Cindy
katikati Mwimbaji mahili wa kike wa mwanamuziki Kofii Olomide akiimba
jukwaani kalba ya Kofii Olomide mwenyewe kupanda jukwaani.
Kutoka
kulia ni Ephraim Mafuru Mkurugenzi wa Masoko wa (SBL), Anitha Msangi
Maurice Njowoka na Patrick Kisaka kutoka kampuni ya bia ya Serengeti
wakishoo love kwa picha.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Ephraim Mafuru kulia na
Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga wakiwa katika picha ya
pamoja
Kofii Olomide akimpongeza msanii Rachel wa THT baada ya kuonyesha uwezo wake katika kuimba kwenye onesho hilo.
Rapa wa mwanamuziki Kofii Olomide anayejulikana kwa jina la Computar akighani huku wanenguaji wa kiume wakiingia jukwaani.
H.
Baba akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki wa jijini Mwanza wakati
akitoa burudani ya utangulizi kabla ya mwanamuziki Kofii Olomide Kupanda
jukwaani.
Pepe Kale wa Mwanza naye akafanya mambo makubwa na kukubalika na umati wa mashabiki waliohudhuria katika onesho hilo.
Kundi
la Hill Way Band likifanya vitu vyake jukwaani katika utangulizi wa
burudani za tamasha la Tusker Carnival kabla ya mwanamuziki Kofii
Olomide kupanda jukwaani.
Mashabiki wakiwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakisubiri kuona burudani ya Kofii Olomide.