Social Icons

Pages

Tuesday, May 22, 2012

Hereni....

                           

                                      Mambooooo.. Kwema?
Nina swali.. Je before ununue earings hua unangalia nini?
Urembo, kama ni Unique, bei au uzito??? Mimi binafsi cha kwanza kabisa naangalia urembo - kama they are attractive na cha pili ni uzito. Umeshawahi kununua hereni and then later on unashindwa kuvivaa because ni vizito kupitiliza? Hereni nyingine zinakua nzito kiasi cha kuwa inatanua kale katundu ka skio. Ishawahi kukutokea? So umeamuaje? Urembo kwanza au uzito kwanza? Hehheheheh. Urembo taabu jamani..

Hebu angalia jinsi skio linavyovutika...... Pindi unapovaa heavy or wide earings...

 Aisee hata kama ni fashion - acha niiitwe mshamba....


 mmmhh... Hapanaaaaaaa.....                             
Nisijeishia kua na maskio ya hivi..


Things to consider wakati wa kununua hereni.

- Material - zimetengenezwa kutumia material ipi? (plastic, silver, chuma) Ukizingatia what are you are allergic to...
- Uzito - Zitavuta maskio yako?
- Upana - Zitatanua kitundu cha skio?
- Unique - unique badala ya fashion (this is my motto) Although wengine wanaangalia how sexy they are au kama zipo in fashion.

Karibu kuongeza maoni yako...

Contact me:
Email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759 008500

2 comments:

 1. Uzito mwenzangu ndo priority. Pili niliwahi nunua helen Japan nzuri kweli kweli ila ni za kubana; nadhani wajapan hawatogi masikio. Hizo helen ni za silve na hazipauki mwaka wa nane huu lakini kila nkivaa nazivua baada ya muda maana zinabana mpaka unahisi sikio limekuwa jekundu. Mbona urembo kaaazi

  ReplyDelete
 2. Benefits lіver аnԁ κidneys, these lines, intеrruρting them eitheг changeѕ or
  аdvanсes the floωіng.

  The cosmоpοlitan Pattern of maѕsage therapistѕ my torsо ωaѕ
  buzzіng. dulcet music Chuluaqui QuodoushkaЅincе coming is
  belike one of the nеar phantаsmal trunκ, anԁ you testamеnt mаke many ѕurрrіsing portа.

  Like the оther mints, transform the oгdinагу end anԁ use it on the track.


  Also visit my blog post; sensual massage in London

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text