Social Icons

Pages

Thursday, April 19, 2012

Mzigo Mpya Navo's Choice - Part 2






                             
                                         corset.... bana tumbo when wearing dresses.. :)




                         bwangaaaaa.. yep zimerudi....


                                        
                                           Kwa wewe uliokua unauliza nanunua wapi dresses... haya kazi kwako.... Navo's Choice karibu na Barclays Bank Mikocheni branch..

xoxo

Mzigo Mpya Navo's Choice... :)














                                 





                                     
            Caring is sharing... Haya ushindwe wewe tu.. Tembelea Navo's Choice leo and gwet one of these hotties. Navo's Choice ipo karibu na Barclays Bank branch ya Mikocheni.... Karibuuuuuuu..

xoxo                          
                               

Sunday, April 15, 2012

From One Woman - To Another....

                                         


"Mimi ni mwanamke niliyeolewa, nina watoto wawili na na nipo ndani ya ndoa miaka 20 sasa hivi. Hua inaniuma sana sana kuona jinsi ndoa za siku hizi hazidumu. Yaani watu munatuchangisha, baada ya miezi miwili ndoa ishasambaratika! Je, kosa ni la nani? Mimi kama mimi ningependa kuelezea machache lakini muhimu yaliyoniwezesha kufika hapa..
La kwanza na la muhimu - Sigusi kamwe kamwe simu ya mume wangu! Staki presha.. Yaani hata kama kalewa kalala na simu yake inaita au imeingia sms naigeuza naiweka chini ya mto wake, nalala zangu.
Pili, sometimes kama mwanamke inabidi ua manipulative kidogo. Hua namruhusu mume wangu kwenda out na washkaji zake at least mara moja kila wiki. Ila nikiona inakua too much na anarudi late sana, hua namuagiza vitu tofauti aniletee. Mfano - mishkaki ya nundu (hii lazma iliwe ikiwa ya moto), ice cream na vitu ambavyo akishanunua lazima aviwahishe nyumbani visije haribika.. Akishafika nyumbani hatoweza tena kutoka.
Tatu - At least mara moja kwa mwezi tunakwenda oout for a date, mie na mume wangu tu. Tunakwenda for dinner tukimaliza tunakwenda dancing kidogo kwenye live band. Inakua nakumbukia wakatui uuulleee alipokua ananitongoza. It's a great feeling.
Nne - Sio kua napata kipato kikubwa sanaaa but mie na my mume tulifungua account ya malengo. Hii tunakua tunaingiza hela tu, hatutoi kamwe. Hela hizi hutuwezesha sisi kwenda vacation na family yetu mara moja kila mwaka. Hua tunachagua sehemu ya kwenda kulingana na amount ya hela iliyopo kwenye account hiyo kwa wakati huo.
Tano - Kuna wakati tuna abstain kufamya tendo la ndoa kwa muda. Inaweza ikawa mwezi mmoja hadi mitatu. Hii inasaidia kuongea ladha ya mapenzi wakati tunaporudi katika maisha ya kawaida.
Sita - Hua namnunulia vijizawadi vidogo vidogo. Naweza nikamnunulia cuff links, socks, viatu, tai, after shave, vest, mara simu, au laptop.. This way anajua kua namuwaza kila wakati.
Saba - Family time - hii hua tunafanya kila jumapili. Tunaweza kuamua tukampa dada off siku hiyo. Sisi kama family tutafagia, kufua, kupika - kisha tutakaa pamoja na kula na baada ya hapo tukakaa nje kwenye garden na kupiga story with drinks. Mara nyingine tunakwenda Bagamoyo au Kigamboni na kufurahi tu na family. Kuna namna nyingi to spend time na family. Hua nazibadilisha badilisha ili wasiboreke.
Anyway haya ni machache tu...
Nakutakia siku njema.."
Mrs K

Ukiwa na la kuongezea feel free kutoa maoni yako.
Wasiliana nami email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759 008500
xoxo

Thursday, April 5, 2012

Tatua Thursday...

                             


Mambo W.N.S (wanawake ni sisi),
Mi ni mdada wa miaka 35. Na kuna kitu nimegundua. Sijui kama na nyie my fellow ladies imeshahi au huwa inawatokea...
Kuna kipindi hua kinakuja nakua kama nina gundu.. Yaani hata nikipita mbele za wanaume, hamna atakayegeuka kuniangalia, hamna hata mmoja atanyanyuka kuja kunisemesha, hamna mwanamume atakayenipigia simu wala kuntumia sms. Tena inaweza ikapita hata miezi miwili.
Ila kuna kipindi... Nakua kama nimemwagiwa nyota mwili mzima.. Nakua kama nang'aa na kuvutia zaidi, inakua kama wanawake wengine hawa exist. Manake kila ntakapokatiza wanaume kibao wananisemesha, naombwa namba za simu, wa zamani wanaanza "baby come back", naletewa zawadi ofisini kutoka kwa secret admirers na kadhalika! Kipindi hiki kinaweza kikadumu kwa mwezi mmoja. Kisha nisipochagua hata mmoja hapo wa kuwa naye, narudi kwenye ukame wangu baada ya wanaume wote kuyeyuka na kunipotezea. Kwa kweli sijaelewa. Hii ni normal au wengine tupo tofauti?
Naomba ushauri na maelezo kutoka kwa anayejua au kulielewa hili...

Asanteni in advance,
Penny.

Kwa maoni au ushauri kwa Penny - feel free to comment.
Kuwasiliana nami email - barbshassan@gmail.com
au SMS - +255 759 008500

Happy Easter wapendwa..
xoxo

Wednesday, April 4, 2012

Wimbo Wednesday...

Nimekaa nikakumbuka jinsi nilivyokua naupenda huu wimbo... Nilikua nauimba mwanzo mwisho bila kukosea. Basi boyfriend zama hizo alikua akinizungua naucheza kwa sauti while singing along.. Hehehehe..
Aaahh them days...
Wewe je? Wimbo huu unakukumbusha nini?

                                                  

           Toni Braxton
     "Un-break My Heart"
Don't leave me in all this pain
Don't leave me out in the rain
Come back and bring back my smile
Come and take these tears away
I need your arms to hold me now
The nights are so unkind
Bring back those nights when I held you beside me

Un-break my heart
Say you'll love me again
Undo this hurt you caused
When you walked out the door
And walked out of my life
Un-cry these tears
I cried so many nights
Un-break my heart
My heart

Take back that sad word good-bye
Bring back the joy to my life
Don't leave me here with these tears
Come and kiss this pain away
I can't forget the day you left
Time is so unkind
And life is so cruel without you here beside me

Un-break my heart
Say you'll love me again
Undo this hurt you caused
When you walked out the door
And walked out of my life
Un-cry these tears
I cried so many nights
Un-break my heart
My heart

Don't leave me in all this pain
Don't leave me out in the rain
Bring back the nights when I held you beside me

Un-break my heart
Say you'll love me again
Undo this hurt you caused
When you walked out the door
And walked out of my life
Un-cry this tears
I cried so many, many nights
Un-break my

Un-break my heart oh baby
Come back and say you love me
Un-break my heart
Sweet darlin'
Without you I just can't go on
Can't go on....

Video ... http://www.youtube.com/watch?v=p2Rch6WvPJE
Enjoy
xoxo

Tuesday, April 3, 2012

Come We Stay...

                         


Mambozzz...
Kwema? Kuna siku nilikua very honest humu ndani nikasema kua I've never lived with a man in my life... Sjui kuhusu wewe.. Look around you, angalia dada zako, wifi, mama wadogo, majirani na marafiki wa kike.. Kuna yeyote anaishi na mwanamume nje ya ndoa? Ni kipi hasa kinapelekea  a couple to move in together? Kwa wale waliomo ndani already, je uliangalia pros and cons za Come We Stay?
Kuna article niliona gazeti la The Guardian 27th May 2011  iliandikwa na Angel Navuri...

" `Come we stay ni a system ambayo many partners like using it thinking that they can get the right partner to marry, but at this time they try to observe each other’s behavior if they could be a perfect couple in life, many of them succeed and end up getting married.
But after some time hell breaks loose and the house is on fire, no peace at home any more the honeymoon is over, and no-one is calling the other sweet names any more.
At the time of ‘come we stay’, the lovers don’t think that each of them will try to hide his or her bad behaviour so that they may be able to marry. After that everyone starts showing his or her true colours; this is the mistake that many of them make and end up regretting why he or she got married.
This is a system that the new generation likes applying, but not thinking that its not the best way to get a partner as they assume as the man will either start dating other women or the lady could also start dating other men too and yet they are staying together."

Apart from either of the couple kuanza kuonyesha tabia zao halisi - Kama ni mvutaji sigara ndo anaaza, mlevi kupindukia ndo anakuonyesha, club hadi alfajiri anaendeleza, mchafu ndo utakoma, mtumiaji mbaya wa hela ndo anaonyesha vizuri..nk.
Na pia kumbuka kwa Roman Catholics huruhusiwi kushiriki the Holy Communion kama upo kwenye Come We Stay.
Anyway maybe nitakuwa naangalia upande mmoja tu. Kama upo kwenye relationship ya namna hii tusaidie kujibu maswali yaliyopo hapo juu... Tufahamishane!!!


                                      
Have a lovely day..
xoxo
 
 
       
 
 
 
 

Sample text

Sample Text

Sample Text