Jamani jamani.. Mimi kama mwanamke wakati namnyonyesha mwanangu nilikua naona aibu kutoa nyonyo mbele za watu. Sasa imajin na utu uzima huu eti nimtolee mwanaume nyonyo hadharani anyonye kwa raha zake. Coz kwake sio chakula!!! HAHhhhahahahah..
Kumeingi mtindo huu mpya nchini Ghana wakaka watanashati wadogo wadogo kiumri wakienda out kwenye clubs wananyonya maziwa ya madem zao nje nje bila aibu!
Swali - I know hao wanaume hawataona aibu kihivyo, lakini kwa wadada je? Na hizo night clubs kwa nini wasiwakatalie kufanya hivi?
Je, wewe unaweza kuthubutu to do the same?
Have a lovely day,
xoxo
Maoni Email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759 008500
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mmh. Never siwezi kuruhusu huo ni ujinga sio mapenzi.
ReplyDeleteMama Alice
tabia za kuiga hizo.tena ni ujinga uliopitiliza.nafikiri ni laana tu hizo kufanya mambo yasiyoeleweka
ReplyDeletewacha watu wale maisha, unajuaje wamekata tamaa, afadhali awe hivyo kuliko kuwa shoga!!!
ReplyDeleteToronto tantrіc massageѕ are Commonly ρerformed foг your
ReplyDeletesenses tell you close to sealed teachers? The tantric massage always гelахes my phyѕical stгucture and mу braіn, and never fails shοuldеrs and handοut.
Μаssaging ѕensually giνеs us the аbility
to communicatе with each help him relax.
Also visit my web page: sensual massage
M nanyonya kwa raha zangu bibi weee
ReplyDeleteAixe cwez kufanya k2 km hcho
ReplyDeletedah!
ReplyDeleteHizi ndio nyakati za mwisho za kizazi hiki, hivyo mimi sishangai sana. Inabidi tupige magoti tusali.
ReplyDeleteUjinga mtupu lol
ReplyDeleteUshuhuda Wangu Wa Dhati 💖
ReplyDeleteBaada ya baba yangu mdogo kuniacha kwa miezi saba ndefu, nilivunjika kabisa. Alinifungia kwenye mitandao yote ya kijamii, akasafiri mbali, na hakukuwa na njia ya kumfikia. Nilikaribia kukata tamaa juu yetu, lakini ndani kabisa nilijua singeweza kupata mtu yeyote ambaye angenipenda na kunitendea jinsi alivyonitenda.
Siku moja, bosi wangu kazini aliona jinsi nilivyokuwa na huzuni na akanitambulisha kwa Dk. Dk. Dawn alisikiliza hadithi yangu na akaahidi kwamba mpenzi wangu atanirudia ndani ya siku tatu. Kusema kweli, sikuamini mwanzoni—lakini kwa mshangao mkubwa zaidi, siku ya tatu simu yangu iliita. Ilikuwa ni yeye! Alikuwa akilia na kuomba msamaha, akisema hataniacha tena.
Tangu siku hiyo, uhusiano wetu umekuwa wenye nguvu na mzuri zaidi kuliko hapo awali. Amekuwa akinipenda na kunijali sana mimi na mtoto wetu, na sasa tunafunga ndoa baada ya miezi miwili tu! ❤️
Shukrani zote kwa Dk. Dawn, ambaye kwa kweli aliwezesha jambo lisilowezekana. Ninampendekeza kwa moyo wote kwa yeyote anayekabiliwa na changamoto katika:
Masuala ya mahusiano au ndoa
Ugonjwa au magonjwa
Ugumba au matatizo ya bahati nasibu
Kesi za mahakama au kurejesha mali
Dk. Dawn kweli hutatua matatizo kwa ufanisi na hurejesha furaha katika maisha ya watu.
Wasiliana na Dr. Dawn kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com