Monday, October 3, 2011
What our men do kwa wanaume that we cheat with....
Hello,
Weekend ilikuwaje? Mi nlijifungia.. heheheh.. Eti trying to save up - and i actually think i spend hela nyingi sana nikitoka! Sjui about you. Anyway, thats a topic ya siku nyingine. Ok kuhusiana na hicho kichwa cha habari hapo juu - Not that I'm an expert on this or anything, bali hua nafuatilia sana story. Hua unasikiliza kipindi cha Leo Tena on cloudsfm? Anakiendesha Dina Marios - http://www.dinamarios.blogspot.com/ au sikiliza live from saa 3 hasi 7 mchana on http://www.cloudsfm.co/
Ndani ya kipindi kile hua kuna kipengele - segment anayoifanya Gea inaitwa - Hekaheka. Gea hua anazunguka around akitafuta vituko na story tofauti tofauti. I sat with her nikamuuliza katika story za Fumanizi wale waliofumaniwa hua wanapewa which punishment ipi?
Kwanza, she told me kua story nyingi za fumanizi - hua ni wanawake wanafumania waume zao - chache sana za men kufumania their wives! That means either wanawake hatu cheat sana kama wanaume - au sisi ni wasiri sana! Chagua moja! heheheheh!
Anyway nilimuuliza Gea - katika hizo chache za Wanaume kufumania wake/ girlfriend zao waliwafanya nini wale wanaume waliokamatwa wakiwa na hao wanawake?
Akaniambia :-
- Kule Tabata jijini Dar Es Salaam - Kuna jamaa alifumaniwa na mke wa mtu alitembezwa uchi wa mnyama hadi kwa mke wake!
- Kunao wanaume wengi washaliwa kiboga - sema wanaficha sana
- Kuna aliyevishwa kanga na shanga wakataka wamuoze kwa baba aliyefumania! Makubwa! Manake hawa walimbeba hadi Shekhe! HEhehheheheh
- Kuna wanaopigwa hadi wanataka kufa!
Pia kuna story niliona ilitokea nchini Marekani - jamaa alihisi kuwa mke wake ana cheat, akachunguza akamjua na huyo mwanamume anaye cheat na mke wake! So jamaa akaenda police akawaambia he senses someone has an affair with his wife. So huyo mtu ajisalimishe kwake mapema! Polisi wakasambaza the story, ikamfikia yule jamaa. Jamaa akampigia simu mume wa mtu kumuomba wakutane at a hotel kwenye room waongee. Mume mtu akakubali. Yaliyomkuta!!! Mume wa mtu akamkata yule jamaa uume kisha akijipeleka polisi mwenyewe akiwaambia - lile tatizo nishalitatua!
Wee mtu anamtunza mkewe akawa mrembo na mwenye afya na kupendeza na kunukia till wee ukamtamani! Unajua uchungu wake? Heheheheh!
Anyway - these are just some stories nilizopata. Unajua nyingine?
Tuhadithie....
PS. Nitakutonya wapi utaweza pata school bags, swimming costume, cotton vests and socks, lunch boxes na water bottles nk vya cartoon characters kwa ajili ya our children hapa jijini Dsm - keshoooo..
Have a lovely day
xoxo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tantric mаssаgе may hеlp агthritіѕ by unconditiοneԁ reflеx�genas y lа utilіzaсi�n ԁе aсeіte ԁe Cocοnut
ReplyDeletetree cоnvierten аl tаntгic mаsѕagе еn
un fest�n pаrity los sentidoѕ.
Check out my blog post - erotic massage London