Social Icons

Pages

Thursday, August 11, 2011

Names za watoto wetu....

Naomba samahani - because I've been quite kwa muda... Hizi kazi duuu... But sooner than later ntakua poa. Secondly asanteni wote who commented and gave me ideas through blog ya a dear friend and colleague dinamarios.blogspot.com 
Thirdly - Naingia kwenye point yangu kwa leo... For us women - Tukiwa wajawazito siku hizi we can easily tell sex ya mtoto mapema tu kupitia ultra sound hospitalini katika wiki ya 20 hadi 28. Ila pia kuna namna nyingine ( i hear people talking about ) eti wanakuangalia mtoto kaegemea wapi zaidi - ikiwa kulia - its a boy. Ikiwa kushoto - a girl. Eti because Hawa alitoka ubavu wa kushoto wa Adam. Heheheh. I dont believe this.
Anyway kuna pia namna nyingine -
  • Chinese Lunar Calendars. Huku hua wanaangalia Age ya mama wakati mimba ikitungwa pamoja na mwezi. Check it out.

  • Wengine wanaangalia mapigo ya mtoto aliye tumboni  fetal heart rate   Eti mapigo yakiwa 140 na zaidi ni mtoto wa kike, yakiwa chini ya hapo ni wa kiume.

  • All in all hii ilikua tu by the way. My point zaidi ilikua ni wakati wa  kumpa mtoto jina. Je hua munashauriana na mumeo/mkeo jina la mtoto? Na labda how do you choose? Ile style ya zamani - unampa mtoto jina la bibi, babu, shangazi, mjomba? I doubt this, as siku hizi watoto wana majina ya kileo sana. Utaskia Brandon, Kimberly, Jerome, Olivia, Willow, Brandy, Cynthia, Vanessa, Chantelle, Zoe, Durron, Laquisha, Shaniqua, Lucinda, Dwayne, Le Bron, Romeo, Ethan... Aaah too many.. Ongezea tu nawe ukikumbuka.. heheheh.
    Anyway - Nilikua nauliza - for example - mumeo ndo kachagua jina la mtoto wa kike... Do you investigate hilo jina kwa nini amelichagua? Do you ever wonder kama LABDA ni jina la ex girlfriend wake maybe? Na LABDA ukishachunguza na kujua kua ni la ex girlfriend utambadilisha mtoto jina? Heheheh .. Patamu hapa.. But well, I was just thinking out loud tu...

    Siku njema...
    xoxo Barbara Hassan

    13 comments:

    1. offcoz mtu una na selection ya majina kutoka moyoni yan.ka mi hapa nina majina ya jinsia yote hata mimba sina..na kama hubby kaja na jina lake itabid atulie kwanza had selection yangu iishe..labda bext kid

      ReplyDelete
    2. ni muhimu sana jina liwe na historia ambayo inawahusu wazazi wote wawili,inaweza kuwa jina la mji mlioishi wakati fulani,jina la rafiki yenu mliyempenda ndugu au hata mcheza sinema au mwanamuziki fulani mnayempenda,lakini pia kuna presha za wazazi wanataka kwamba majina yao yarithiwe ili kuwa huru ni vizuri umpe majina mawili moja unalolipenda lenye historia ya nyie wawili na la pili la wazazi wenu kama kutakuwa na presha kama hiyo
      Mama T.

      ReplyDelete
    3. Duh!!...Jina la ex...nimeipenda hiyo actually it never crossed my mind..(Si umesema humu ndani ni 'swanglish' haya)....Back kwa point; now days majina kwa watoto yamepungua uzito kuliko kipindi cha nyuma. Jina la mtoto lilikua main issue mpaka wazee wanashilikishwa...now days naah sio kivile...lakini bado nazani one needs to take time n discuss pamoja then mkilidhika wote freshiiii....Am not in for Baba katoka huko puuuuh..mwanangu ataitwa flani...udikteta huo..au mama kang'ang'ania analotaka yeye....huo ni uuza samaki a.k.a selfishness....Ni hayo tu. C yaaa

      ReplyDelete
    4. Hili la Ex girl friend nalo neno. Nilikuwa sijafikiria kabisaa! Labda kwa sababu nina baby boy. Ila kwa sasa nadhani nitakuwa makini sana na selection ya jina hasa nikibahatika kupata mtoto wa kike. "Nitakuwa makini', usipime! Kimsingi nitachagua mwenyewe jina. Maana wa baba wa siku hizi wengi wao ni watata saaaana.

      tchao,
      Elmmy

      ReplyDelete
    5. Hii ya ex name ni tata hasa ikitokea mdada ndo kampa mtoto jina la x wake hapo hujui kama x nae kachangia kutengeneza huyo mtoto au la? Ila i think giving a baby a name with a great meaning sounds better. You can name a baby with a name that might impact even on his/her sucess.

      ReplyDelete
    6. hilo jina la x limenipa utata kusema kweli now nina mtoto wa kiume na mwanaume alingangania kumpa jina alilo litaka yeye na mimi nikakubali lakini kusema kweli Mungu akinijalia mtoto wa kike nitangangania nitoe jina langu mimi aku sitaki presha...anaita mtoto anavuta memory
      tooo bad...

      ReplyDelete
    7. Me kwa upande wa majina huwa tunapanga pmj na my hubby kabla hata hajazaliwa mtoto then tunapendekeza wote na liltakalokuwa the best ndo litakalotumiwa. For example sisi timepanga majina ya watoto wetu wote yaanzie na herufi G' na wote tumeridhia. So me naona kuwe na makubaliano Kama hayo cz mtoto ni wa wote. That's all.

      ReplyDelete
    8. Chіnеse mediсіnе anԁ
      tantric massаge foсusеѕ on proviԁing the patient
      ωith еase frοm theiг symptomѕ, as well as trеating thе with the
      Affecteԁ rolе organіsm tеmрerеԁ one oг tωо tіmеs a calendаr week.

      Lа gemotеrаρia calіente еn zonas еnerg�ticas y гeflex�genas y la utilizaci�n de aceіte up and percentage ԁurіng the ωeekеnd many
      wonderful ideas are ascеrtainеd by all.

      Visit my webpage - tantric massage in london

      ReplyDelete
    9. Howdy I am so glad I found your website, I really found
      you by error, while I was researching on Bing for something else, Anyhow
      I am here now and would just like to say kudos for a fantastic post and
      a all round interesting blog (I also love the theme/design), I don't have time to read through it all at the moment but I have bookmarked it and also included your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a lot more, Please do keep up the awesome job.

      Here is my homepage newburghschools.org

      ReplyDelete
    10. Hi there! I just want to give a huge thumbs
      up for the nice info you could have right here on this post.

      I will probably be coming back to your blog for
      more soon.

      Check out my web-site :: red deep seat outdoor cushions

      ReplyDelete
    11. Hi there! I just want to give a huge thumbs up for the good information you have got here on this post.
      I shall be coming again to your blog for extra soon.


      Also visit my web-site: showdown effect beta download

      ReplyDelete
    12. Hiya! I simply wish to give an enormous thumbs up for the good data you could have right
      here on this post. I can be coming back to your
      weblog for extra soon.

      Feel free to surf to my web-site mc daniel coffee company

      ReplyDelete

     

    Sample text

    Sample Text

    Sample Text