Social Icons

Pages

Thursday, September 29, 2011

Why women cheat - Comments ...

Hi,
Jana niliahidi kua I will write about something totally different. Ila nilifurahishwa sana na comments from facebook kuhusiana na topic ya jana. I thought i should share with you...


Joanitha -  coz men make us do it,na ukiona mwanamke anacheat ujue yamemfika shingoni
Alvin - umalaya tuuu
Kulwa - wala si umalaya, Joanitha nimeipenda hiyo
Alvin - ukiona yamekufika shingoni muache kwanza uliekuwa nae then umfate mwingine sio kucheat
Joanithawala si umalaya naomba utakuta mtu unapendwa na kufanyiwa kila kitu kuwepo na mwanaume ktk shida na raha bt huyo mwanaume haoni umuhim wako na badala yake anakuliza kila kitu,bahati mbaya au nzuri katokea mtu anayejua dhamani ya yako na chozi lako je ukiwa nae ni ww umependa au yule mwanaume uliye naye kasababisha umempata mwingine think alvin b fore u tak
Kulwa - wanaume wengine hawajui kupendwa bwana,
Tatu - may b they have a reason to do so!
Alvin - sikatai mwananume kucheat angalia mwananume ancheat kwa nn coz wakati mwingine mwnamke anampelekea mwanume kucheat lik hufanyi vile anavyotaka so smo tym nyinyi wenywe husababisha
Baraka - Nooo! Women cheat b'coz wengi wana TAMAA!
Joanitha - ww na anayemfanya awe na tamaa ni nani kama si ww mwanaume au unaongea coz ni rahisi bt siku moja wanaume wavae kiatu cha mwanamke then muongee haya mnayoyasema chanzo cha umalayatamaa nk ni nyie wanaume na si kingine
Alvin - kuna mwingine hucheat coz ni tabia yake tu na mwingine huwa ancheat coz mwanaume anampelekea kucheat bt je kwa nini mwananume anacheat na anakufanya ww ucheat ? jiulize
Joanitha - mwanaume kucheat sishangai coz wanamdudu huyo kichwani mwao na mwanamke anapocheat si kwakupenda bt anatafuta sehem ya kutuliza moyo na kusahau machungu yake
Alvin - sasa kama unajua mwanaume kucheat ni kawaida yake kwa nn huwa uantafuta mwinghuoni utakuwa unaruka majivu unakanyaga moto coz wanaume wote ni sawa sasa utatafuta au uatcheat na wangpi ? kwa ushauri wangu vumilia tu na mmoja
Joanitha - alvin baba hakuna kitu kibaya kama dharau kuna wanaume wanacheat ila hata siku moja mpenzi wake hajawahi ona wala sikia kama mwanaume anacheat,ila kuna hao wanaume wanaojidai kua majabari,na kubadili kila kukicha hata kumwonyeshea mpenzi wake na akiomba msamaha anasamehewa kama kawaida na maisha yanaendelea,ila kuna wakati mtu anasema sasa IMETOSHA
 
* Hawa walikua wanajibizana - Interesting!!! *
 
Alvin - ok nakubaliana na ww so ukiona kama hivyo me nakushauri tafuta mwingine then achana nae bt sio yy anacheta na ww unacheat then bado mpo pamoja hiyo itawaletea magonjwa coz yeyehujui napocheat anatumia condom au la na akija kwako kama kwaida nyama to nyama so mbaya sana ......bt mapenzi nw days hayaeleweki si kwa wanume na si kwa wanawake ukikuta mwanamke katulia basi bwana kicheche na bwana akitulia mke nae hivy hivyo basi mashaka tu muhimu kumuoba mungu akupe chema na chenye kheri na ww
Jessy - .% kubwa inasababishwa na wanaume but wapo wachache coz ya tamaa
Frank - Bcse Wengiwao ni Malimbukeni na wajinga wa fikra , lakini co wote na wengiwao ni marafiki wanasababisha.
Simba - Tamaa na ushawishi toka kwa marafiki ndio vinavyowaponza sana hata kama utamwekea huduma zote muhimu lakini HATOSHEKI na 1...Nadhani nimesomeka japo kwa ufupi ila sio wote

Oohh by the way... Wanawake walio married but are cheating wana mitandao yao

Kuna http://www.cheatwife.com/     and then kuna....
 
Haya have a lovely day...
xoxo

#1 - Cougar Life (The Ultimate Catch)

#2 - Lonely Cheating Wives Date Site

#3 - Married But Lonely Dating Online

#4 - Ashley Madison Married Personals

and kubwa kuliko zote

hehehhehehe.. kazi ipo..Wednesday, September 28, 2011

Why women cheat...


Hello,
Jana kuna movie nilikua naiangalia ni nzee kidogo. Inaitwa "Chaos Theory" - Ndani ya ile movie kuna a guy ameoa na wana mtoto mmoja.. Long story lakini to make it short ilimbidi kwenda hospital to chek kama alikua baba wa another child - sio yule wa kwake. Akakutana na majibu asiyo expect. He found out kua ana matatizo na 'chromosomes' zake ambapo ugonjwa huo ulimsababishia awe mgumba - as in he was shooting blanks all through *not funny* - Yule kaka alichanganyikiwa. Try and put yourself in his shoes... Umekaa miaka yote ukijua mtoto ni wako kisha BOOM!! A bomb explodes in your life. Your wife cheating on you!
Then nikakumbuka ule msemo - "Amjuaye baba mtoto ni mama"
Hii story ilinikumbusha a few years back in Dar Es Salaam - ilitokea kwenye familia moja - kupitia matatizo ya afya ya mtoto mmoja - ilibidi familia imchangie yule mtoto damu - after damu kupimwa ikafahamika kuwa yule mtoto hakuwa wa huyo baba. How many other stories kama hizi zipo around? Nyingine hazitufikii tu.
I personally know a lady kaolewa ana watoto wake - but she's cheating on her husband. Kila siku hua najiuliza why anafanya hivi? And nooo, bado mume wake hajamfumania!
Kwenye blog hii, tunaruhusiwa kurekebishana pale tulipokosea. Kwa leo turekebishane about cheating... But you know what maybe tungeanza kujiuliza - Why do women cheat?
Wanawake wengine tuna cheat and make it sooo obvious kwa husbands/ boyfriends - ni kama tunataka kuwaambia indirectly (I'M CHEATING ON YOU!!!) au sometimes tunanogewa zaidi huko nje!

Je - wanawake tuna cheat because of  the following ? :-

- Upweke - mume labda anakua too busy for you na kazi / biashara/ his friends
- Revenge - Unalipiza kisasi baada ya kumfumania mumeo
- Sexual Satisfaction - Labda hufikishwa pale unapotaka wewe
- No excitement - Kama ile iliyokuwepo wakati mukianza mahusiano
- Kutojaliwa - Unabadilisha hair style, una loose weight lakini baba mtu hata haoni tofauti na wala hasemi kitu
- Kuboreka - Munakua na routine kabisa - home, work, home - hamtoki pamoja
- Kutoonyesha Affection and admiration - labda mwanzoni alikua anakwambia anavyokupenda and maybe alikua anakuonyesha pia - kuleta flowers, vijizawadi (sio hadi asubiri valentines) etc
- Tamaa - Yeah binadamu (wanawake kwa wanaume) wote tuna tamaa - yes ya kimwili!
- Kuwahi - Unahisi kuwa mumeo/ boyfriend will eventually cheat on you kwa hiyo hutaki kuwa yule atakayelia zaidi.

Whatever our reasons za kucheat - badala ya kuweka hiyo energy yote kwa relationship tuliyo nayo, kwa nini tunapoteza that energy in a new affair?
Its just a thought...
Maoni?

P.S - kesho ntafanya compilation ya some things ambavyo vimefanyiwa hao tunao cheat nao na our husbands/ boyfriends...

have a lovely day
xoxoMonday, September 26, 2011

Wangari Maathai

                                                        

Hello,
Wazima? Asubuhi hii nilipata information kupitia twitter kua - Wangari Maathai amefariki. Wangari is a Kenyan lady ambaye ni mmoja kati ya wanawake wa KiAfrika that I look up to. Why?
Well, She was a mpiganaji, msomi ( baada ya kuwa mwanamke wa kwanza Afrika Mashariki na Kati to earn a doctorate degree, very tough, na alikua na confidence ya hali ya juu. Na pia alikua mtetezi wa haki a wanyonge. I remember zamani aliongoza wanawake waKenya kutembea uchi barabarani wakishinikiza Chama tawala kwa wakati huo KANU kuachia political prisoners. And to top it up akawa The first ever female Nobel laureate from Africa mwaka 2004. She was an enviromentalist. Alikua pia anatambulika zaidi kwa ajili ya nywele zake - yaani sijawahi kumuona akiwa na any other style apart from Rasta.
Weirdly enough juzi tu kutoka kwa one blog ya Kenya niliona an article yenye title - 

The 7 Most Badass Kenyan Women

katika namba 5 alikuwepo Wangari Maathai na maelekezo yafuatayo.
#4 Wangari Maathai
Now, most women in this list have made it because they had the balls to fight it out with men, or they had the power to do so without fearing for any repercussions. Not so with Nobel Peace Prize Laureate Wangari Maathai, who has lost more than her fair share of braids in acts of sheer balls and badassery! Other than being the first EA woman to obtain a Ph. D, she was divorced by her husband, because, as Wikipedia and court documents show, “she was too strong-minded for a woman and that he was unable to control her” which one can read as ‘she refused with the cake”. After the divorce, she refused to drop her husbands surname because she felt ‘Wangari Muta’ did not sound badass enough. She added a simple ‘a’ to make the name Maathai, different from her ex-husbands ‘Mathai’. When the government was cracking down on her organization, The Green Belt Movement, she learnt of the plans to buid a sky scraper at Uhuru Park (the horror, where else would we go for cheap dates).


oh yuh, and the headscarf hides the scars..
 
Later in 1992, she was marked for assassination and she locked herself in her house. It took the police three days to cut through the bars and arrest her, most probably not smelling like a woman and looking disheveled but still….badass! She was at it again later that year when she went on a hunger strike at what is today Freedom Corner at Uhuru Park. She is said to have been the force behind the mass stripping by women at Freedom Corner as a protest (tru, men with boners are easier to argue with, huh?). Oh yah, that and she had the balls to tell the Time Magazine that the West did create the HIV/AIDS virus. Such balls!

Wangari Maathai alifariki jana usiku at Nairobi Hospital of cancer-related complications akiwa na miaka 71.

God giveth and God taketh away.
May her soul R.I.P

ps. excerpt from - http://www.owaahh.wordpress.com/
Too Late For Worms

Have a fruitful day
xoxo

Friday, September 23, 2011

Bar Maids...

Hello,
Last week nilikwambia kuwa nitafanya kaji research kangu kwenye bar tofauti tofauti. Nilifanikiwa na nilichokua nataka to know - nimekiona.
Katika mabar tofauti tofauti jijini Dar Es Salaam ma bar maid wengi (siku hizi) ni warembo sana. And in some bars anayechagua ma bar maids anakua mmiliki wa hiyo bar - anawachagua hasa! Hujawahi kwenda bar ukakuta totoz wa ukweli hadi unamuambia mumeo/boyfriend muondoke? Wanakua na beautiful bodies, faces na wanarembua hatari! Wewe mwanamke ukimsemesha anakujibu kwa hasira, anaposemeshwa na mwanamume anarembua na kujibu tartiibbuuuuu!!! NO honestly ushawahi kukumbana nao? Kwenye ma bar kaa hayo wanaokwenda zaidi ni wanaume. Wakishaanza kulewa wanaanza kuwapapasa. Uongo? Au nimetia thumvi (Chumvi)?
Hebu imagine umekwande bar na mtu wako kisha you meet Bar maid kama huyu hapo!


Hahahahha! Si ndo mwanzo wa kuachika? Salary yote inaishia hapo. Mwanaume anarudi nyummbani saa 9 za usiku!  Juzi nilikua nimekaa na wakaka flani kwenye bar wakawa wanawa admire bar maids wa pale. Wakisema "Daa! hapa kuna watoto matata kweli. Inabidi tuwe tunakuja kuja" NIliwauliza if wanaweza kuwa na relationship na ma bar maid - ukizingatia wanaume wenyewe wote aidha wana wake zao nyumbani au wana madem wa kudumu. Wakanijibu "mara moja moja, why not?"
Nikauliza wanaanzaje anzaje hadi kuwatongoza.Wakasema unaanza kwa kuwapa tip, then unaomba namba kwa kisingizio cha kutoa oda ya food and stuff. Heheheh. Then later unamuita sehemu nyingine kisha Fressshhhh!!!!
So wakati unaperuz through your man's phone (kama una tabia hiyo) ukikata jina - Maryam kuku, Anna mbuzi, Winnie Kitimoto etc etc - jiulize maswali... Chunguza mumeo anapenda kwenda bar ipi, pata kuwafahamu na hao bar maids wa hapo. Labda unaibiwa... Ukute wanavaa hivi..


Utaliaje? Hahahahhahaha...

Its just a thought.. Ila fuatilia...

Love you all and weekend njema
xoxo

Wednesday, September 21, 2011

Responsibilities aka Majukumu..

           
         

Hellow...
Tatizo la internet naona limekua la kitaifa! Duu! heheheh.. How have you been lakini? Mzima kabisa? Missed you too :)
Juzi i got to hang out na my girlfriends - It's been a long time.. Si unajua majukumu yakizidi. Mara huyu is in a new marriage, yule na new relationship, Yule kapata mtoto etc...
We got talking about kuchukua vacations - I know huu sio utamaduni wetu kama watanzania. But dont you think kuna umuhimu wa kujipa vacations? Anyway - this is a topic for siku nyingine.
Tukawa tunapigishana story za safari zetu za sehemu mbalimbali - ikiwa ni kikazi au binafsi - Of course kama mwanamke utafanya kiji shopping kidogo.
Basi topic ndo ikaanzia hapo. When you go shopping - unampa nani kipau mbele? Is it all about you? Me, Myself and I wenyewe wanasema.
Is it wazazi?
Is it husband/ boyfriend?
Au watoto?
For most single ladies walisema hujifanyia shopping ya wao wenyewe - watanunua viatu, handbags, nguooooooo, wigs/weaves nk. And a perfume for mummy - as an after thought. Heheheh
Kwa wanaoanza relationships - Itakua boyfriend this boyfriend that! You buy mazagazaga kibao for your boyfriend and hukumbuki family. Uongo?
For a married woman - Atamnunulia mama mkwe - katika muendelezo wa kujipendekeza! Hahahah! Although some mothers in law are sweet so wana deserve zawadi. But also utakumbuka watoto and hubby. You might forget hata kujinunulia something.
For single parents - Itakua ni watoto tu and your mum ili kumshukuru kwa kukusaidia kukulelea wanao. Heheheh.

At the end of all this - nikagundua kua we do what we do kulingana na majukumu tuliyonayo. I mean why would a single lady bother about other people? Yupo in her own world. And of coz ana haki ya kujiachia.
Anyway swali ni kwako - When you travel ni nani unampa kipau mbele wakati wa kufanya shopping and why?

PS. Picture courtesy of Shutterstock.com

Have a lovely day
xoxo

Friday, September 16, 2011

What do Men Want?

Hello,
Ehe, so ulijaribu kufanya nilichokwambia kuhusu mumeo/fiance/boyfriend apendaye soccer? Kama you didnt basi you can do it this weekend coz kuna mechi Saturday ya Arsenal na jumapili Man United na Chelsea. I think hizi ni kati ya timu zinazopendwa sanaaaa.. au zilizo na fans wengi zaidi.Anyway leo asubuhi nilisoma gazeti la hapa nchini Tanzania - Tanzania Daima on page 5 nikakuta habari yenye heading - Jela Kwa Kumlawiti Mkewe.. an excerpt from hiyo article :-
"Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Mpanda imemhukumu Haruna Ndayage (54) mkazi wa mtaa wa Kashaulili, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuingilia mkewe kinyume na maumbile.... Shahidi wa tano ambaye ni daktari aliithibitishia mahakama kuwa mlalamikaji baada ya kufanyiwa uchunguzi iligundulika kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile yake."

Jamaniiiiiiii!!!! At least huyu mwanamke alipata akili ya kwenda kumshtaki mumewe coz hakupenda kitendo alichotendewa. But how many other women wanafanyiwa hivi lakini hawajui waanzie wapi and some dont even know kama ni kosa...
Nimejaribu kucheki matatizo tunayoweza kupata kama wanawake if we involve  ourselves in anal sex. Ni pamoja na:-

- Anal sex can lead to stretching and tearing of the anal canal which leads to anal fistulas, perirectal abscesses, and anal fissures.
  • After engaging in anal sex there is a risk of contracting vaginal bacterial infections, bladder infections, and kidney infections.
  • Because the sphincter muscle was not created by God to dilate continuously like the vagina, forced dilation can lead to future incontinence. Which simply means you lose the ability to hold your bowels. If this happens, surgery will be required.
  • Studies have revealed that the person receiving anal sex often experiences unexpressed feelings of shame, and embarrassment which can lead to depression.

Sasa hawa wanaume kwa nini watusababishie we go through all this? Wanaume munataka nini jamaniiiiiii? Hamuridhiki? Khaaa!!! Im soo pissed off na hii ishu.
What do you think?

P.S - Kuna kitu nafuatilia kwenye mabar this weekend nikithibitisha i'll tell you about it on Monday. 

Have a blessed weekend,
xoxo

Wednesday, September 14, 2011

Relationships ( part 2 )

                                                   


Hellow,
Hope uko poa.. That day niliandika about Relationships part 1 nilichambwa kidogo, I was told kuchek defination ya neno "Compromise" na nilielewe vizuri.. Nikaambiwa kwa watu wanaopendana lazima wa Compromise each other. Haya nikacheki meaning ya compromise - Kulegeza mkanda au kubadilisha msimamo wako ili kumfurahisha mwenzio..  Kufikia mwafaka ili kila mmoja afurahie au deal lifanyike...  Heheheh.. Duuuu.. Ngumu hiyo! Ila kama kweli unampenda and unamjali uta compromise..
U probably have a boyfriend, fiancee au husband au Man friend! Hivi unajiskiaje wakati wa msimu wa mpira? Iwe ni Serie A, UEFA, World Cup or whatever? Na hata kama muna uwezo wa kutosha ukanunua dish anang'ang'ania kwenda kuangalia at the Bar ili aweze kushangilia na his fellow fans and "kutukana" wakikosa magoli nk. Mechi nyingi especially za UEFA kwa hapa Tanzania hua ni mida ya usiku, other matches zinaisha hadi saa 7 usiku.. Upekweeee... Roho inakuuma, unaanza kuwaza mengine but utafanyaje wakati ndo hivyo the man is a soccer fanatic. Unavumilia tu. Ndo hivyo UEFA Champions League inaendelea, what can you do to keep your man close wakati wa msimu huu wa Soccer? Compromise! Kuna status ya mtu niliona on BBM na Facebook aliandika - Soccer, Wife, Kids in that order.. Imajin!
Sasa kama wanawake ni bora tushike namba the same na hiyo soccer. Cha kufanya :-

- Jipange uweke satellite dish ili asipate reason ya kwenda kuangalia soccer bar.
- Mnunulie his favourite beer au whisky jaza pale home
- Andaa kuku choma au nyama choma
- Tell him aalike a few of his friends waje
- Ukishajua ni timu ipi  anaipenda impress him kwa kuvaa jezi ya timu hiyo au just be neutral na uvae top imeandikwa -  I LUV SOCCER or somthing of the sort


wee hii ni kama mpo wawili tu, kama washkaji zake wanakuja - tafuta kingine cha chini..
- Isiishie hapa, birthday yake - mtafutie something to do with footbal eg A jersey ya his favourite team ambayo imeandikwa jina lake nyuma, towel, an autographed soccer ball ( hii shughuli hadi uipate), a watch etc...
Haya tujaribu ku compromise eeh...
Kuna nilichosahau? Rukhsa kuongezea...

have a lovely day
xoxo

Tuesday, September 13, 2011

Pics za Leseni na Passport....

Hello....
Jamani tuwe wakweli tu.. hhihihih.. Kuna wengi wetu sio photogenic, so mara nyingi tukipiga pics lazma zirudiwe rudiwe hadi upate the perfect one. Uongo? Nilikumbuka this nikaenda kuangalia pics zangu za Driving License na Passport! duuuuu... Nikachoka!
U know zile sio pics ambazo unapigwa na washkaji zako so hawawezi kurudia rudia... Kwa hiyo most pics za Driving License na Passport kwa kweli haziku compliment wala! U want to see mine? Hahahahah haya..

Hahahha - Usinicheke banaaa... Hiyo ni ya DL.. Ya passport? No way! Nimegoma...
Are you proud of your pics za DL na Passport? If yes tutumie hapo tuone basi!

have a blessed day
xoxo

Monday, September 12, 2011

What To Carry Kwenye Hand Luggage...

Hello,
Kwanza nawapa pole Watanzania wenzangu wote kwa msiba uliotupata when MV Spice Islander sank usiku wa kuamkia Jumamosi... Mungu azilaze roho za wote waliofariki pahali pema peponi. Iliniuma sana to see vichanga vilivyopoteza maisha... Daaaa.. Tuombee roho zao.
Ila kuna jingine pia lililotokea weekend hii hapa Tanzania. Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere ulipata blackout! No umeme! Aibu gani hii jamani? Ndege nyingi zikiwemo za international eg KLM nk zikashindwa kutua. Ikabidi nyingine zikatue Nairobi na nyingine Arusha. Im not a fan wa politics kihivyo so i wont really get into this politically, ila nimeona nitoe tahadhari kwa fellow women in case jambo hili likikutokea ujue cha kufanya. Of course ina maana kuwa hutopata your luggage as utalala just one night huko mlipo land. Sasa kama hukubeba unavyohitaji kwenye hand luggage utajutaje? Au even sometimes kama luggage yako imepotea ukifika uendako utatumia nini? So i thought nilist down some things us women need kubeba in our hand luggage ili kuepukana na usumbufu na pia kuanza kuhangaika ukitafuta things you will use for just one night.- Panties - chagua nyepesi na zinazokauka haraka
- Dress - nyepesi na laini (iwe rahisi kukunja na ku fit in the bag)
- Lotion - chini ya 50 mls
- Perfume - chini ya 50 mls
- Mtandio au kanga -  mlaini unaoweza kuukunja na kufit in the bag
- Atm card - unaweza ihitaji anytime
- Passport - of course
- Tshirt / top (hata mbili)
- Leggings (badala ya jeans, coz hua nyepesi na ni rahisi ku fit in the bag and unaweza kuivaa badala ya night dress)
- Mswaki
- Condom - Be safe
Wewe kama wewe mwanamke mwenzangu, what else do you think kinahitajika kwenye hand luggage? Funguka....

have a lovely day
xoxo

Saturday, September 10, 2011

zanzibar

Niliamka kwa kushtushwa na habari kuhusu ajali ya boat MV Spice Islander kuzama. Sina cha kuongezea bali kuku ask wewe tuombee roho za waliotutoka kupitia ajali hii. Mungu ametupa and Mungu ametwaa. Jina lake lihimidiwe milele. Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani. Amen

Thursday, September 8, 2011

Needed.....

Hello,
Wanawake ni sisi na basi tusaidiane. Nimepata email kutoka kwa mfuatiliaji mzuri tu wa blog hii. Anahitaji msaada wetu. Na sisi kama wanawake why tumtenge.. Kama unaweza kumsaidia in any way please feel free kufanya hivyo. Ila marufuku kutukana.

Jina - Ndeschy Brown
Birthdate - July
Sex: Female
Profession: Social Scientist (child protection specialist)

Anahitaji: Bwana.. Awe na miaka 45 hadi 55. Awe Single, widowed au seniour bachelor. Asiwe divorced. Watoto au la rukhsa.
Financial status iwe poa - kuanzia kipato cha kawaida.

Kama unakidhi vigezo hapo juu wasiliana naye kupitia ndeschy@yahoo.com
have a lovely day
xoxo

Wednesday, September 7, 2011

Wanawake Na Sarakasi

Hello,
Hii nilitaka kuandika jana but duu time is not on my side! Nisamehe bure.. :(
I have very many male friends and hua napenda sana kuwauliza silly questions but majibu wanayonipa napata kujua a lot. A good example ni juzi tu niliwauliza about wanawake wanaoweza kufanya sarakasi wanakuwaje kwenye relationship? Hehehhehe.. Yeah I can be that challenging. Walinijibu "Duuuu... Hua ni poa sana kwa sababu wanaweza "styles" nyingi nyingi tu" Nikachoka kabsaaaa...
Mfano mzuri ni juzi hapa mwanamichezo Serena Williams alipopiga bonge la msamba wakati akicheza tennis. Wanaume went crazy!Jaribu kuuliza any man uliye karibu naye qualities wanazoangalia in a woman - kwa wengi "Flexibility" itatajwa! Kwa hiyo flexibility ndo ina maana kuwa someone is good in bed? Kwa hiyo wanawake wote tukafanye au kufunzwa sarakasi? Heheheheeee...
Anyway eti wee unaweza kupiga msamba tena wa ukweli kama Serena? And hiyo itapelekea men to want you or wapate uchizi about you?
Its just a thought...

xoxo
have a good day...

Monday, September 5, 2011

Wakati wa Kuwatch Movies...

Hello..
Weekend iliendaje? Umebaki na any money kwenye wallet yako? Manake ukijumuisha na Eid Mosi na Pili tulikua na siku 4 za kupumzika last week...Starehe Gharama!!! Unabisha? Hehehehhe.. poleee...
Personally hizo siku mie nilijifungia ndani and was busy watching movies... Sometimes nilikua naangalia on my own, sometimes na friends waliokuja kuni visit... Nikashtuka and I realised kuna watu wa aina flani flani - niwe nawatenga when watching movies! Looh!!!!
Kuna mtu alinikera sana - Nilikua naangalia movie sijawahi iona, na yeye pia hajaiona. Sasa after 20 mins za movie akaanza kusema - "Aaah nishajua hii movie inakoelekea, yaani nishajua hadi mwisho wake" Na akataka kabsa to explain to me how it will be. I was soo pissed off! Nikamwambia mi staki kujua itaishaje I want to see it on my own!
Kuna mwingine  tunaangalia movie anasema " Duuu! Umeona hiyo, yaani hapo that guy meant kuwa.. bla bla bla.." Eti anani explainia as though mi sjaelewa kitu. So unajikuta you dont even concentrate! Nilinunaje!
Mwingine naye kumbe alikua keshaiona - ana insist kunambia how it will be na kuendelea kunambia what movie critics walisema about the movie! Jamani ni kuwa mimi im too petty au na wee pia hivi vitu hukukera? jamaniiiii!!!


I want to watch a movie nisikilize na kuwatch kila kitu bila kukosa anything. Sasa mtu kukusumbua sumbua mwingine akuombe u rewind mara u forward eti hapo hainogi hadi mbele kidogo ndo nini? Si wanantaka ubaya tu! I bought the movie, i deserve to watch it mwenyewe hadi niridhike..
Nimejifunza! Never again me nta watch movie na mtu.. Nimekoma!!!!
Na wee niambie ni vitu gani vinaku bore when your watching a movie na watu?

xoxo
have a lovely day

Friday, September 2, 2011

Relationships (Part 1)

Heeeey...
Nimekua kimya sana.. Nisamehe bure for that... Im not married na wala siko kwenye relationship - for now.. Nimeamua kuwa mwenyewe for a while, Coz wanasema - Ujipende wewe kwanza na kujikubali then mengine yatafuata. Labda nilichelewa kupata this advice but i think it's due time mimi kuifuata advice and soo far soo good.
I have friends - girl frieinds walishawahi kuwa kwenye mahusiano very serious and some hata marriage, ila most walishindwa and wakaamua kuomba divorce. Ukiwauliza why - well... very long story.. Wengine walikua wanapigwa na their ex husbands, wengine wanadharauliwa, wengine waume wanalewa sana, wengine "vicheche"!!! Anyway kuna mtu nilikua naongea naye akawa anasema - jamaniii mwenza wako sio ndugu yako... At least utavumilia tabia za nduguyo coz u were born together and mumekua wote umemsoma poa na utaweza kuvumilia. But mtu umekuja kukutana naye ukiwa mkubwa utaweza vumilia kweli? You need to have a very strong heart and uvumilivu wa hali wa juu kuweza kuishi na mtu.
Niliongea pia na mdada mmoja juzi tu akaniambia dadake kadumu in her marriage for 30 good years. I was impressed! Ila akasema ujue ndoa au tuseme mume ni kama biashara mpya. Ukianzisha a new business (lets say ya kununua nguo na mapochi Dubai and kuuza Dar) sio zote huanza vizuri. Most of them zinapata matatizo kama mzigo kupotea, wateja kukataa kulipa, mzigo kudoda etc etc. U have to work extra hard kufikisha Business yako katika a good level ambapo itaweza kujisamia yenyewe na kulipa wafanyakazi pamoja na wewe kupata profit.
Before you get into a relationship ina maana ujipange hasahasa. sio tu kuingia for the sake of wewe pia kutambuliwa una boyfriend! Kwani wasokua nao hufa of loneliness? Ndo hapo unaishia kujikuta ur in a relationship isiyo na kichwa wala miguu ambayo hata hakieleweki inakoelekea. Which itapelekea ndoa ambayo ipo ipo tu. Maybe hata hukumpenda huyo bwana, haya ndo hivyo ushakua mke wake, unakuta Mungu wangu! ana vitabia vya ajabu! Labda anakoroma usiku kucha, ana tabia ya kutema tema mate, kusafisha koo kila wakati, kushika mbele, kuchokora pua, kujamba jamba ( hahahahah )! Kwa vile hujazoea vitu hivi si ndo unaanza kuongea na your girls ukiwaambia "taabu" unazopata kwenye ndoa yako! Ukiondoka wanakuchora wanakuchekaaaaaa! "Si aliingia kichwa kichwa kwenye ndoa" Utawaskia wanaongea!
Anyway, hizi ni views zangu tu. Nikijaribu kufanya kaji reearch ka why we have soooo many divorces in our jamii siku hizi.
Jumatatu I'll tell you more manake weekend hii ntaendelea na kiji research kangu. Ila nawe kama una maoni au unajua, kindly let me know... drop me an email au hata sms.. +255 795 008500
And just for laughs.... here you go...
have a lovely weekend,
xoxo
 

Sample text

Sample Text

Sample Text