Social Icons

Pages

Thursday, May 17, 2012

Tatua Thursday....


                                                                       

Mambo Barbara,
Najua fika kua hua unapokea na ku post zaidi matatizo ya wanawake, ila hata sie wanaume tuna matatizo yetu... Na ndicho kilichopelekea mimi kukuandikia leo hii. Naitwa James, na nipo katika mahusiano na a beautiful lady ninayempenda sana na nia yangu ni kufunga naye pingu za maisha one day.
Tatizo linakuja kua mimi napenda sana sana kukiss. Nilijifunza kukiss baada ya kuona kwenye vipindi kwenye tv na kwenye movies. Nikaanza kujifunza  kujikiss mwenyewe kwenye kioo, mara nyanya au chungwa. Hadi nilipojiamini kua sasa najua ndo nikaanza kukiss ladies. Wazungu wanasema practice makes perfect - najiamini sasa hivi mimi ni bingwa wa mabusu. Tatizo langu ni kua my girl friend hajui kabisaaaa kukiss, na wala hana interest ya kutaka kujifunza. Mimi inaniwia ngumu sana sana. Manake ni kitu ninachopenda zaidi kufanya, in fact napenda zaidi kukiss kuliko sex. Ila mwenzangu na mie yaani wala, nikifuata midomo yake ya juu yeye ananitolea ulimi na akiwa amejaza mate kibaooo. Sina kinyaa ila inaboa.
Munanishaurije?
Je - nimuache na kutafuta a lady anayejua kukiss?
Je - nimvulie tu - ila itaniuma sana
Au ning'ang'ane kumfundisha tu - although hana hata mpango wa kutaka kujua kukiss.
Naomba msaada please.

Regards,
James

Kwa kweli wengi tunachukulia kissing poa - ila I'm one of those people ambaye napenda sana sana kukiss..  My first experience ya kukiss huyo jamaa alikua kala vitunguu! Aiseee nilichukia kissing kwa muda mrefu sana. Hadi nilipopata mtu ambaye alinifanya nipende kissing. Right now hunambii kitu!! Hahahhah. Experience yako ya kissing ikoje? Unapenda why? Na kama hupendi why? Na kama hujui - je unafanya nini ili kujifunza?  Manake wenzetu wanasema - Kissing is opening the window to someone's soul.
Funguka na pia tumsaidia James... Maoni yako ni muhimu sana...


                                         
mwaah!!!
have a great day

8 comments:

 1. dah, mdada umenichekesha, vitunguu.....lol! usiombe akakukiss amekunywa mipombe ya kila aina af we hujaonja na ni usiku karudi yuko njwiiiiiiii.......... zinakua kama zimechacha,. all in all me napenda kissing but nadhani sio mtaalam sana, naomba kuelimishwa zaidi.

  ReplyDelete
 2. yaaap kijana haya uliyoyatoa hapa mweleze patna wakoili ajue yaelekea mawasilianao yenu ni hafifu hilo ndo naweza kukushauri mpe nae chungwa au embe ndogo zile ili anyonye kama sehemu ya mazoezi nawe ukiwa mwl itapendeza saaaana mwisho wa siku atajua na utafurahia... hata darasani c wote humwelewa ticha kwa mara moja wengine inabidi arudie rudie na group discussion ndo yananasa usichoke kama kweli unampenda mpe class bwana
  m happy my patna knows what to do, na hata ukitaka 'aamke'haraka just kiss him and ur done,hahahahaaaaaa

  ReplyDelete
 3. just kufundishana tu bro!

  ReplyDelete
 4. mfundishe tu me mwenyewenilifundisha na sasa niko fit

  ReplyDelete
 5. haaaaa. mpe darasa kaka lazima awe mtaalam kama penzi analitaka

  ReplyDelete
 6. She sо recеivеd tantric massage attunements from Dr.

  Ηаyashі and waѕ ԁіstresѕed-out muscles, but to heаl the еxcіtеԁ anԁ ghοstly siԁes of thе Affeсted role as good.


  Look at my blog; sensual massage

  ReplyDelete
 7. No mаttеr what youг style,
  this list ѕhould giνe уοu ѕomething new to try
  oncе Spring iѕ here. Eaсh manicure set cοnsists of tоols like small sеt
  of nail сliρρers, nail scisѕors, smаll fіle and сutіcle stick.
  The paperwеights maу alѕo bе useԁ simply for
  decorating places suсh as gаrdens or terrariums.


  Also viѕit my webѕite :: nail designs

  ReplyDelete
 8. Ι own a ton of American Eaglе shirts and І
  finԁ thе quality outstanding. Then, the true genius
  of the whole sіte, check the box that sаyѕ
  'Show only items eligible for Amazon Prime'.
  Маnу times, а cοupon that seems likе іt
  ωill neѵer be a good deal becomes a gгeat οne right befoге it expires.  Here is my ωeb blοg - hot Deals

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text