Hello,
Missed you jamaniii... All well? Kwema kabisa? Nina uhakika una marafiki ambao labda sio warembo ki hivyoooo lakini wanaume wakiwaona wanawafukuzia vibaya mno... Unawanuniaje? Unaweza hata ukawachunia and never go out with them! Uongo?
Umeshawahi to ask yourself nini hasa kinasababisha that? Wengine watasema - Ana nuru ya kupendwa, wengine watasema bahati - au it's the same thing? Hehhehe... Ulidhani ni labda mavazi sexy tu? Dressed to kill wenyewe wanasema? Kuna vitu vingine kibao!
Kuna vitu different ambavyo vinawasababisha hao wanaume kuwaona hao madem ni irresistible! Chek this out:
NOTE: Zaidi ya 50 per cent ya communication is done kupitia body language na vitendo. Na mwanaume ana decide within sekunde 7 za kwanza after meeting you kama you are worth it au la!
Dress to Kill
• Even though miraba na animal print ndo style iliyopo now, rangi moja tu katika gauni au top ina show off power na uaminifu. Avoid all black as inakufanya uonekane uko serious sana au bossy!
• Kunyoosha gauni au shati lako ambalo labdo limekunjika kidogo au labda lina vumbi kidogo - shows a guy kua you want kuonekana good for him. Atanogewa!
• Yes, men wanapenda a woman in heels, lakini ukiwa umevaa heels kisha ukavua kile kiatu kidogo tu kikawa kinabembea shows kua you have a playful mind and kua hutaki kuondoka. Hehehhe.. Mwenzanguuuu... Unapochora nne hakikisha ule mguu ulio juu haumuelekei huyo jamaa - uwe unaelekea away from him. Ukiwa unamuelekea yeye it means you dont want anything to do with him.
• Ili kumchanganya zaidi, vaa gauni strapless au top ambayo haina mikono. Wakiona shoulders wanawaza jambo moja tu - BOOBS!!! Ukicheka jisogeze sogeze umuonyeshe a little bit of what you have.. Uwwwiiii!!!
• Usijinyooshe sana na kuonekana kama you are looking down at him. Instead shusha uso wako chini kidogo kisha umuangaliae - it's cute. Pia ukiwa umekaa usi cross ankles zako - inaonyesha kuwa hutaki kuwepo pale at all!
• Kama wee ni mtu shy, Simama katikati ya kundi la watu - utaongea zaidi na utaonekana you are popular - atakufuata mwenyewe!
• Even though miraba na animal print ndo style iliyopo now, rangi moja tu katika gauni au top ina show off power na uaminifu. Avoid all black as inakufanya uonekane uko serious sana au bossy!
• Kunyoosha gauni au shati lako ambalo labdo limekunjika kidogo au labda lina vumbi kidogo - shows a guy kua you want kuonekana good for him. Atanogewa!
• Yes, men wanapenda a woman in heels, lakini ukiwa umevaa heels kisha ukavua kile kiatu kidogo tu kikawa kinabembea shows kua you have a playful mind and kua hutaki kuondoka. Hehehhe.. Mwenzanguuuu... Unapochora nne hakikisha ule mguu ulio juu haumuelekei huyo jamaa - uwe unaelekea away from him. Ukiwa unamuelekea yeye it means you dont want anything to do with him.
• Ili kumchanganya zaidi, vaa gauni strapless au top ambayo haina mikono. Wakiona shoulders wanawaza jambo moja tu - BOOBS!!! Ukicheka jisogeze sogeze umuonyeshe a little bit of what you have.. Uwwwiiii!!!
Kick Back and Relax
• Egemea kwenye meza ya bar na one arm ili usionekane rigid au mzito. Ukisimama ukiwa stiff unaonekana kama hutaki kusumbuliwa. And tunajua wanapenda sana confidence in a woman but usisimame na mikono yako kwenye hips.• Usijinyooshe sana na kuonekana kama you are looking down at him. Instead shusha uso wako chini kidogo kisha umuangaliae - it's cute. Pia ukiwa umekaa usi cross ankles zako - inaonyesha kuwa hutaki kuwepo pale at all!
• Kama wee ni mtu shy, Simama katikati ya kundi la watu - utaongea zaidi na utaonekana you are popular - atakufuata mwenyewe!
hahahhaha barbara umeniua mbavu zangu, sasa my dear si inategemea na sehemu ulipo wangu? maana kama uko uswahilini wanaelewa hayo kweli? but its true mimi natokaga na wifi yangu yeye hajaolewa ila kah anavyoshobokewa lol namtaniaga namwambia hehhe my dear mama yako alikuoshea mpenda penda nini lol but its so nice lol
ReplyDeleteumetishaaaaaaaa wangu!!!!!!!
ReplyDeleteHaya watafutaji wamekupata; mimi tayari niko na baba nanii; hayo wala hayanihusu. Kumbuka kuleta mada za kuongeza mvuto kwa sisi tulo kwenye ndoa maana huko mtaani wanaume zetu wankodolewa mpaka wengine tunakosa amani.
ReplyDelete