Social Icons

Pages

Monday, February 6, 2012

Valentines Day!!!!!!!

                                


Hellllooooowwww....
Msini shoot bure.. Nilikua naumwa malaria jamaniii...   Nisameheni buree..
Anyway 7 days to Valentines.. Umejiandaaa andaaje kwa ajili ya siku ya wapendao? Ushamnunulia mpenzi wako zawadi? Au you are still thinking of what utamnunulia?
Juzi nilitumiwa hii message - Wanaume wananalamika kuwa - Wanawake wanataka wanunuliwe expensive gifts wakati wao wananunulia wanaume cheap stuff!!! Is this true? What is the most expensive lakini romantic gift you ever bought for your mume/boy friend/lover???
Message yenyewe hii hapa - Valentine's day is a problem day!!! Because sielewi how a set of people (mnajijua) would want to exchange boxers and singlets for perfumes, watches, jewellery, phones pamoja na hair (the topic of giving hair as a gift is for another day kwa sababu hukuzaliwa na upara! Scientifically a woman cant be bald, so why buy hair?) It is completely overwhelming!!!! Don't you know what equitable exchange is? Ni sawa kubadilishana boxers na a Galaxy Tab on Valentine's Day? Or exchange a singlet for a Bold 5? How can you give a belt and be expecting an iPad2? Ladies enough is enough!!! The boys are not smiling. Try and impress your men this year...
If you know you are buying singlets, boxers etc.. please expect a similar responce, that's fair enough; Let's raise the bar mwaka huu, and accept these words of truth and advice in the spirit of LOVE.
From the Comittee of Concerned Men (CCM)
Haya changamkeni wenye wapenzi!! Kimesanuka kwa wanaume!! Wamechoka kunyanyaswa!! Wao ndo watoe vitu vya bei ghali tu.. Hahhahahhaa...

                                                                                     
Hugs...

2 comments:

  1. mhh...ru sirias?ebu show me uyo man anaepelekaga expensive gift nami aniletee jmn,coz sijawahi pewa iyo expensive gift in ol my life mpk sasa dats y nami natoa kiduchuu!!

    ReplyDelete
  2. Babra. tumekuwa tunasubiri muda mwingi sn kabla hujatupia lolote kweny blog yako.Kwa mtazamo wangu kuna dalili zooooote kuwa blog imekushinda.

    Nashauri UIFUNGE TU.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text