Hellow...
Nani kanimiss??? Hehehhe najipa maujiko tu.. Hahha.. How are you jamani? Kwema?
Kuna group flani nimeijoin kwenye BBM ( BlackBerry Messenger) ina watu kama 14 hivi.. Most of them ni wanaume.. Ladies tupo kama wanne tu. Sasa Juzi si kuna mtu akalianzisha.. After a while, nikamuelewa. Alikua anatuambia tujaribu kufikiria - wasichana wa ndani al maaruf kama maids, beki 3 (no offence), dada etc hua wanatongozwa sana - wote tunalifahamu - question is nani hua wanatongoza hawa dada zaidi and sometimes kuingia kwenye nyumba zetu wakati sie tupo at work?
Unajua hawa machinga? Wanazungusha vibanio, earings, pete, chupi, shower caps etc.. Hua wanagonga kwenye mageti/ milango yetu wakati sisi hatupo wanajua watamkuta dada.. Dada mwenyewe labda amekuomba umhifadhie salary yake every month hadi siku anakwenda salimia kwao ndo umpe apeleke.. But huishi kumuona kaanika new panties na bra, ana hereni mpya, mabangili kibao nk..
Eti hua machinga wanawapa madada hivi vitu bure? Wanalipa kwa fadhila? Fadhila ipi? Shtukiza kurudi home one day majibu utayapata..
Huo ni mtazamo wa some of the people nlokua nikiongea nao....
Mie simo!!!!
have a lovely weekend
xoxo
PS...Ukiwa na maoni or anything unataka kuniambia privately wasiliana nami through SMS - 0759 008500
or email barbshassan@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hahahaha barbara umnikumusha mbali sana, tulikuwa na beki 3 mmoja, alikuwa ana kaka yake (kwa madai yake) mmoja anakuja home kila jumapili, basi home tulikuwa tunakaa na mtoto wa sister that time alikuwa na 3yrs, basi mama katoka kaenda town, so home kukawa hamna mtu zaidi ya dada na mtoto, braza kaka si akaja? basi akaingizwa chumbani kwa dada, kumbe dogo kaona picha nzima, sasa wamenogewa mama kaja, dogo kakazana bibi kuna mgeni chumbani kwa dada, kakazana ile mbaya, mama akamuuliza dada ni nani yuko huko kwako mbona mtoto anasema kuna mgeni yuko wapi? dada hamna bibi ni kaka alikuja lakini kaondoka, aa dogo kakomaa, mama kaenda geto kwa dada duuuu kakuta jamaa kajaa kitandani mwe... mama akamwambia huyu ni kaka yako ama ni mwanaume wako?dada oooo mama, hana la kusema tena anabaki ana mbwelambwela, ila wadada wa kazi wana mambo jamnai lol
ReplyDeleteKwa uzoefu wangu, wadada wa ndani hutongozwa zaidi na Baba wenye nyumba/watoto wa kiume pamoja na relatives wengine waishio/watembeleao hapo nyumbani.Hawa wauza urembo, wauza duka ni wa nyongeza tuuu.
ReplyDeleteWe rudi nyumbani ghafla utashangaa kumkuta Baba kajaa tele!!!! (Sorry, Off-topic)
Elmmy
elmmy ur right ni wababa most of them ndo wana huo mchezo mchafu wa kutembea na mabeki tatu ki ukweli madada hawa wanamambo kweli c mchezo tukisema kila mtu aelezee hapa patakuwa hapatoshi....
ReplyDeletefetty...
You ought to take part in a contest for one of the highest quality blogs on the internet.
ReplyDeleteI am going to highly recommend this blog!
My web page - book value on a car (www.libreseneltiempo.org)
I do not even know the way I ended up right here, but I believed
ReplyDeletethis submit was once good. I do not know who you're however certainly you are going to a well-known blogger if you happen to are not already. Cheers!
Stop by my blog post; trade in value of a car