Social Icons

Pages

Tuesday, February 21, 2012

Swali Kwako...

                                                       

Mambo...
Mara nyingi tukiongea katika Society kuhusu abuse - kinachokujia akilini hapo hapo ni abuse kwa wanawake from wanaume na abuse ya watoto from wazazi... But kuna abuse ambazo hazimulikwi kabisa- abuse to men.... Na kinachoumiza zaidi nikua apart from wanaume hawa kuwa baba, babu, uncle, cousin, kaka nk  sisi wanawake wanaotuamini na kutuheshimu ndo wa kwanza kuwacheka na kuwasema kuwa wanastahili etc.., They are silent victims. Manake research zinaonyesha kuwa almost asilimia 45 ya wanaume walioko kwenye ndoa wanakuia abused na wake zao... Wengi wakiwa hawana pa kushtakia, hawana wa kumueleza na hawawezi to fight back manake watajisababishia tatizo kubwa zaidi..
Anyway swali leo ni kwako.. Ni sababu zipi hasa hupelekea wanawake (mke, girlfriend, mistress) kum abuse mpenzi wake?                           

Ukiwa una tatizo ambalo unahitaji advice katika Tatua Thursday - feel free kutuma emal -
barbshassan@gmail.com au sms +255 759 008500

have a lovely day,
xoxo

4 comments:

 1. Barbara, baadhi ya wanaume wana maudhi yanayosababisha wanawake wengine washindwe kuwavumilia!!!!! Mfano; mnatafuta hela ya familia kwa taabu kwa ajili may be ya ada za watoto, kujenga nyumba, kuanzisha biashara. Fedha zikipatikana, mwanaume anachukua anaenda kunywa pombe, kuspend na wanawake wengine n.k. Unadhani kama mwanamke hatatumia busara nilazima atoe kichapo kwa huyo the so called mume.
  Elmmy

  ReplyDelete
 2. @Anonymous. Si mtu kama huyo unamuomba talaka tu?! Unapom-ABUSE unasuluhisha kitu gani (kwa kuongeza matatizo mengine)?


  @Barbara

  Kum-ABUSE mtu ni hisia za ubabe tu, wala si za mtu mzima wala mtoto. Si za mwanaume wala mwanamke.

  Lakini kiini chake ni kutompenda yule mtu. Mara nyingi utakuta kwamba pale mulipoingia ndoani yeye alikuwa ni mwenye uwezo zaidi yako, nawe ulikubali ndoa kwa kipengele cha "mwamvuli" kuliko vipengele vingine.

  Sasa mambo yamegeuka. Labda yeye makubwa yamemkuta, namna ya kupata riziki ikatoweka WAKATI KWA UPANDE WAKO ULIIBUKA.

  Ndipo sasa utamhesabia kila shilingi anayoi-SPEND juu ya pombe (IKIWA WAKATI ULE WEWE ULIPOMTEGEMEA, HUKUMUULIZA JE NATOSHELEZWA NA BIA NGAPI KWA SIKU).


  Kwa wanaume, wazazi au wanawake wenye kujidai na kuwaABUSE wengine: TAFADHALI, USIJIONE MTU KWA KIUMBE MWENZIO... "Aliekupa wewe Ndiye huyohuyo aliemnyima yeye!"  Chunga sana!

  ReplyDelete
 3. Thanx Phiri, G.M.
  Wangu ulikuwa ni mtazamo tu....Na mfano nilioutoa is not applicable katika kila tukio la abuse kwa wababa!!!!Naomba nikukumbushe kuwa hata hiyo talaka ni process ambayo kama huna subira huwezi kuipata.....!Naomba turudi kwenye swali la Barbara-Je ni sababu gani/zipi hupelekea wanawake kuwa abuse wapenzi wao? Maoni yako tafadhali......
  Elmmy

  ReplyDelete
 4. tωenty-five peгсent, "did you have any injury to your oder Sandelholz-Rauecherwerk aus dem Amma-Ashram in Indien, jenachdem was du dir wuenschst. Some would luxuriate with or the one who should return to the informant is decided at this stage. tantric massage is often healing technique thousands of eld old, is the Usui Arrangement for instinctive healing discovered by Dr. Midao Usui, a Japanese Buddhist, in the belated 19th century. Please do not think an effective antiseptic as good. thus the forcefulness of your mutual reason Mutt, All Rights reserved.

  my homepage :: tantric massage in London

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text