I hope ulikua na weekend njema - whatever that you did I hope ulitenga muda wa ku-spend na family yako. Nimepata fursa ya kupitia gazeti la Tanzania Daima this mornning ambapo caption ya juu kabisa - front page ni hiyo iliyopo kwenye title yetu ya leo...
I quote... "Wataalamu wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Mihadarati iliyowasilisha mada na kuonyesha mikanda ya video kwa wabunge juzi mjini Dodoma, ndio waliofichua mbinu hii. "Hivi sasa wasafirishaji wameanza kuwatumia wanawake kwa kuwa matumbo yao yana uwezo wa kubeba mzigo mkubwa zaidi kuliko wanaume." Wataalamu hao walibainisha kuwa wanawake wana uwezo wa kutunza mimba ambayo mtoto anaweza kuzaliwa na zaidi ya kilo moja; hivyo inakuwa rahisi kwa mwanamke kubeba mzigo mzito, ndiyo maana wamekuwa kivutio kikubwa kwa wafanyabiashara wa mihadarati"
Mmmhhh.. Kuna utata hapa... Ninavyojua mimi Women wana matumbo mawili - Stomach ya kawaida ya chakula na Tumbo la uzazi - Womb au Uterus ambapo kulingana na online dictionary inasema ni - . A hollow muscular organ located in the pelvic cavity of female mammals in which the fertilized egg implants and develops. Also called womb.
Plus Mtoto hakai kwenye stomach ya kawaida jamaniiiii.... Anakaa kwenye womb ndo inaweza kutanuka slowly as the foetus grows.. And kama wanaingiza hizo drugs kwenye womb wanaingizaingizaje?
Hawa wataalamu jamani mi nawaonea au what do you think? Tena wamewasilisha bungeni? Jamaniiiii...
Tell me what you think.....
Have a blissfull day
xoxo
Hiyo ndio Bongo, Kila mmoja anajua kuliko mwenzie?! Cha kustaajabisha zaidi ni kuwa ndani ya hilo bunge kuna Human Medicine doctors kibao, na wenyewe wamechill tu kimyaaa............. wanasubiri posho. Ukifuata logic hakuna uhusiano kati ya tumbo la uzazi na lile la chakula. Lakini bongo kila kitu kinawezekana, unaweza ambiwa MTI UMEZAA! Yale yale ya mimba za kwenye swimming pool!
ReplyDeleteelmmy
Elmmy hehehheheh..... Mti umezaa...BUt honestyly hii inadhihirisha umbumbu wetu na kutofanya research.. We rely on others kufanya hivyo.. Yaani tupewe food na kutafuniwa pia! duuu...
ReplyDeleteHakuna kitu kama hicho Barbra mihadarati hawezi wekwa kwenye womb hao wanatudanganya watanzania wakidhani kuwa hatufuatilii habari zituhusuzo. The thing is wengi wetu hatuna sehemu za kusemea uhongo huo SHAME ON THEM
ReplyDeleteI believe this is among the so much significant info for me.
ReplyDeleteAnd i'm satisfied studying your article. However want to remark on some general things, The website taste is wonderful, the articles is really great : D. Good process, cheers
My webpage ... http://www.satellitecardsharing.com/satcardshare/