Social Icons

Pages

Thursday, April 5, 2012

Tatua Thursday...

                             


Mambo W.N.S (wanawake ni sisi),
Mi ni mdada wa miaka 35. Na kuna kitu nimegundua. Sijui kama na nyie my fellow ladies imeshahi au huwa inawatokea...
Kuna kipindi hua kinakuja nakua kama nina gundu.. Yaani hata nikipita mbele za wanaume, hamna atakayegeuka kuniangalia, hamna hata mmoja atanyanyuka kuja kunisemesha, hamna mwanamume atakayenipigia simu wala kuntumia sms. Tena inaweza ikapita hata miezi miwili.
Ila kuna kipindi... Nakua kama nimemwagiwa nyota mwili mzima.. Nakua kama nang'aa na kuvutia zaidi, inakua kama wanawake wengine hawa exist. Manake kila ntakapokatiza wanaume kibao wananisemesha, naombwa namba za simu, wa zamani wanaanza "baby come back", naletewa zawadi ofisini kutoka kwa secret admirers na kadhalika! Kipindi hiki kinaweza kikadumu kwa mwezi mmoja. Kisha nisipochagua hata mmoja hapo wa kuwa naye, narudi kwenye ukame wangu baada ya wanaume wote kuyeyuka na kunipotezea. Kwa kweli sijaelewa. Hii ni normal au wengine tupo tofauti?
Naomba ushauri na maelezo kutoka kwa anayejua au kulielewa hili...

Asanteni in advance,
Penny.

Kwa maoni au ushauri kwa Penny - feel free to comment.
Kuwasiliana nami email - barbshassan@gmail.com
au SMS - +255 759 008500

Happy Easter wapendwa..
xoxo

2 comments:

  1. u are not alone

    ReplyDelete
  2. ipo sana.. ingawa wengi hatuisemi wazi.. lakini kuna mambo ya kufanya uili ukame usiwe kwa muda mrefu.. 1. keep shining. unapofanikiwa mara zote unakuwa kny spotlight.. 2. keep smart.. wanaume will always look for smart gals. sasa toka jichanganye na jionyeshe kuwa wewe ni smart... 3. keep simple ..man hate complications.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text