Umeshawahi kusikiliza Wimbo wa Tundaman - Starehe Gharama? I totally love that song... Basically kwa sababu unaongelea ukweli mtupu! I mean kiukweli - Hua una spend how much kwenye starehe? Jaribu kufanya mahesabu.. Last weekend kuanzia Friday hadi Sunday - How much did you spend? Ongezea Transport, Kama ulinunua a new outfit, drinks, ulizonunulia washkaji, smokes, kiingilio cha ulikokwenda.. bla bla etc etc... Imekua how much? Heheheh Starehe Gharama!
Haya, now lets think as women... Ujue kuwa mwanamke ni gharama kubwa sana! Staki kutaja everything manake ni vingi mno. So kwa leo nitagusia mavazi. Kama mwanamke, unahitaji mavazi tofauti tofauti. Wakati unapanga wardrobe yako una classify outfits zako vipi na kwa misingi ipi? Nguo za Church/Mosque, Evening Wear, Girls Night Out, Casual, Za kushindia home, Night Dress... hehehe . The list is endless... How much do you spend kwenye kila class ya vivazi hivi?
Be honest kwenye ku comment and kubaliana nami tu.. Kua Mwanamke Gharama.. Looh!!!!
PS. Nataka kutoa Remix ya Starehe Gharama - Itaitwa Mwanamke Gharama.. Kwa yeyote atakayependa ku feature kwenye wimbo huo tafadhali contact me!
LOL... xoxo
Have a blessed day..
Wednesday, August 17, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kusema ukweli hata hao wanaume wanao shindana kununua magari ya gharama na kujenga nyumba za ndoto zao ni kwasababu ya kuwa responsible kwa mke na watoto zao! na yule ambae hana familia yeye ni kuwasha moto anachokitafuta! kwa leo ni hilo
ReplyDeletebarbara mambo!nimependa hiyo topic.its true.tell those sharobaros
ReplyDelete