Social Icons

Pages

Wednesday, August 24, 2011

Songs That have seen us through mambo mbali mbali...

Hello,
Mzima jamani? Wakati we are growing up - as women - kuna mambo kibao hua tunapitia. Love - of coz, Heart Break.. ( This goes hand in hand with love - in a bitter kinda way ), Matumaini ( hii ni baada ya heart break ), When we feel spiritual ( ukaribu na Muumba wetu ), Loss of mtu wa karibu nasi ( Parents, friends etc.. ), When una hasira na kadhalika.. I think the above ndo tumepitia mara nyingi zaidi. Au wewe labda ulipitia zaidi ya those? U can help me list them down..
Anyway, One of the things vilivyonisaidia mie binafsi to go through these times ni NYIMBO. I'm on of those people who had and still nina nyimbo for each occassion. So kwa wale walio close to me - wakiskia tu nikicheza a certain song - either home, through my simu au sometime on radio ( don't tell anyone ) - wanajua huyuu duu leo she's very happy or sad or whatever..

Some of the songs na wasanii walionisaidia mimi kupitia different "emotions" (allow me to call them hivyo) ni pamoja na Toni Braxton - album ya Toni Braxton, Secrets na The heat ... When i was in love kwa mara ya kwanza - uuuwwiii - You Mean The World To Me ya Toni Braxton - and Whitney Houston - I'll Always Love you, Faith Evans - Love Like This and I'll Never Let you Go - almanusura zigome. Hearbreak zangu - How Could An Angel Break My Heart ya Toni Braxton, Kelis - I hate you so much right now, Usher Raymond - Separated, Lauryn Hill - Ex-Factor, Heart Break Hotel - Whitney Houston...  ( oohh the memories ) .. When is happy - Whitney Houston - aaaah i wanna dance with somebody. I wanna feel the heat with somebody.. (mwenzangu...) .. And When i lost my mum, Wimbo wangu ulikua - Kifo Hakina Huruma - Remmy Ongala and then I heard Khadja Nin - Sambolera ( sauti yake inanifanya nilie but also gives me hope) and DMX and Faith Evans - I Miss You...

Kuna albums ambazo weirdly enough zilikua zina a song for every occassion... Usher Raymond - 8701, Toni Braxton - The Heat, Secrets, Toni Braxton, Whitney Houston - My Love is Your Love, Celine Dion - All The Way, etc etc

Kumbuka hapo sijataja nikiwa na mood ya ku -party! hehehhe.. The list is endless... Anyway I'm sure wewe pia you have nyimbo, wasanii na album that saw you through kila ulichopitia. Sio mbaya tukakumbushana.. Name some..

Have a lovely lovely day,
xoxo

3 comments:

 1. Najua hutaki Ahadi lakini I promise you iwill make a copy of the songs i play when i make luv they are soo hot!!i Hope hutamind
  Mama T

  ReplyDelete
 2. hahahahahhaha Mama T.
  Even me i have emotion with songs. sana. Makes me happy or cry

  ReplyDelete
 3. Mama T tunasubiri your songs jamaniii....

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text