Social Icons

Pages

Thursday, May 10, 2012

Mothers Day.....


                               Hello...
Siku tunayo feel special, ku feel tunapendwa na kua appreciated kama kina mama inawadia.. Ni 13th May - Mothers Day...
Aunty Sadaka ameandaa event itayotufanya tuji feel more special sisi kama kina mama na familia zetu..

" To celebrate mothers day, Aunty Sadaka ame organise a special event kusherehekea motherhood. All mothers na kina baba wanakaribishwa. Mlete mama yako, aunty, sister na any significant woman katika maisha yako at JB Belmont this saturday 12th May for dinner, dance na special activities. Show your appreciation to this special woman in your life kwa Tsh 50,000 kwa kila mmoja.

A CHILD"S BEST FRIEND IS THEIR MOTHER....

USKOSE....

Pata ticket yako mapema at - Shear Illusion - Mlimani City au Nyumbani Lounge au piga namba - +255 655 717575 au +255 787882


hugs
xoxo

1 comment:

  1. Asante Barbara kwa taarifa hii nzuri, Naomba niwashirikishe feelings zangu jamani. Yaani ili tangazo limenikumbusha sana marehemu Mama yangu hasa pale Aunt Sadaka alipoeleza matukio ya event nzima kwenye kipindi chenu cha Power Breakfast nililia kupita kiasi! Poor me!!! Najipa pole mwenyewe....! Shime watu mjitokeza ku appreciate juhudi za mama katika malezi ya watoto wa Tanzania na duniani kwa ujumla.
    Elmmy.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text