Welcome kwenye blog hii.. Kama jina la blog linavyosoma, itakua zaidi inaongelea Mwanamke pamoja na Changamoto, maendeleo na maisha ya mwanamke in total... Lugha itakayotumika humu itakuwa Swanglish... Si unajua tena Kiswahili kuna upungufu kidogo kwenye maneno kadha wa kadha...
Mimi kama mwanamke wa Karne ya 21 nimepitia mengi, ila nina uhakika wewe binafsi, mke wako, mama yako, dada yako au hata rafiki wako wa kike atakua ameyapitia haya haya au kuna mwanamke that she knows aliyepitia the same experience.
Nianze tu kwa kukukaribisha hapa... Na kukuomba uwafahamishe na wenzio kuhusu blog hii. Tutapata muda mwingi tu wa kuweza kuhabarishana na kushare kuhusu mambo tofauti tofauti yanayomkabili mwanamke wa Kitanzania na Wakiafrika kwa ujumla.
I'll be honest, ndo kwanza naanza blogging, so nakuomba ntapokosea feel free kunikosoa na ntapopatia dont hesitate kunisifia, itanijenga sana sana..
Welcome and asante sana in advance....
Yours Truly,
Barbara Hassan
Wednesday, July 27, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera my dear sister, I have trust in you
ReplyDeleteDada Barbara, nasi tunakukaribisha. Nina imani blogu yako itakuwa yenye kupendwa sana: unaongea kutoka moyoni mwako.
ReplyDeleteHi Barbara, I just like the blog title wanawakenisisi, nina uhakika pamoja na career yako kama mtu wa media utaleta mabadiliko kwa wanawake hasa kwenye blogs the fact kwamba ndio sisi if we dont share our knowledge who will??? tuelimishane tukosoane na sio tutukanane...
ReplyDeleteStay blessed!
Mie nimeipenda hii. Congrats!
ReplyDeletehello dada naitwa kelvin ni IT technician naomba nikudizainie blog yako kwa muonekano utaopenda kwa free halafu nitaweka tangazo langu kwenye blog yako.
ReplyDeletehello dada naitwa kelvin ni IT technician naomba nikudizainie blog yako kwa muonekano utaopenda kwa free halafu nitaweka tangazo langu kwenye blog yako. namba yangu ni 0713073409
ReplyDeleteAsante sana Farida, Goodman, Shamods, Elmmy pamoja na Kelvin... Hamjui mumenipa motivation kiasi gani... Bless.
ReplyDeletehelow sis babra.... love ur idea ya blog kuongelea mambo ya wanawake na changamoto zao....
ReplyDeletepili nlikuwa natoa maoni uwe unaweka mwanamke of the day or week or month n hapa uwe unaweka wale wanawake ama wadada ambao wamejitahid kutoka na kuachive somthn katika maisha ama waliopambana na chanagmoto za maisha mpka wakafanikiwa kuwa walipo so as to motivate wale wanaodhan hawawez kuachive their dreamz/goals\
pia ngeshauri hao wanawake wasiwe wale ambao yumewazoea kila siku kuwaona kwenye media ama magazines bali wengine tofauti kutoka maofis mbalimbali, mashuleni, vyuon n hata tunakoish atleast tujifunze mambo meng n mbalmbali kutoka kwao...
pia girls staffs ziwepo pia kama usauri, lifestyle....\
together we can.......
its our turn to run the world....
eve
Hongera sana my dear!! tuko pamoja just realised today its ya blog, Keep it up mamii..
ReplyDeleteCheers!
Mama Lisa
Hey Barbara,
ReplyDeleteHongera sana , there is a lot women can learn from each other . i commend you for creating this blog which will educate girls and women on our issues and various challenges facing us in our daily life.
Big up
Mimi ni mpenzi sana wa Clouds hasa PB, nafurahi sana kuona mwanamke mwenzangu anapiga hatua zaidi hasa katika kuwakwamua wanawake wenzie. U did a very gud thing n we support u. Keep it up Barbara. I congratulate u.
ReplyDeleteJulita.
Hi Barbara.
ReplyDeleteMimi ni mpenzi sana wa Clouds hasa PB, I love the team big up. For some reason nimekuwa nikikusikiliza you are always happy and smile on the air ingawa hatukuoni lakini I can feel it kuwa huwa hukasiriki. and leo ni mara ya kwanza kuingia kwenye blog yako after hearing this morning from Hando akiisema hewani wan awake ni sisi. I have comment some posts.
Keep it up baby.. And I love the PB team
Ta Rahma.