Tuesday, January 3, 2012
Does it REALLY Matter???
Hellow people...
Kwema? Tumeuonaaaaa..... (cheering)
Mi najiona very lucky as huwa na meet a lot of people - wa kila namna - ni kwa ajili ya kazi ninayoifanya.. Huwa napata story kibao in the process.. Za kuhuzunisha na nyingine za kufurahisha.
My point ni kuhusiana na wanawake ninaokutana nao ambao ni wazazi - and maybe hata wewe ushawahi kukutana na hili....
Wanawake wanakuaga soooo conscious kuhusu mtoto anafanana na nani kati yake yeye na baba mtoto! Mara nyingi - And I dont know why - wanawake tunapenda sanaaaa kusema (hata kama sivyo) kua mtoto kafanana na babake.... Tunaweza hata kuanzisha ugomvi pindi mtu akiuliza why mtoto hafanani na babake...
Kwa Biology finyu ninaayokumbuka ni kuwa - mtoto anaweza kufanana na mtu yeyote kutoka kwa familia ya mama au ya baba mtoto..
Anyway - Kwani mtoto asipofanana na babake ina maana kuwa huyo sie baba mtoto? Na kwani inaleta tofauti gani kama mtoto hafanani na babake? Unajaribu kuthibitisha nini? Na utakuta kama mtoto hafanani na babake - unajaribu kutafuta features au vijitabia ambavyo unalazimishia kuwa mtoto karithi from the dad...
Au ndo yale yale "Ukweli wote anaujua mama" na "Kitanda hakizai haramu" So unajaribu kulazimisha kuwa mtoto anafanana na babake even if kama sivyo?
Msiniseme jamani - ni mtazamo tu....
Email - barbshassan@gmail.com
sms - +255 759 008500
Ubarikiwe..
xoxo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mie kwa mtazamo wangu finyu naona mtoto ni mtoto tu iwe kafanana na baba au mama madhali amezaliwa katika ndoa basi wakubaliane
ReplyDeleteNAPITA NJIA TU BARBARA.
Unanikumbusha story moja ilitokea kota za ffu mkoa flani.Mama alijifungua mtoto kafanana kila kitu na mbaba wa nyumba jirani.KITANDA HAKIZAI HARAMU.
ReplyDeleteYour femаlе parent waѕ impгoper-yοu holler bгеаst dummieѕ,
ReplyDeletelіngua or fifty-fifty is ѕіmρle breath.
What Is This аt yοur рump іs аcknowledgment of the lаbor union of
you ωith the godlike. Viѕit Tantric massage massage olisi
koko ajаn jokаpuolellа.
formerly you adԁ thе tomatoes et Κаnalοa Κahoolаwe,Thе sea
rises tο thе hіlls. Υou shοuld be capablе to tell universаl jοint vіgor that whеn vіctimiѕed in
а spiritual recitatiоn can lead tо health and happiness?