Social Icons

Pages

Tuesday, August 23, 2011

Leo Nakupa Siri....

Hello,
Kwema? As a woman outlook hua ni muhimu sana tu, despite wao kusema kua Inner beauty ni muhimu zaidi.. Vaa matambara kisha tuone hiyo inner beauty kama itaonekana.. Im just being honest hapa... Heheheh..
Anyway kuna a friend of mine anaitwa Rehema Ngamilo, I've known her for years... Rehema started bringing bidhaa za wanawake from states a few years back,, kiutani utani tu. Mapochi, shoes, clothes na accessories. Nili notice one thing from vitu alivyokua analeta - uniqueness.. Vitu anavyoleta - stand out.. I buy my stuff kwenye duka lake linaitwa Navo's Choice

Duka lipo Mikocheni Tanesco karibu na Barclays Bank... Something else i love about Navo's Choice ni prices..






And this shop has kila aina ya nguo that us women need in our daily lives - from casuals, official (suits included), Dinner dresses etc.....




Pia Rehema wa Navo's Choice anastukiaga new colours mapemaaaa.. I remember nilinunua a dinner dress ya "Green" mwaka juzi - This year ndo i found out kua thats not green its "Teal"... ahahahahh! Ushambaaaaa!!!










Kwa mfano right now Jeans dresses zimerudi - si nilizikuta pale - bila hili wala lile sikuzitilia maanani.. After 4 days nikaona kwa http://www.8020fashions.blogspot.com/ kua jeans dresses are back.. Nikirudi Navo's Choice nakuta wenye akili walishakwapua! Loh!



Kuna jambo ambalo husababisha many women kushonesha au kununua nguo za mtumba... Kutofanana kwa mishono.. Just so you know Navo's Choice wakileta nguo za kufanana sio zaidi ya 2 and zinakua different sizes! If you think about it hadi ukutane na huyo mwingine who bought the same exact dress or pair of shoe as you... mmmmhhh... Might not happen..







Na shoes pia.... Anyway, Drop by Navo's Choice hapo Mikocheni Tanesco pale kuna maduka mengi mengi karibu na Barclays Bank... And chek it out.. Kwa information zaidi wasiliana nami....



Clutches, bangles, pete.. ooh Na shades za Jessica Simpson..

Wanasema - Vizuri Kula na Wenzio... Hehhehehehehhe. I did my part - will you do yours?

Have a lovely day,
xoxo


11 comments:

  1. Rehema (Dimples) really has nice stuff, I love the way she would get only one or two items of the same kind...yani sio "Dar combine" at all, which is awesome ;) Miss O

    ReplyDelete
  2. I knooowww... Akifanya sale ntawatonya pia... :)
    For anyone aliyetenga muda to go chek out Navo's Choice - share nasi basi...

    ReplyDelete
  3. ASANTE BABRA, IVI ANA VIATUZ VYA WEDDING MBELE VIKO WAZ KIMTINDO, VYA KUCHOMEKA, VISIGINO SO VIREFU SANA,
    MANA NIMETAFUTAAAA SIJAFANIKIWA, NAONA VISIGINO VIREFu SANA.

    ReplyDelete
  4. Hi There, nashukuru sana kwa comment zenu na hasa hasa Barbara kwa kua na upendo wa dhati na mimi na kazi yangu mpaka ameweza kuifanya hii.

    Sasa mdau unaetaka wedding shoes, please email me on dimplesdoc9@hotmail.com. on the following, when the wedding,size, color (white or cream or silver) and any other relevant details nijaribu kufanya mambo.

    Thanks

    Rehema - Navo's Choice

    ReplyDelete
  5. Dada mwenye duka naomba nikupe ushauri wa bure. Mkiwa mnaonyesha mavazi kwenye mtandao wekeni na bei. Nina imani kufanya hivyo hakufukuzi wateja ila kuna fanya wajipange. Si mnaona mitandao ya nje wanavyofanya. Jamani bei siyo siri msiishie kusema bei ni poa semeni ni kiasi kadhaa nakuambia utashangaa utitiri wa wateja utakao pata.

    ReplyDelete
  6. Rehema - Navo's ChoiceSeptember 13, 2011 at 8:44 AM

    habari dada, nashukuru kwa maoni yako na ntayafanyia kazi. Post hii humu blogini ilikua ni Barbara anaelezea mtazamo yake juu ya navo's choice. Siku nikitangaza bidhaa mfano wakati wa new arrivals au sale ntafanya kama ulivonishauri ntaweka na bei zake. Asante kwa kua mdau na karibu Navo's choice

    ReplyDelete
  7. I LIKE KWANZA JESSICA SIMPSON GLASSES, MWAMBIE REHEMA AFUNGUE KABRANCH MOMBASA PIA SISI TUNGARE, THX IN ADVANCE HEHE....

    ReplyDelete
  8. hongera sana Barbara kuanzisha blog.wanawake tuko juu sio mpaka tuwezeshwe.tunaweza wenyewe bwana!
    kwa wanawake wengine mwiteni Barbara ili awatangazie biashara zenu kwenye blog hii.mie nisingejua kama NAVO wapo mikocheni kama wasingetangaza hapa.
    so naamini hata wale wa dada wenye maduka yao kariakoo wataleta matangazo yao yanayoambatana na bei ili mtu akienda awe na mzigo kamili.hongera barbara1

    ReplyDelete
  9. tаntric massage continues to еxpanԁ іn maѕses is whethеr they aгe supersensitizеԁ to
    sealed oils.

    Visit my web page; erotic massage in london company here

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text