Social Icons

Pages

Monday, November 28, 2011

Why did I Sleep With Him.....

           
               

                              

Hellow,
Hivi ishawahi kutokea - due to different reasons - Ukajikuta you have slept with someone na asubuhi yake uka regret au ukaendelea ku regret for the rest of your life? Labda una regret coz you just met him and you thought kama hungeanza by having sex labda angekuheshimu na mungekua na the perfect relationship, au labda ni colleague wako kazini - unajiuliza how will you face him nk, Maybe hukutumia condiom, labda ni mtu unayemfahamu kwa muda but nyie ni friends tu and you wanted to keep it that way, Labda kakuambukiza an STD nk...
Ni matukio gani labda yalipelekea wewe to sleep na huyo mtu and maybe kwa nini uka regret? kama kawaida yangu nimefanya kaji research kadogooo kuhusiana na hili.. Nilipata the following majibu...

Ulevi - Kuna msemo "Beauty is in the eye of the Beer holder" Ukishalewa unaona jamaa yupo more handsome au ana vitu/ qualities unazopenda. Aaahh mbona anakubeba tu hivi hivi...  Morning after sasa.. You kick yourself kisawasawa anakua vile vyote ulivyoona havipo!
Revenge – Wanawake na wanaume wengi wakifumania au kujua kuwa theri loved ones wame cheat on them wanalipa kisasi. How? Wata have sex na the next person atayewatongoza. Unabisha?

Huzuni –  Kuna watu hawajui jinsi ya ku take care of traumatic experiences eg -  kaachwa mataani siku ya wedding yake, kafiwa na someone very close etc anakua soo vulnerable na hii inapelekea mtu huyu to sleep with anyone atakayemtongoza.

Isolation – Unapokua kwenye maeneo mapya ambapo you dont know anyone au unajua very few people unakwenda tafuta comfort in the arms of a stranger. Actually yeyote who will smile at you!

Lovelessness – Amini usiamini, wanawake na wanaume ambao wanahisi hawapendwi tena na labda walikua either wako in a long term relationship au wanaishi na wapendwa wao wakliachika wanataka kua appreciated again. Wata have sex na anyone - tena easily...

Boring sex – Eeeehhhh.... Ukiambiwa ujitume unaona tunakutania... Hehehhehe..  Studies reveal kuwa wanaume na wanawake ambao wananyimwa sex au the sex is boring katika relationship yao wata have sex na anything - sio anyone tu!!

Blackmail – Kuna ma Conmen na perverts wa hatari around. Hawa watafanya kila njia na namna to have sex with you. Labda ni ex wako and ana picha yako ya utupu mliopiga when mlikua pamoja and maybe umesha move on na una mtu mwingine - akaja kutana na wewe u look more beautiful and sexy - weee ataku threaten hadi ukome.. Baby come back kwanza, ikishindikana anaku black mail kua atatupia hizo pics zako ndani ya faebook kisha aku tag. Utafanyaje?

Frustration –  Kuna watu wana frustrations za ajabu katika relationships zao.. Yaani inakuwa mateso kweli so mtu anaamua liwalo na liwe.. Kuonyesha kuwa She/He is done with you - anaweza kumchukua mtu yeyote and sleep with them and ata make sure you will find out...

Peer pressure – Unapojikuta kuwa everyone is doing it, so unajiuliza kwa nini na wewe usijaribu?

Kama ulishawahi regretting to have sex na someone share nasi story yako...


            
PS. Unaweza nitumia email - babo25@gmail.com au sms - +255 759 008 500 

Have a good one.
xoxo                

1 comment:

  1. Hi Babra,
    I always regret it girl!! na sijui nitaachaje,
    Simchukii wala simpendi ILA NAJUUUUTA KWA NINI?
    Ilikuwa hivi, huyu kijana (namwita Deo) nilikutana nae nikiwa chuo akawa ananipendaga lakini nilikuwa na bf (namwita Hando)hivyo nikamkatalia. Baada ya wote kumaliza masomo tukakutana tena mitaani, kila mtu ashaanza maisha yani kujitegemea, mean while Hando kulitokea kutokuelewana sana, tuka end uhusiano, was lonely frustrated and the lyk, so nilipokutana tena na Deo, tena jion natoka job nimechooka, si ndo kuniambia anakaa maeneo ya jiran na tulipokutania, twende hom kwake, huwezi amin alinipa tu fanta moja, akaanza kuniuliza yaliyonisibu na nikamweleza, akawa ananifariji na nn, si ndo kufikia kitandani shost. Najutaa, alinishushia san utu wangu, kwanza sio handsome wala nn, hana hela kiviile, kitandani ndo sifuriii, sitaki kukumbuka jamanii, uwwwiiii. God forbide, and forgive me and him.
    But now he is married and am maried too all these marriages happened this year.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text