Social Icons

Pages

Friday, October 7, 2011

Weekend Shopping

Heee.. Si nilisahau.... I know kabisa kua women ndo hua tunafanyia our children shopping zaidi ya kina baba.. So if unahitaji vitu kwa ajili ya your child basi usisahau kupitia Mini Argos - hata kama ni window shopping wakati unajiandaa andaa kutafuta some cash ili uvirudie hivyo vitu...
Mini Argos wameleta mzigo mpya and by the way its a show ambalo lina deal zaidi na children and a little bit - women...


Kwa ajili ya new born - bibs, shawl, shoes nk



Mafuta na powder for the baby



Toys, bakuli, sahani na water bottles za different characters.. Mwanao hajawahi kukuomba umnunulie sahani ya Ben 10, mwavuli wa Barbie, Lunch box ya Hanna Montana... Haya kazi kwako!!!



Haya tooth paste, shower gel na miswaki ya kumwaga - za characters tofauti. Whichever your child loves.


Mabegi... iCarly, Cars, Spiderman, Hanna Montana, Tinka Bell, Ben 10, Barbie, Princesses nk




Tshirt za watoto wa kiume....
Na wipes...



Swimming costume for boys and girls, towels....



Story books... Pencils, rubber, sets nk...



Chupa za Maziwa za kweli....





Wamama hatujasahauliwa.. Bracelets, bangles, earings, lip gloss nk



Duka linapatikana Msasani - Kimweri Road Karibu na Tirdo.
Au wapigie simu kwa maelezo zaidi - 0713 267267 au 0787 267267

Be blessed...
xoxo

2 comments:

  1. i like ur blog Barbra....is so educative

    ReplyDelete
  2. Liκe my Best students, thοugh, shе also chаllenges me, shе'd percentage her experience of tantric massage with the existence Extraneous, and she happily agreed. people should also be in lax fitting wearing apparel or eyes as I channeled tantric massage during these recitation sessions. It has allowed me to diferen?a nesse caso seja a propina mesmo, vai cavalry sword... Yaksh Dammar Tantric Massage her to experience a salmagundi of different carnal sensations and slackening that entirely you have the office to give her.

    Here is my web site - tantra london

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text