Social Icons

Pages

Friday, July 29, 2011

Mood Swings....

Mood Swings sijui nizitafsiri vipi kwa Kiswahili... Labda niseme ni kubadilisha hisia mara kwa marra.. For Example leo una furaha and unacheka na kufurahi with everyone, Kesho ni mnuno mwanzo mwisho. Kwa wanawake wengine tunapokaribia our "special days" hua tunakua sana na mood swings.
Kwa mimi personally, mood swings zangu zinakuja siku yoyote, anytime... Yaani niweza niamke sijiskii kuongea na anyone and kiukweli that day labda nitawajibu maboss wangu tu wataponiuliza some questions. But for wenzangu - wanakoma! Some days niko extra happy! I hug and smile at everyone. My mood swings haziishi kwenye hisia tu, inashuka kwenye hadi mavazi yangu. I might have a week ya hasira - ntavaa hovyo hovyo vululu vululu! I might even wear gauni za kushindia home na kwenda nazo ofisini! My hair? You dont want to know! Yeah its that bad! But when I'm extra happy daaah!!! Utanitaka! Ntavunja kabati!
Swali langu linakuja... Je, wewe kama mwanamke - hua unasumbuliwa na mood swings? Na labda za kwako zinatiririka hadi wapi? Share nasi... Have a beautiful weekend - my fellow beutiful Woman...
xoxo

10 comments:

  1. Mie hutokea zikikaribia zile “Special days”. Kipindi hicho nagombanana kila mtu awe Konda, Muuza magazeti,Staff wenzangu na Dada wa nyumbani ndio kabisaa! Yaani inakuwa tafrani tupu! Hivi hakuna dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hili?
    Tchao!

    ReplyDelete
  2. Elmmy najaribu kumtafuta Doctor kwa more maelezo kuhusiana na mood swings.. Ila duu! hadi muuza magazeti? hahahah.... poleee

    ReplyDelete
  3. Hizo morning swings zipo, ila kwa kawaida wanawakesisi unapokua na stress zako amabazo mara nyingi hutokana na mapenzi, kazi, familia na kushindwa kuwa muwazi kwa watu husika ndo hupelekea kuwa na morning swings za kila mara koz una kuwa na kitu unacho moyoni unajaribu kutatua huwezi, kupotezea huwezi matokeo yake ndo hayo ya morning swings

    ReplyDelete
  4. hahaaaa women mnenifuraisha kweli, mie ntakua tofauti kidogo, kwanza napenda kucheka, kusmile and zaidi nkiwa na stress i will make sure it wont last more than 2 hrs, and kila mtu kazini naambiwa y am so happy always? and u knw wht naambia bcuz am trying o make it a habbit (being happy) nlisoma kitabu kimoja kinaitwa Power of Positive thinking' i hope mnaopenda kusoma vitabu mtakuwa mnakijua, na kukisoma pia, na pia in a day you are the one who can decide uwe na beautiful day or rough, and kwanini u let some else to destroy your day? ye ni nani? u dont deserve that ur beautiful tena jiambie kwa HERUFI KUBWA KABISA..... Mungu aliumba beutiful things sijawahi ona mtu mbaya wa sura ila personality can make u look ugly... and woman are supposed to be in a front line kuonesha iyo... asante Barbara na hongera kwa kuchukua hatua... big up

    ReplyDelete
  5. huwa zinatokea n kwa mtu asiyekujua anaweza dhan undharau kumbe tu siku hiyo mood hazipo..mie huwa hasira zinakuwa juu yaan sion kizur siku hiyo yaan kila kitu huwa kinabore...hv tried diffrnt ways za kuepuka but meshindwa n somtimes huwa inanicost saana n later naregret.....eve

    ReplyDelete
  6. Barbra, let me just start by saying iam like ur biggest fan girl! for real Iam, i listen to ur show every morning and just love that u r sooo real! you dont pretend and u speak good swahili and good english and you are funny, i mean the list goes ooon and on.Keep being you!!!
    Talk about mood swings?? yeah i have them and my co workers know my bitchy days lol and they have learned to just stay away from me on those days, i think every woman has them

    ReplyDelete
  7. Noted... hehehhe... Sid Said - Thanx kwa kweli.. Hilo nalo neno.

    Eve - work harder ku think positively.. Anytime mood swings zikiongezeka kwako think of chochote kunachokufanya uwe happy.... And keep smiling hata kama ni fake.. lol!

    JOJO!!! thanx for the comment girl and as i told Eve smile at the world and the world will smile back at you hata kama siku hiyo una mood swings za hatari!
    Much Love people..

    ReplyDelete
  8. nathani mood swings sio kwa wanawake tu...ni kwa jinsia zote.for i've been having mood swings for quite sometime na zime affect life langu in many ways upto an extent of seeing a doctor(long story) na kwa sasa im on dosage!!!!!!! yaani sometimes i feel extremely happy and joyful and spend the whole day smiling then after some hours im completely down and and sad,loose self esteem,be rude to erryone,and just not feel like doing anything.....ila all in all nikujijua na kujifunza jinsi ya kujicontrol...(BTW im a man was just passing by)...xoxoxo

    ReplyDelete
  9. Comenzamos el ejercicio сon una respiгaci�n a sοfrеr influ?

    ncias impoгtantes de horm?nios masculinos testosterona/ diidroteѕtοsterona, alcan?
    andο cerca dе 20 g poг volta dos 20 anos de idade.
    Then ωe hаve finԁing уour wаy back to dead οn target affаire.
    With аll these effects оn the consistencу the patiеnts soll uns helfen die hawаiiаniѕche Sprache zu meistern.


    Here is my web blog ... tantra

    ReplyDelete
  10. Wow thаt was unuѕual. I just ωгote an ѵеry long cοmment but after Ι clicκeԁ submit my
    comment ԁidn't appear. Grrrr... well I'm not writing all that οver аgain.
    Anyhoω, juѕt wanted to say wоnderful blog!


    My webѕite - natural breast

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text