Hellow,
Hivi ishawahi kutokea - due to different reasons - Ukajikuta you have slept with someone na asubuhi yake uka regret au ukaendelea ku regret for the rest of your life? Labda una regret coz you just met him and you thought kama hungeanza by having sex labda angekuheshimu na mungekua na the perfect relationship, au labda ni colleague wako kazini - unajiuliza how will you face him nk, Maybe hukutumia condiom, labda ni mtu unayemfahamu kwa muda but nyie ni friends tu and you wanted to keep it that way, Labda kakuambukiza an STD nk...
Ni matukio gani labda yalipelekea wewe to sleep na huyo mtu and maybe kwa nini uka regret? kama kawaida yangu nimefanya kaji research kadogooo kuhusiana na hili.. Nilipata the following majibu...
Ulevi - Kuna msemo "Beauty is in the eye of the Beer holder" Ukishalewa unaona jamaa yupo more handsome au ana vitu/ qualities unazopenda. Aaahh mbona anakubeba tu hivi hivi... Morning after sasa.. You kick yourself kisawasawa anakua vile vyote ulivyoona havipo!
Revenge – Wanawake na wanaume wengi wakifumania au kujua kuwa theri loved ones wame cheat on them wanalipa kisasi. How? Wata have sex na the next person atayewatongoza. Unabisha?
Isolation – Unapokua kwenye maeneo mapya ambapo you dont know anyone au unajua very few people unakwenda tafuta comfort in the arms of a stranger. Actually yeyote who will smile at you!
Boring sex – Eeeehhhh.... Ukiambiwa ujitume unaona tunakutania... Hehehhehe.. Studies reveal kuwa wanaume na wanawake ambao wananyimwa sex au the sex is boring katika relationship yao wata have sex na anything - sio anyone tu!!
Blackmail – Kuna ma Conmen na perverts wa hatari around. Hawa watafanya kila njia na namna to have sex with you. Labda ni ex wako and ana picha yako ya utupu mliopiga when mlikua pamoja and maybe umesha move on na una mtu mwingine - akaja kutana na wewe u look more beautiful and sexy - weee ataku threaten hadi ukome.. Baby come back kwanza, ikishindikana anaku black mail kua atatupia hizo pics zako ndani ya faebook kisha aku tag. Utafanyaje?
Frustration – Kuna watu wana frustrations za ajabu katika relationships zao.. Yaani inakuwa mateso kweli so mtu anaamua liwalo na liwe.. Kuonyesha kuwa She/He is done with you - anaweza kumchukua mtu yeyote and sleep with them and ata make sure you will find out...
Peer pressure – Unapojikuta kuwa everyone is doing it, so unajiuliza kwa nini na wewe usijaribu?
Kama ulishawahi regretting to have sex na someone share nasi story yako...
PS. Unaweza nitumia email - babo25@gmail.com au sms - +255 759 008 500
Have a good one.
xoxo