Social Icons

Pages

Wednesday, June 13, 2012

Jamani - Balaaaa

Jamani jamani.. Mimi kama mwanamke wakati namnyonyesha mwanangu nilikua naona aibu kutoa nyonyo mbele za watu. Sasa imajin na utu uzima huu eti nimtolee mwanaume nyonyo hadharani anyonye kwa raha zake. Coz kwake sio chakula!!! HAHhhhahahahah..
Kumeingi mtindo huu mpya nchini Ghana wakaka watanashati wadogo wadogo kiumri wakienda out kwenye clubs wananyonya maziwa ya madem zao nje nje bila aibu!
Swali - I know hao wanaume hawataona aibu kihivyo, lakini kwa wadada je? Na hizo night clubs kwa nini wasiwakatalie kufanya hivi?
Je, wewe unaweza kuthubutu to do the same?

Have a lovely day,
xoxo

Maoni Email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759 008500

9 comments:

  1. mmh. Never siwezi kuruhusu huo ni ujinga sio mapenzi.


    Mama Alice

    ReplyDelete
  2. tabia za kuiga hizo.tena ni ujinga uliopitiliza.nafikiri ni laana tu hizo kufanya mambo yasiyoeleweka

    ReplyDelete
  3. wacha watu wale maisha, unajuaje wamekata tamaa, afadhali awe hivyo kuliko kuwa shoga!!!

    ReplyDelete
  4. Toronto tantrіc massageѕ are Commonly ρerformed foг your
    senses tell you close to sealed teachers? The tantric massage always гelахes my phyѕical stгucture and mу braіn, and never fails shοuldеrs and handοut.

    Μаssaging ѕensually giνеs us the аbility
    to communicatе with each help him relax.


    Also visit my web page: sensual massage

    ReplyDelete
  5. M nanyonya kwa raha zangu bibi weee

    ReplyDelete
  6. Aixe cwez kufanya k2 km hcho

    ReplyDelete
  7. Hizi ndio nyakati za mwisho za kizazi hiki, hivyo mimi sishangai sana. Inabidi tupige magoti tusali.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text