Social Icons

Pages

Monday, June 25, 2012

Hook Me Up....


                                           

Hellow....
Kwema? How was the weekend? Yangu ilikua poa tu nashukuru.. Nililala weekend nzima! Nimekuja ofiisini asubuhi nikiwa sooo refreshed...
Anyway I know wanawake wote tuna girl friends, mashosti wengi wengi tu, wengine tuko nao closer kuliko wengine. Na pia kwa vile mie ni mwanamke na pia nina friends nina uhakika yatakuwa yameshawahi kukutokea haya. When una boy friend, na shosti wako yuko single - wengi wao hua wanaomba uwa hook up na rafiki za boy friend wako, au hata labda na kaka yako, uncle na kadhalika!
What do we expect? Labda hua tunadhani kwa vile labda your boy friend ana vigezo na tabia njema then marafiki zake pia watakua the same? Au tunataka kuunganishwa (kua hooked up) ili twende on double dates?
Personally, all the hook ups ambazo nishawahi kupata hazikufaa. Nilikimbia mwenyewe!!! Wanakua sio what you expected...

Hii ni tabia ambayo wanawake wengi tunayo, tusidanganyane... Swali ni kua - does the relationship work hata ukiwa hooked up? Ishawahi kutokea kwako na upo na huyo mtu till now? Au iliishaje? Ningependa kujua tu.... Let's share...

Funguka...

Email me - barbshassan@gmail.com
or SMS -0 +255 759 008500

xoxo

8 comments:

 1. be dada mi nilkuwa hooked up my hubby alipenda urafiki wa best wangu na rafiki yake c akamwambia if u have a frnd next tym uje nae mie nikiwa cjui hili wala lile nikatoka na frnd wangu tukanywa na kucheza muziki sana na cku hiyo jamaa hakusema kitu ilikuja kutokea baadae na tuko mr and mrs na cjutii kuwa nae nilikuja kujua baadae sana kuwa aliomba akutanishwe na frnd wa rafikie!!!

  ReplyDelete
 2. out of topic:
  Babra can't you do something to improve PowerBreakfast session? it is totally boring! especially H! please you have to be creative, you (PB team) have to do something different or otherwise you'll continue to loose fans!!

  ReplyDelete
 3. Out of Topic!!!

  Babra mbona umekuwa kimya sana hauja update blog yako muda mrefu sana. Kulikoni kuna tatizo tujulishe wapenzi wako wa blog.

  Doreen S. U.

  ReplyDelete
 4. I hardly leave remarks, however i did some searching and
  wound up here "Hook Me Up....". And I actually do have 2 questions for you if it's allright. Could it be just me or does it appear like a few of the comments look as if they are coming from brain dead people? :-P And, if you are posting at other social sites, I'd like to follow everything fresh you have to post.
  Could you list of all of your public sites like your twitter feed,
  Facebook page or linkedin profile?
  my site - how to get your ex back

  ReplyDelete
 5. Thanks designed for sharing such a pleasant opinion, piece of writing is nice, thats why i have read it completely
  Feel free to surf my site : numerology calculator

  ReplyDelete
 6. Hi! I simply want to give you a huge thumbs up for your excellent information you have got
  right here on this post. I'll be coming back to your web site for more soon.
  Look at my web page : clean my pc

  ReplyDelete
 7. In tantric massage, lingam massage is an with
  an indivіdual can enԁ uρ beingneѕs activаted innеr a
  beneficial Methоd acting.7.

  ReplyDelete
 8. It is also possible to cгeate a ρerѕοnal tаntгiс
  massage morning, at hіgh nоon, at Ѕunset and at miԁ-night, slοwly,
  80 timeѕ a day, fοr 4 wеeks.  Feel free to surf to my web-site you could check here For sensual massage london

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text