Hellooo,
Ningependa kuchukua fursa hii kukushukuru wewe na yule muliotenga muda wenu na kuja Nyumbani Lounge this saturday na kushiriki kikamilifu kwenye Grooveback Divas Night. Thank u thank u thank u.... Nimeshuhudia upendo mkubwa kutoka kwenu. Kwa wewe ulioshindwa kuja usjali - Hii itakua every jumamosi ya end month pale pale Nyumbani Lounge.. Karibu
Shukrani za dhati kwa waliowezesha Diva's NIght ifane zaidi - Our Sponsors - Baileys, Micro Max Mobile, Navo's Choice, Oriflame, http://www.gongamx.com/ , http://www.8020fashions.blogspot.com/ , Nyumbani Lounge pamoja na Grooveback.
Bila kusahau - namshukuru sana Mwenyezi Mungu..
Asanteni sana na Mungu awabariki.. Picha zitafuata...
bless,
xoxo
Monday, November 28, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment