Wiki hii I've been hanging out na watu tofauti tofauti. Jumatano I was with some old friends hapo Safari Carnivore in Dar Es Salaam. Tulikaa muda mrefu sana talking about different issues. Work, relationships etc. Baadaye one of the guys akaenda maliwatoni, he came back akanifuata mimi and told me "Kuna dada yuko Ladies analia sana, Kamsaidie." Nikanyanyuka and i went to the ladies, kweli, Nikamkuta a young lady analia hadi kutetemeka. So nikaanza kumbembeleza telling her - all will be and kua kulia hakutasaidia kutatua whatever she's going through. Akanyamaza then she hugged me. Kumbuka hatujuani. Akaniambia "I've been married for 2 years. Ila mume wangu amekua akini hurt sana lately." Mi nikanyamaza ili kumsikiliza. Akasema "I come from a very poor family and nina mtoto ambaye sio wa huyu mume wangu. When this guy alipoanza kunitongoza nilikataa becoz yeye ni tajiri sana na mie ni maskini sana. Nilimwambia naogopa kuwa naye coz watu watasema nimkubali kwa sababu ya hela yake. But yeye akaning'ang'ania na kusema nisiwajali watu as at the end of the day, it's about him and I. Nikaona kweli, and akanioa na kumu adopt my son. Sasa lately amekua akinishuku kua I'm cheating on him and mara kadhaa ameniambia I married him because of his money. Imeniuma sana sana." Akaanza upya kulia. Basi nikabembelezaa tenaaa weeeee... Then i told her - Jaribu kuchunguza, maybe ni peer pressure. Labda washkaji zake ndio are telling him that. Na pia mtu kukushuku kua you are cheating labda yeye ndo ana cheat so anakuwahi kabla wee hujamuuliza. Mchunguze and chek if he has these following signs....
1. Si unajua kuna tofauti between having sex na making love. Sasa inakua mumeo/ boyfriend hamfanyi tena mapenzi - yaani hamna hisia za mapenzi katika kufanya lile tendo. Labda he is even thinking of mtu mwingine while having sex with you. Umenipata?
2. Intimacy kwa lugha nyepesi ni Ukaribu. Ku express ukaribu katika relationship yenu inawezekana labda munashikana mikono, cuddling, spooning nk. Akiwa ana *mpango wa kando* huko nje ataacha doing these stuff with you...
Spooning...
3. Mwanaume anaye cheat will make sure nywele na ndevu zimekaa sawa - so atakua kila wakati anakwenda barber shop - atanyoa, scrub, massage, facial nk. Anaweza hata akaanza kufanya mazoezi gym ( na hapa ndo anaweza kutumia muda huu kuonana na *mpango wa kando*)
4. Kazi haziishi, kila siku anarudi home saa 6 saa 7 usiku na wala hajalewa. Ukimuuliza - oohh niliombwa na boss nifanye overtime - na hela extra huzioni. Mara oohh kulikuwa na farewell ya mshkaji ofisini. Mara natakiwa kusafiri kiofisi - every time.. Na kama anakwenda business trip - unaona kabisaa ana kimuhemuhe! He can't wait!
5. Kwenye wimbo wa Kidum - Mulika Mwizi, kuna sehemu kaimba - "Ukiona baby wako anaingia kwa bafu na simu mkononi - huyo ni mwiziiii.. Mulika Mwiziiiii! Kisha inaendelea - Ukiona mzee wako anazima simu kila mara akiwa kwa nyumba - mulika mwiziiii... " Nadhani hapo nimemaliza.
6. Anakula kiduchu home au anaumwa tumbo, Si katoka kula na mpango wa kando!!! Wee umejikaangia samaki wa kupaka na wali wa nazi, utakula mwenyewe! Kwa wale wanaojua kucheat kule kwa mpango wa kando hatafakamia sana...
7. Anakua muongo kupitiliza. Na anakuwa anajing'atang'ata mwanzoni but as days go by anakua better kujitetea. Na ukimbana sana anaku changia kabsa na kua mkali kupitiliza!
8. Anafungua a new email address and anabadilisha passwords za email adress that you know about. Habanduki kwenye cpmputer. Ukimsogelea tu he minimises all windows - or closes them altogether. Na akimaliza kwenye computer anafuta history
9. Anakuja home late kisha ananukia perfume ya kike, ana lip stick kwenye shati au on his cheek. Kisha anajibaraguza - ooh ntafua nguo zangu mwenyewe!
10. Anakua msiri ajabu!
11. Eti ghafla he wants to join a dancing class au kujifunza Kung Fu. Wakati alikua mtu anayekaa home tu na kuangalia habari na Sports all the time.
12. Condoms kwenye wallet au mifuko ya his trouser.
13. Kama muna watoto and you keep some toys za watoto in the car - atakwambia uzitoe faster!
14. Anaanza kua interested na schedule yako na utakua unafanya nini.
15. Anakua na another mobile phone - na kuna uwezo mkubwa usiijue namba yake! Na ina password.
16. Akirudi home tu, huyo bafuni, takes a shower anabadilisha nguo then he comes to hug you. (Before alikua anaku hug kwanza)
17. Anafuta Incoming calls, SMS nk kwenye simu yake
18. Atakuuliza maswali kuhusiana na relationship yenu, What you think about it, Na labda what would happen kama mkiachana.
19. Havai his wedding ring .
20. When his phone rings anapokea then anakwenda kuongea room ya pili.
21. Anaanzisha fighta and anakasirika sana kwa vitu vidogo vidogo and then he leaves the house akisema ankwenda kupata "fresh air" - MULIKA MWIZI!!!!
22. Atasingizia foleni kwenda na kurudi kutoka kazini kumbe anapitia kwa "Kishtobe aka mpango wa kando"
23. Anaanza kuondoka home mida ya ajabu - like alfajiri sana au usiku wa manane - eti naenda kuvuta sigara. Sometimes anaweza hata akasubiri for you to sleep then anaondoka.
Kama ana hizi signs.. aaaahhhh.. Unaibiwa kabisaaaa.. He is definately cheating..
Any more signs ambazo umezistukia? Feel free to add them.
* Mpango wa kando ni nyumba ndogo*
contacts - barbshassan@gmail.com or sms 0759 008500
have a lovely weekend
xoxo
Vijimambo mengine mamiii Barbara,Huwa wanaanza kutoa kasoro.....Like hujafundwa wewe, nenda kawaulize wanawake wenzio waliofundwa! wakati hapo mmeshakaa nae zaidi ya miaka mitano..Mmmmmh
ReplyDeleteMakubwa!!
Elmmy
Niko busy kidogo sijasoma dalili zote ntarudi baadae. Ila nimekubali point moja; Simu. Mume wangu alikuwa anatabia ya kuzima simu ambayo aliianza ghafla. Nikamuhoji kulikoni ukiwa home wazima simu eti akanijibu hataki usumbufu wa ofisini akiwa home.
ReplyDeleteIn short I did my home work na nikalikamata lijizi langu kabla hubby hajanogewa.
Abiria chungeni mizigo wadada mujini wamekuwa mcharuko mwanzo mwisho na wanataka waume za watu tuuuuu
Naongeza, anakununia bila sababu ya msingi, ana punguza dozi, maana akija anakuwa kapewa vya kupewa hamu yote imeisha.
ReplyDeleteDOSCA
Anajifanya kutoka na watoto na si wewe tena, ikitokea nawe unajiandaa kutoka nae anakwambia baki utuandalie cha jioni na upumzike SHOST hapo mulika mwizi
ReplyDeleteFor sure barbra...kama ni mume wako its easy kunote changes coz ataanza kubehave strangely...kama zamani alikuwa anaweka simu mezani tu suddenly utashangaa anaanza kufichaficha simu..its very easy so once ukianza kunote these changes MULIKA MWIZI
ReplyDeleteThanks dear vyote hivyo ni sahihi infact hata uume wake pia unakuwa haudisi vizuri akafu spams kidunchuuuuu!
ReplyDeleteMаsѕage tеchnіqueѕ like the Ѕωеdish
ReplyDeletemassage or deeρ Tissue papeг massagе Alfred, du bist
eіnfасh wundеrbar! Iѕ my thіs eхpгession, viѕualіzе the
fatаl visual modality, and then the other viѕіonѕ in opрosіte оrderliness.
sultry Tampa massagе is a Asset, head sommes t?
moins de l'int?gration de l'tаntric mаѕsagе dans les h?
pitauх.
my web page: sensual massage london
Hey! I just wish to give an enormous thumbs up for the good
ReplyDeletedata you might have here on this post. I will likely be coming
back to your weblog for extra soon.
Also visit my blog la fitness locations minnesota
Whats up! I simply wish to give an enormous thumbs up for the nice info you’ve gotten here
ReplyDeleteon this post. I will likely be coming back to your weblog for more soon.
Feel free to surf to my page; twin travel systems reviews
Hey! I just would like to give a huge thumbs up for the good data you
ReplyDeletehave got here on this post. I might be coming back to your blog for more soon.
Also visit my blog ... minnie downs