Social Icons

Pages

Thursday, August 18, 2011

It's ok kuota...

Im proud kusema kua - kwenye swala hili.. Sooo many women wameweza ku follow their dreams and in the process kutupa sie wanawake wengine motivation and for us kutambua kua - Its only right to dream, follow our dreams and achieving them.
From kina FLorence Nightangle wa miaka 18 kweusi, Marie Curie ( mambo ya physics na chemistry) na mwanamke wa kwanza kushinda Nobel Prize, Fashion designer Coco Chanel ( Listed by TIME magazine as one of the top 100 influential people of the Twentieth Century ),  Annie Besant ( Alikua anafanya campaign za social justice na pia an advocate of women's rights), I cant forget Mother Theresa, Dorothy Hodgkin aliyesaidia kwenye uvumbuzi wa structure ya Penicillin na insulin ambayo ilisaidia a lot na ku improve Health care, Rosa Parks - ukaidi wake kukataa kumpisha mzungu kwenye kiti cha basi ukapelekea the most significant civil rights legislation of American history, BIllie Holiday 'The Fist Lady Of Blues" na wengine weeeengggiiiii... Nisije ishia kuandika novel tu hapa.Coco Channel


Anyway my point ni kua - hawa wanawake wote hapa walikua na ndoto na wao kujipush na kuweza ku achieve ndoto zao kulibadilisha mambo mengi - lakini the most important ni Wanawake kuchukuliwa more seriously. Huko ni kwa wenyewe. Turudi nyumbani.

Who motivates you, wewe kama mwanamke? Who inspires you? Who do you admire? Usinitajie majina ya kidhungu mie. Im not trying kua racists, I just want na sisi tuwe na our own heroes, our own women movers and shakers. Nitajie wa hapa Tanzania. Industry zipo nyingi tu , so feel free kumtaja yeyote. From Medicine to Politics, Media to Social Work, Sports to Law, Music to Administration, etc etc.....

Tumuweke Mwanamke wa Kitanzania Juu on a steeple - where she belongs...
Namalizia hiviiii...

"The biggest adventure you can ever take is to live the life of your dreams." - Oprah Winfrey


Have a blessed day,
xoxo

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text