Hellllooooooowwww,
Forgive me kwa nitachosema leo... But heeey ni kitu tunaona everyday na most likely hata sisi wenyewe humu ndani tushawahi kuwa na mahusiano, kutamani au kutembea na mume wa mtu - wakati tunajua kabisaaa he's already taken.
Kuna raha gani kuwa na someone who you know sio entirely yours., someone ambaye you can't be with muda na wakati unapomuhitaji, someone ambaye huwezi kujiachia naye kwa kwenda for movies, events nk.
Let's start hiviii, Are you the other woman in someone's married life? Kwa nini uamue kua na affair na a married man in the first place? Utakua labda unawaza/kufikiria kua uko very much in love with him. Au utakua hujali kua he's already taken.
Why umekubali kua naye knowing darn well yuko married? Umeshawahi kuwaza kua wewe ndio muharibifu wa ndoa hiyo?
Atakua labda kakuambia kua wamekua na matatizo katika ndoa yao for years kabla hajakutana na wewe. So maybe nawee ndo unatumia hiyo kumvuta closer to you. Unaamini it's not your fault kua yupo in a relationship with you. Unawaza kua mke wake ndo mwenye tatizo as she doesnt know jinsi ya kumpenda and to cherish him. Labda kakwambia mke wake hana time naye coz she's too busy na kazi au watoto na hawako in love kama zamani.. Right? Labda hata ameshawahi kua soo emotional na wewe na kukulilia akikwambia shida za ndoa yake.
Labda kakupa a very long list ya matatizo yao and you believed him. Si ndio? Unajiuliza so what kama u are loving a married man? Inawahusu ni walimwengu eti eeeh?
Umewahi kuwafikiria watoto wake? Umewaza how many hearts you have broken?
Umekubali kuwa mpango wa kando kwa muda gani? Na je yuko tayari kumuacha mke wake and marry you? Aki commit kwako - kwa mfano - una uhakika gani kua he wont cheat on you?
Huishiwi nguvu emotionally when you have to compete for attention and ku share a man? Hupati wivu wakati mwingine? Kua mkweli...
Haya ni baadhi ya maswali unayotakiwa kujiuliza right now kama wewe ni mpango wa kando wa a married man. Au if you are THINKING kua in a relationship na a married man...
ADVICE KWA MPANGO WA KANDO
Kama already umeingilia ndoa ya watu, hujachelewa, you can leave now. Ni maamuzi tu. Usmitishie nyau wala kutikisa kibiriti kwa kutoa ultimatum, ondoka tu! Sawa itakuuma kwa muda lakini you will heal. Tafuta vitu vya kufanya - jifunze new things ili kujiweka busy usimuwaze... Kuna thamani gani kua kwenye relationship with a guy who is cheating on his wife? Put yourself kwenye the wife's shoes, how does it feel?
Kama ndo kwanza kua na feelings na a married man, kimbiiiiaaaaaaa.. It's a bad idea!!! Ukikubali kuingia kwenye hiyo relationship na ukaacha iendelee it means feelings zitakua deeper and itakua ngumu wewe kuachana naye... And kama na yeye akikupenda, UNALO!!!
Kuna wanaume kibaaaoooooo!!!! Eg - Bachelors, divorced, and widowed. Watafute taratibuuuu and sehemu tofauti. Avoid being the other woman! Itaku cost...
Song Of The day - Changing Faces - That Other Woman..
I can't be that other woman
I can't be that other woman
You only see me every Friday night at nine
Can't imagine what you told her this time
You never take me to a public place
Worried that somebody might notice your face
Rush to the liquor store and then a motel
Call up your friends to just cover you're trail
Not a word until the week goes by
You call me when you want some pie
Why am I crying every night over you
You're never gonna leave her
Finally I woke up and smell the coffee
I understand
Why two women can't share one man
I can't be that other woman
I can't love you down
Can't keep creepin' around
Can't be that other woman
Yes I want you bad
But she needs you much more
I can't be that other woman
I can't love you down
Can't keep creepin' around
Can't be that other woman
Yes I want you bad
But she needs you much more
You never see me on the holidays
You disappear and won't return my page
You take my body in the middle of night
I ain't gon lie cause boy you do it so right
And then you melt with them same three words
Sweetest seduction that I've ever heard
And in the morning with the sun rise
You run to her I realize
Why am I crying every night over you
You're never gonna leave her
Finally I woke up and smell the coffee
I understand
Why two women can't share one man
I can't be that other woman
I can't love you down
Can't keep creepin' around
Can't be that other woman
Yes I want you bad
But she needs you much more
I can't be that other woman (See)
I can't love you down (What goes around comes around)
Can't keep creepin' around
Can't be that other woman
Yes I want you bad (I want you oh so bad)
But she needs you much more (yeah, yeah, yeah, yeah, yeah)
Can I get a witness
(Yes you can)
Can I get a witness
(oh yeah, yeah, yeah, yeah)
Can I get a witness
(You know you can)
Have you ever been in love with another girl's man
Can I get a witness
(Yes you can)
Can I get a witness
(oh yeah, yeah, yeah, yeah)
You said you're leaving a thousand times
But I won't believe til the papers are signed
Can't be that other woman
I won't believe it no
I gotta be the only one
Yes I want you bad
But she needs you much more
I can't be that other woman
I can't love you down
Can't keep creepin' around (No more late night booty calls)
Can't be that other woman
Yes I want you bad
But she needs you much more
In the morning with sunrise
You will run to her
You are never gonna leave her
So I'm saying good bye...
(Fade in chorus)
Unaweza ichek kwa youtube pia...
Good day my people,
xoxo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
inaizungumziaje hii ya mke wa mtu kutoka na mume wa mtu..maana hii ipo sana sanaaaaa...hasa maofisini na hata mtaani...tena unakuta wanatoka for years..sometimes hata watoto wanakuwa wamezaa...
ReplyDeletemke wa mtu kutoka na mume wa mtu....
alafu:
mume wa mtu akitoka na mwanamke wa nje mnaita yule mwanamke -nyumba ndogo
je mke wa mtu anaetoka na mwanaume nje yule mwanaume mnamuitaje?..
gluv
gluv100@yahoo.com
this blog is so boaring, no visitors
ReplyDeletelabda ujaribu kubadilisha mambo. Example badili ya kutung ishu zako uwe unaweka mambo recen yanayokea nchini
ReplyDeleteMh leo mbona wachangiaji wamekuwa wakali hivyo...umegusa penyewe babra. For sureme mwenyewe huwa najiuliza the same questions kuwa kama leo nikitembea na mume wa mtu na mimi ni mwanamke ipo siku naweza kuolewa...je nitajisikiaje mume wangu akiniabandon for another woman.....kweli sio vizuri jamani
ReplyDeleteDuuuu... Sasa nikibadilisha blog - kina issamichuzi watafanya nini? Si ntakua naingilia fani yao? Mimi naandika kitu ambacho niko comfortable nacho.... Ila shukrani kwa kuingia humu.
ReplyDeleteGluv anaitwa KIDUMU!!!
M nt datin a married man bt ameanza kunifuatilia 2weeks b4 the marriage!!Hv ssa ameoa n ni trh 26 tu ndo ilikuwa
ReplyDeleteM nt dating a married bt kilichonishangaza ni kwamba,ameanza kunifuatilia week 2 kabla ya harusi yake n guess wat ssa?akanipa pesa nifanye shopping ya maana ili niende kny harusi yake nikiwa nimependeza n akiniona ashtuke!!alivyomshenzi ssa kny kusalimia wageniakanitafuta nilipokaa akaja kunisalimia!the next day thot atakuwa honeymoon na mkewe bt sa2 asbh cmu zikaanza akidai anataka anione anpe pocket money!nlimkwepa coz nlijua si vyema kufanya ivo!Haiwez kupita cku bla kuja ofsn kwangu n kila siku lunch box dept yangu yote!nimemkatalia bt wap n he keeps on promising me mambo mengi mara tutaenda Dubai Easter n bla bla kibao!so kina dada oleweni tu n mm Nooo coz huyu kaka kanichosha kiukweli!Ni mfanyabiashara mkubwa hapa mjini bt cnce ameoa...BIG NOOOO!I luv this blog coz inaongelea mambo ya ukweli we usieipenda jikateeeee
ReplyDeletenami nia yangu ilikuwa nisemwe kidogo, naipenda sanaa tu hii blog, Babra na visitors, haiwez pita siku sijapita humu kupata machache ya kunijenga.
ReplyDeleteIla kwene comments naonaga chache(nikahisi mie alone ndo nakujaga kwene ichi kijiwe?) nikaona niseme tuu ishu itayomboa yeyote wachangie nami nijisie fresh
haaa haa,
Upo innovative maaa big up
gluv, anaitwa buzi,
ReplyDeleteDear, am with u, i luv this blog, inanitia moyo na kunibadilisha kiakili, kujiona kuwa i can.
ReplyDeleteMm ni mdada aged lkn yalinikuta, nilikua kwenye mahusiano about 7yrs, ckutegemea kama yangenikuta, huku nikiwa nimevumilia mengi kwa bf wangu.
End of the day natumiwa msg nicimjue our relationship iwe historia na taarifa ya ndoa, na mahali.
Kweli huwezi amnini ckuamini, na niliifuta ile msg on the spot, nikawa na roho mbili niulize ama nikae kimya.
lkn nilipata ujasiri wa kukaa kimya, ndoa ilifungwa April, but may akaanza kutuma msg, na kupiga cmu, ckuwahi kujibu wala kupokea.
On July akatumia namba ya niciyoifahamu, nikapokea, hata sauti nilishasahau ikabidi niulize ni nani, alipojitambulisha nilikata cmu.
ikapita muda na cku akaomba tukutane, then akaomba anioe as a second wife, nikakataa, ikapita mwaka, akaja tena anaomba niwe naye as nyumba ndogo, nilikataa coz ameshaoa, huwezi kunipa kile nitakacho hitaji, akasema he can but nilimjibu too late, kama uliweza kunikataa leo mapenzi yatatoka wapi .see how men they r
Wanawake wenzangu sometimes tuwe na ujasiri na stand katika maamuzi yetu,la sivyo tutaburuzwa n tunabaki kulia tu na kujipa stress!nawadharau coz thy re good for nothing....BAD ASSES
ReplyDeletePole sana my sis december 14, 2011 2:34PM
ReplyDeletelORD WILL GIVE WHAT U DESERVE
General madai ni kwamba wanaume ni wachache kuliko wanawake ndo maana haya yanatokea. i dont buy that. Ni tabia mbaya tu, na hasa mambo ya chuna buzi ila kwakweli hata mi na wish tubadilike. kama hapa kwetu imeshakuwa too much sasa hivi. hata hayafanyiki kwa kificho tena. Yaani mtu akichoka kwenye ndoa yake, akiboreka, wakiona penzi linapungua eti solution kunakuwa na mpango wa kando ama kidum. NO, SIPENDI. Ila, nadhani ukosefu wa huduma ya marriage councelling ni sababu mojawapo kuu...
ReplyDeletepamoja na yotee hao waume zetu nao hawajatulia jaman hata uwape nn hawa watu hawanashukrani hata chembe, hapo ni kumuomba mungu tu aendelee kukuheshimu. second mabinti wengi siku hizi wanapenda kudate na waume za watu cuz care zinakuwa nyingi especially financial inakuwa haisumbui ila si ki2 kizuri kwa kweli mm naamini kila m2 kaumbiwa wa kwake ni utulivu ili upate wa kwako ni hayo tu.
ReplyDelete