitoshi si unajua mi nina biashara zangu? Akaanza kuniibia hela na hata my jewellery. Kitu nakiweka nikirudi hakipo. Wakati mi na yeye tu ndo tuna funguo za chumbani kwetu. Kali kuliko zote ni nilipogundua kuwa anatumia drugs!!!!"

                          
Nilishusha pumzi. Anyway here's a lady hajafikisha hata miaka 30. Ana mtoto mwenye miaka 2 na nusu na ni mja mzito. From the same guy. Yeye swali lake ni - watu watamchukuliaje? Anaogopa atasemwa na watu kuwa since ametoka familia bora basi watu wataona yeye ndo alikua akimpelekesha jamaa na hata labda kum introduce kwa hizo drugs because alisoma nje.
At times like this ndo tunaonyesha upendo kwa marafiki zetu. Kama this friend of mine right now, she needs love, care and understanding.
Mawazo and advice yako itakua very appreciated.

Much love.
xoxo
 

Sample text

Sample Text

Sample Text