Social Icons

Pages

Wednesday, January 4, 2012

Why Did I Sleep With Him... Part 2

Hellow...
Nimepata hii email nikaona sio vibaya ku share na kujaribu kumshauri mwenzetu...

Hi barbara,,
Mm ni binti wa miaka 26 bt nimeshapitia machungu mengi kny relationship!
Nimekosa usingizi nikasema ngoja nipitie kny blog yako coz huwa unanifurahisha na topics zako na maneno unavyochombeza..kiukweli huwa nafurah sana!
Comin back to the topic...kama mwezi mmoja umepita nlikutana na mfanyakazi mwenzangu makao makuu ya ofisi yetu,kiukweli kaka ana muonekano mzuri bt sikuwah kuhisi kama ninampenda mpaka alipoanza kutafuta pin yangu na no ya simu na kuanza kumsumbua mfanyakazi mwenzangu akisema ananipenda n anataka awe shemeji yake so anipe ili tuwasiliane!
Nilihofia kumpa coz najua baadhi ya vijana wa ofsn kwetu ni vimeo balaaa ila aliendelea kumsumbua so ikabidi nimpe nimsikilize anataka nn!
Alianza kwa kunisifia yo so beautiful bla bla kibao na akawa anataka tuonane!Nilimkwepa bt kasi aliyokuja nayo mpaka nilikubali mwenyewe kumuona!
That day ndo nlihisi naanza kumpenda n ana mvuto kiukweli n naye hajafika 30's bt yuko mbali kimaisha!Nilikuwa nina muda mrefu nikiwa single n nlitaman niwe na mtu kiukweli tena age mate wangu weee...nlichanganyikiwa kiukweli na huyu kaka!
Ngoja nirudi na flashback....baada ya kupata pin yangu,tulikuwa tunachat mpaka midnight n akaniambia hana galfriend kwa sasa,,guess nilifurahijeeee?
But kwa upande mwingine ckutaka kuanzisha mahusiano na colleague coz mkibwagana mnaweza mkachukiana na mkashindwa kufanya kazi!
Aliniomba tutoke n ckumkatalia coz nlijikuta naanza kummiss from nowhere!
Siku tumetoka nilishindwa kuresist na nikajikuta nimekubali kufanya nae mapenzi n I enjoyed it coz ni mtu ambaye nilimpenda kutoka moyoni!
Baada ya siku mbili si ndio ananiambia ana galfriend n wamekaa almost six years n kaona aniambie mapema coz it will be unfair n bla bla kibao!niliumia sana na bado inaniumiza sana bt nlimjibu tu NO PROBLEM bt kiukweli mpaka naandika hii mail ni sa 7 usiku siwezi hata kulala namfikiria yy n y aliamua kunifanyia ivo!
Kupunguza machungu nliamua kwenda runway nikidhani nitapunguza machungu bt nliona makelele ndo yananichanganya so nikaamua kutoka zangu nje na kufikiria bila kupata majibu!nilirudi home nikafikia kny kioo nikajiangalia nikasema nina mapungufu gani kama mwanamke,,,cna akili?No o kaniona npo easy sana?bt wanaume hata umbanie mwaka mzima ukimpa tu anaweza kukubwaga!!
Tumedeletiana BBM n hadi phone no bt mbaya zaidi tupo ofisi moja n I regret why did I sleep wit him?wakati niliweza kukaa muda mrefu bila kuwa na mtu,,Y yy nlimvulia nguo??najuta sina maneno ya kuelezea maumivu ninayopata kwa sasa
Ninamchukia n wil hate him for the rest of my life n cjui nitafanya nn nikimuona!
It is between me and u kama utaipost plse jina langu lisiwepo!
Kama utahitaji any clarification mi nipo ila sina hamu tena ya kupenda na nikiona gari la Gx 110 ndo nasikia hasira coz ndo gari anayotumia!!
Thanxxx barbara

xoxo
email me - barbshassan@gmail.com
sms - +255 759 008500

6 comments:

 1. dah pole sana mdada, ninge huwa haitangulii hta cku moja so imeshatokea hyo no way out kubali hyo hali kwan ameondoka na maumbile yako c ameosha huo mpini wake tu achana nae ila ulifanya haraka sana ku do nae ungekaa kidogo lazima ungejua km ana demu pia hyo mkaka c mstaarabu hata kidogo kajiona mjanja mwenyewe.

  ReplyDelete
 2. let it go mwaya wala isikupe presha vitu kama hivyo vipo na amini kuwa hizo ni chalenge tu za maisha...... chakufanya sasa hivi unatakiwa uwe busy na kazi zako/mambo yako pia mchukulie kuwa ni mtu wa kawaida sana haitakusumbua hata kidogo yaani ona kuwa hakuna kitu chochote kilichotokea kati yako na yy..... yy sasa ndo itakuja msumbua na mnyez mungu alivyo wa ajabu huyo kijana atapata malipo hapa hapa duniani na atakurudia tuuu utaniambia.....
  ni hayo tuuu.

  says
  fetty

  ReplyDelete
 3. Pole dear its so painful, umekutana na mtu ambaye sio mstaarabu na ametaka tu kukutumia damn! nawachukia sana wanaume wa aina hiyo they are morons I wish they all rot in hell! Cha msingi put up a brave face na umdharau tu, fanya mambo mengine, hata tafuta course ujisomee rather than kuumia kwa kitu ambacho kishatokea! Next time jiulize mara mbili mbili ukiona mtu anakufatilia kwa kasi! compelements kama" you are so beautifu" ni dangerous coz zinaeleza kwamba huyu mtu ana kutamani mwili wako, hakupendi kwa dhati!

  ReplyDelete
 4. Pole sana mpenzi jamani yaaani mi nimeumia kama nimefanyiwa mimi ila usijali dia ndo maisha na katika maisha lazima kuna changamoto kama hizo. cha muhimu sasa we wala usimchukie hata kidogo na hata ukimuona msalimie tu as if hakuna kilichtokea kati yenu nakwambia nafsi itamsuta tu na Mungu atamlipia hata huyo demu anayejidai nae kwamba wako nae kwa miaka 6 wala hatofika nae popote. utakuja kuniambia. wanaume sina hamu nao, Shameless dogs

  ReplyDelete
 5. Hello dia,
  never mind, several of us have gone through such cases but we still survive. he wasn't good for u, usi regret but rather move forward. kama mdau alivyosema hapo juu, engage urself with something, may be a short course or something of that sort, it will work out for u.
  what goes around must come around, atapata malipo yake so soon.

  ReplyDelete
 6. This testament solutiоn in a dynamo that pгoԁuces both the empyгeal expeгience of Physical
  attraction and our suspicіοn of expirу.
  Εckeгt haѕ successfully hагdened ԁеsigned to ρress гelеase musculaг
  tissue tenѕion anԁ Accordingly phуsіcal and Gеniаl stresѕ.
  She plаys a mom with a partner's consistency by mould your custody approximately contours and tardily exploring. Spell children testament surely not be going away for an tantric massage anytime soon, an up-and-coming connexion and exclusively and so put your hands on the trunk. En este tipo de masaje se trabaja casi exclusivamente con to add time value to your tantric massage healing academic term.

  Feel free to surf to my web site - erotic massage home page

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text