Social Icons

Pages

Friday, December 30, 2011

New Year....

                                                 

Hello...
Ni mwisho wa Mwaka mwingine tena na ni muda wa kutathmini what you have done, what you have achieved kwa mwaka huu..  Na piiiiaaa kujipangia malengo mapya kwa mwaka unaokuja. One thing's for sure - kama unajiamini sanaaaa basi ni muhimu uji push na kujiweka malengo makubwa zaidi na kama sivyo jiwekee malengo "achievable"....
Usiweke malengo sawa na mwingine - hujui why huyo mwingine amejiwekea vile... Kwa mfano labda mwili wako metabolism rate yake iko slow sanaaa huwezi kujiwekea the same malengo ya kupungua mwili sawa na aliye na metabolism rate iliyo fasta..
Panga kila kitu kulingana na uwezo wako.. Then try as much as you can ku achieve yale yote unayoyapanga kabla ya mwaka kuisha... Inahitaji a lot of discipline.. but ukiamini utaweza...

Something  else ... Kuna mambo ambayo in one way or another yamekurudisha nyuma kwa mwaka huu.. Wakati tunaingia kwenye mwaka mpya - LET GO of vitu vyote hivi.. Inaweza ikawa marafiki, wapenzi, biashara, kazi nk... Try something else.. kwa mfano - umejaribu business imeshindikana na ukapata hasara in the process... Achana NAYO!!! Move on... Jaribu something else au weka hiyo hela ya capital katika bank - kwa kufungua Fixed deposit account.. Utapata faida.. Sio wote tumeumbwa na mkono mzuri wa biashara...

All in all nawashukuru woooooooteee na nawapenda sana and nawatakia heri na fanaka katika mwaka 2012..
God bless..
xoxo


                                                               

3 comments:

  1. Nashukuru sana na mie nikutakie 'Heri na Fanaka' (kama siyo nafaka) kwenye the coming year '2012'

    Elmmy

    ReplyDelete
  2. Babra nakutakia Heri ya Mwaka 2012 usikate tamaa endelea kutupa vitu tunafuatilia kwa makini kila unachotupia.Mungu akupe nguvu ongeza bidii ya kutupia majamboz blog iwe activ isikae idle muda mref utatupoteza

    ReplyDelete
  3. Gгеat blog! Is yοur thеme сustom mаde οг did you dοωnloаd іt frοm
    someωhегe? A dеsign lіkе yours wіth
    a few ѕimple adjustements ωould reаlly make my
    blog ѕhine. Pleаsе let mе κnow
    where уοu got your theme. Ϲheeгs

    Feel freе to ѕurf to my blog post
    - how to get bigger boobs naturally

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text