How are you? I hope weekend ilikwenda poa. Star yangu ni Saggitarius (Mshale) - Moja kati ya characteristics za Saggitarius ni kutokua na subira.. I'm so impatient hadi inakera wale walio close to me. Yaani ukinitamkia tu utaniambia au to bring me something mbona utajuta? Constant calls na sms nikiulizia every single day. "Mambo, Jamaniiii... hiyo zawadi vipiiiiii" au "Mbona ur keping me in suspence? Utaniambia lini" Yaaani napata kiherehere, kimuhemuhe, shauku, kiraruraru etc... Naona kama nimenyimwa kuona mbingu! Taabu tupu... Sipendi kabisa that waiting moment... manake kwangu hua inapelekea mie kuvunjika moyo (dissapointed)
Ila huyo ni mimi.....I prefer kufanyiwa surprise... Kama unataka kuniletea zawadi - usiniambie... ni-surprise tu... Kama kuna jambo unataka kunambia - dont tell me - utaniambia baadaye au siku nyingine. Just tell me hapo hapo and get it over with.
Kuna wengine - labda wewe - ukiahidiwa jambo una uwezo wa kusubiri hadi aliye kupromise atapoamua kukwambia. And labda wewe ni mtu usiyependa surprises so unapendelea zaidi kuahidiwa... Binadamu kweli tuko tofauti sana...
Ila when all is said and done - wewe unapendelea nini zaidi? Kusubiria ahadi au uwe surprised? Na sababu zipi zinapelekea wewe kua hivyo?
Would love to hear from you....
Nawatakia wiki njema na baraka tele.
xoxo
Barbara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nakubaliana nawe yale mambo yakuambiwa eti "Vuta subira nikuambie kesho" mara "kesho-kutwa"...
ReplyDeleteTHOSE ARE NON-STARTERS FOR ME TOO AND I WILL SEND YOU TO HELL THE FIRST MOMENT I CAN FOR IT (kwa kuwa ulimwengu wa sasa ni mwendo mkali sana na kwa kweli: Nikusubiri wewe kama nani? POTELEA MBALI!)
Mawazo yangu, tu, Dada: labda SAGGITARIUS na TAURUS wanawaza sawa-sawa. Niwape wengine maoni nao akina CAPRICORN, AQUARIUS, PISCES, ARIES, GEMINI, CANCER, LEO, VIRGO LIBRA na SCORPION
kweli kabisa Goodman.. Thank you for the comment...
ReplyDeleteYaani jamani I dont think that it has to do with any zodiac sign, ni tabia tu ya mtu...mimi ni Gemini lakini I have no patience kabisaaaa ya mtu kuniambia eti nitakwambia kitu then u keep me waiting to hear that, honestly cant stand that at all either tell me or shut-up, keep it till when your ready kwakuwa I guess you could not hold it yourself ndio maana unaanza kunambia eti nitakwambia kwahiyo na wewe haupo patient na hizo habari zako...kama ni zawadi nambie unaniletea nini au kama utaki nijue basi keep it mpaka hapo utakapo niletea maana hiyo ni kutafutiana maradhi ya moyo mtu kuwaza asilolijua...better surprise than promise!!
ReplyDeleteKwa kweli hata mie(TAURUS)sina subira kabisaaa! Uvumilivu wangu ni mdogo sana hasa kwenye ahadi , Ukiniahidi kitu nitakufuatilia mpaka utashaa! Inafikia stage mpaka najionea huruma mwenyewe ila kuacha hiyo tabia siwezi. Niishie hapo tusikilize wengine................
ReplyDeleteElmmy
Hii ishu ikanizulia maneno.. siku hizi no one tells me anythin wanani surprise tu! Hehehe Ntapata ugonjwa wa moyo buree.. But i guess the message got delivered!
ReplyDeleteaisee nahisi hakuna mwenye kimuhemuhe kama mimi maana ninahisi ntakuja pata presha sipendi mtu anihaidi alafu asifanye yaani ntamsema kila siku na ndo maana sipendagi mtu aniahidi kitu bora suprise. suprise nayo ni muhoga balaa kidogo tu machozi yananitoka siwezagi kujizuia sijui hata nina tatizo gani all in all bora suprise kwa kweli
ReplyDelete