Hi kwema?
Krismass ilikuwaje? Did u get time ku spend na family, marafiki nk? Au ulikua mwenyewe kwa sababu zisizoepukika? Whichever way - I hope you enjoyed one way or another...
Kuna jambo limemtokea a friend of mine and kwa ridhaa yake kaniambia niombe ushauri from you...
Huyu dada ntamuita Eugenia * Sio jina lake*
Eugenia ni mdada mwenye miaka 31 anatokea kwenye familia Middle Class. Ana Degree yake in Psychology and anafanya kazi nzuri tu. Anajua kujipenda na kujiweka poa. Ana heshima, ni mcheshi, very smart, intelligent, hard working, focused, God fearing nk... Amekua in a relationship na this guy kwa muda wa miaka 5. Kama kawaida wanagombana na kupatana kama any other couple... Jamaa hajawahi kumvalisha Eugenia pete ya uchumba but wazazi na ndugu wa both sides wanajua kuwa watoto wao are a couple. Juzi hapa wakawa na a very big fight - wakagombana hasa - after Eugenia kufuma some sms zilitoka kwa demu kwenye phone ya boy friend wake. But si ni kawaida kugombana na kupatana? Heee the guy ndani ya 2 weeks akaanza kutoka na demu mwingine after mwezi na nusu kamuoa!!! Eugenia amepitia a lot na huyu jamaaa.. Wakati hana kazi - she was there, matatizo ya kifamilia - she was there, Leo hii jamaa kaamua kuoa demu mwingine...
Eugenia is in shock hadi sasa hivi... Kazini hawezi kwenda, sehemu tofauti hataki kwenda.. Anakaa akilia tu.. Atakua anajiulia a lot of questions right now..
1. Where did she go wrong?
2. Mbona the guy hakutaka wakae na kutatua their problems?
3. Was this a rebound relationship (hiyo ndoa)?
4. Au jamaa alikua na nyumba ndogo long time?
5. Why jamaa amempotezea 5 years in a relationship?
Tumsaidie anahitaji ushauri wetu..
Hivi vitu hutokea if not to you directly labda kwa mtu unayemfahamu....
have a blessed day..
xoxo
email me - barbshassan@gmail.com
sms me - +255 759 008 500
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mimi ni mwanaH wa Kimara, duh mie nampa pole huyo dada Eugenia. Haikuwa riziki yake huyo mwanaume, tena ashukuru mungu kwani limuapukalo lina heri nae. Jamani yalishanikuta yao mie miaka miwili iliyopita jamaa aliniacha tuliishi kinyumba akatoka kwenda kumpa mimba msichana mwingine. Uwiii Barbara inauma hii sana, nililia na kulia sana coz i loved that guy with all my heart..... nilipata nafuu baada ya kupata trip ya abroad kwa mwezi mmoja. Bidada ajipange angalie maisha yake ipo cku atapata wake wa kweli sio huyo mbabaishaji. Mungu atutie nguvu wanawake wote tupatao haya majaribu.
ReplyDeletefive years without commitment or any sign of commitment we don't call that relationship... kama yuko serious ange propose earlier than that. its men's game to waste time without strings attached. she should gather herself and move on keeping in mind there was no love, only that she did not read between the lines.
ReplyDeleteMwambie afadhali yamempata sasa kabla hajaingia kwa hiyo ndoa( i know its easier said than done)asifikiri hii ndio mwisho wa njia,she deserves better ajipe mda na bila shaka kaka mzuri atakaye mpenda atatokea tu,she should NOT however feel like it was her fault that it didn't work coz its not...otherwise eugenia pole sana. babra am loving your blog, sijui kwanini sikuiona mapema.
ReplyDeletemh nahis ni kama vile nmetendewa mimi mana yalishanikuta.inauma tena sana 2 kwa m2 uliyekaa nae 5 years cjui y wanaume wako hivi,shukuru Mungu likuepukalo lina heri.Eugenia we lia tena sana 2 ili utoe machungu uliyonayo mana ndo njia pekee ukimaliza mwambie Mungu asante then endeleza maisha yako as if ndo unaanza piga moyo konde ndo maisha weng 2napitia amin kuna heri zaid mbele yako.
ReplyDeleteJamani ni ngumu, mm yalinikuta tena ni after 7yrs, tena hv sasa ndoa ina mwaka. Na alisha rudi kuomba msamaha. Cha muhimu ni kusali na kuomba mungu akutie nguvu na moyo wa kustamili hili.
ReplyDeleteNi ngumu, lkn ww c wa kwanza wala wa mwisho kukutana na hili, wapo ambao wamefunga ndoa na yamewakuta haya yaliyokukuta ww, na wengine wameachwa na watoto,na wengine wapo katika mateso makubwa.'
Kama ni mkatoliki omba kwa mama Bikira maria kwa sala na maombezi yake akupe moyo wakuweza kuvulia kama yeye alivyoweza.
Kwa mungu kila kitu kinawezekana ingawa hutaweza kusahau.
pole sana bidada.. kiukweli inauma sana!!! kama ni kulia alie hadi machungu yaishe then she should 4get abt de past an move on
ReplyDeleteHello B,
ReplyDeleteIt's so sad for the lady.
Kama anaweza aombe likizo for a while, aende mbali kidogo apumzushe akili. CAUTION: Asikurupuke kuanza mahusiano mapya coz akili yake haijakaa sawa kwa sasa, asije regret kwa decision yeyote atakayofikia at this situation. Kipindi hiki ndo huibuka wapita njia wenye kujidai kutoa comfort kumbe ni temporary, they can use and dump her, so it will be double pain.
She should think twice b4 anything so as not to regret later. Let the past go, think of the future, God will show u the right man, keep the faith.
another sababu ya kuwachukia wanaume...jipange dada mungu ndo kimbilio lako for now...achana nae,i knw it hurt n will take time...be strong
ReplyDeletekiukweli hio ndo hali halisi ya maisha. Ila naamini experience za maisha kama hizo zinakufanya uwe stronger. next time utajua exactly what you will not tolerate and stand for. Once beaten twice shy. Mimi relationship ya 7 years ilikufa nikalia, nikafuta machozi nikawa ngangari..kuachana kwetu kulinifungua macho juu ya mambo mengi pamoja na makosa ambayo mimi nilikua nayafanya. Nashukuru nikapata "the one" nimeolewa miaka 6 sasa and am so happy. Hata sikumoja usidhani kwamba such things hazitakutokea wewe just thank and pray to god kwa the good times that you get with your man, ikifika till death do you part is even better. But kuachana na mtu is not the end of the world. you are incharge of your destiny. So futa machozi na songa mbele my dear.
ReplyDeletedah mpaka chozi limenitoka!nawachukia wanaume mpaka dkk ya mwisho ya uhai wangucoz wameniumiza sana.pole dada kwa kupoteza muda wako lkn kumbuka hakuna kitu kinachotokea bila sbb mshukuru mungu.lia punguza machungu.wengi tumekua strong baada ya kupata maumivu mengi ya mahusiano.najua kiasi gani unaumia na ukiwa kwenye stres hata kumuomba mungu huwezi ila jitahidi kumuomba akupunguzie machungu.cjui wanaume wana nn jamani wanatuumiza kweli.pole mamii.
ReplyDeletewanawake wengine wanalazimisha mahusiano..mtu hakutaki wala hana time wee unakomaa nae tu na hata kuhamia kwake unaenda kisha unajimilikisha mambo kibao abt him..mnakurupuka sana...tatizo wanaweke wa kibongo mnaogopa sana kufika 30yrs bila kuolewa so mnajiingiza sehemu hata msizochaguliwa...
ReplyDeletealafu muwe mnatofautisha sex na uhusiano..mtu anakuomba kutiana au mtu anasex na wewe kwa matamanio yake basi wee unajiona hapo ndio pa kujikita..kumbe mwenzio alikuwa anamcheat mpenzi wake..matokeo yake siku akirudi kwa wake unaanza ooh mie nimeachwa..
alafu mtindo wenu wanawake wa kuhonga wanaume kisha mwanaume kuchukua hizo hongo na nyie kujihalalishia uhusiano hapo mnakosea..unahongwa unatiwa sio maana wee ndio wake...wabongo sex mnaona dili sana..sex sio kuja kuolewa na huyo..otherwise muwe mnauliza ..muulize mwanaume kama atakuoa au anampango na wewe..funguka mapemaa...
cox
mmmmmh na nyie wanaume wa kibongo matapeli tu..km na ww unamtaka kwa kuzuga nae cku zisogee c muwambie ukweli co unamtengenezea mazngira ajione yeye ndo yeye kumbe una lako jambo!!mi janaume ckai nalo nyumba moja adi kieleweke siendekez ujinga wa kuish na mtu.km akuna ndoa hamna shukrani nyie
DeleteHatupaswi kumlaumu huyo dada coz mapenzi ni kitu kingine jaman,,,cha msingi atafute time ya kupumzika na kumsahau n usikubali kuingia kny mahusiano mepema!take time kupanga maisha yako na kama yupo wa kwako atakuja tu kwa uwezo wa mwenyezi mungu!men are good fo nothing
ReplyDeletevijana tunasahau kumtanguliza mwenyez mungu..!!afanye ivyo atapata mtu bomba
ReplyDeletedu!!pole sana dada.most of men ni walaghai. mimi binafsi nilishare life na mwanamume 4 years ambaye aliniengaje mbele ya wazazi wangu. tumezaa mtoto na tukaachana baada ya miaka 3 huwezi amini alinitoa kama mbwa mama yake mzazi akisimamia zoezi huku akiwa tayari keshamletea binti wa kabila lao muhaya!!!! niliumia kupita kiasi na siwezi kuisahau ile familia katika maisha yangu. nimebaki na mwanangu nikilea peke yangu.mwombe mungu dada atakupa kusahau japo si kabisa na utaweza kundesha maisha mapya
ReplyDelete