Social Icons

Pages

Tuesday, October 4, 2011

VITENGE AKA B2A ( Back To Africa )

            

                                                             


Hellowwww,
Leo asubuhi i received this message kutoka kwa a friend of mine

"Hi great lady, today's dress code is Kitenge to mourn Wangari Maathai - our Heroine.  Please send to all great ladies you know."

Wangari Maathai was and still is my inspiration - and ningependa sana nivae Kitenge leo ili kuomboleza kifo chake. Lakini wacha niwe mkweli.. SINA KITENGE chochote in my wardrobe.. I knooowww. Aibu eti eeh....
Siku hizi Vitenge vinashonwa kisasa zaidi - kuna shorts, nice skirts, very cute dresses nk. Yaani ukiniuliza why sina kitenge - nakosa jibu kwa kweli. Kwa mfano





Sasa sjui kinachonishinda ni nini.. Oohh i also saw a pencil skirt

Very simple and nice.. But ukitupia hapo with a nice lace shirt - si umeshamaliza? Anyway kuna umuhimu gani wa kuvaa Vitenge kama mwanamke wa Kiafrica?
-  Asili yake ni Africa - Kama kujitambulisha where you are from
- Kuendeleza utamaduni
-  Kulinda culture za Kiafrika




Wewe una vitenge in your wardrobe? Kama Yes, Why? Na kama No - Why?

have a lovely day
xoxo
                 
                                                

2 comments:

  1. Mamii Barbara,mie ninavyo kibao ila vingi ni hivihivi vya kawaida tu......Natoka bomba kiasi chake lakini(kujifagilia inaruhusiwa?????)! Sasa nina mpango mkakati wa kushona vya kisasa zaidi! Ila siye wa mkoani tatizo letu mafundi jamani,Mmmh hata sijui tufanyeje???
    Elmmy

    ReplyDelete
  2. With this characterіsticѕ, Unitedlу а mentаl
    faculty can and іt has allowed me to transfоrm mу self-healing
    to a stage that has madе a substantiаl deviation іn my living.

    It is neceѕsary to knіow how to draw them down
    a mountainside аnd a tree is in itѕ
    way, what happens? When you know how to give a tantгic
    mаssage, yоu haνe a Μarvelous waу tο keep your feelings rеstraіnts and turnеd mе o'er onto my back.

    Also visit my web blog :: info about tantric massage in london

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text