Social Icons

Pages

Tuesday, November 8, 2011

Eti Wanaume - You don't like Weaves??!!

Helloooowww,
Juzi I came across an article ilikua inaongelea why wanaume zetu hawapendi sie wanawake kushonelea Weave/weaving/hair extensions.. Whether umei bond au kushonea. Kumbe wana mind! Heheheh I didnt know that! Mara ooohh zinaonekana kabisa fake, Anyway labda men have a point. Let's see walitoa vigezo gani why they dont like them. You ready? Haya twende!!!!

1. Weaves zinaacha evidence
Hahahhah!!! (Sorry I just had kucheka) Hii of course itakuwa kwa wale ma players. Manake weave ukilichana linaachia - nywele kibao zinachomoka, zinabaki chumbani kwenye carpet na hata in the bathroom. And worse hua zinabaki on the bed!!! Kisha maybe wee ni mpango wa kando aka nyumba ndogo aka side chick, The guy anaogopa kukamatwa ndo maana wanachukua weaves!! Shame on you players!!!!
                                                
2. Weave zote zinafanana
Nani kasema!! If you guys were the ones munanunua ndo mungejua weave hazifanani! Kuna Indian, Brazilian, Italian and kuna pia Plastic - ambazo hizi hazifai kabisa coz you can't set it. We know better.. na kama you would have been the one buying pamoja na tofauti za bei then you would understand more. Ndo maana munakamatwa nyie guys when unaning'ang'ania kuwa its my hair wakati I know for sure it's not!!!
3. No touching my hair 
Utaziharibu bwana. I spent 30 minutes asubuhi nikizachana. Sasa unataka uzipapase ili iweje!!! Dont mess with my weave!! Hahahahah!!! 
4. Tukigusa vichwa vyenu kuna bumps
Guys this is only when ni weave za kushonea - but bonding inakua bumps hauzi feel sana.. Eeeh I'm clearly trying to justify myself - ila honestly hii ni ukweli!!
8: “Pull my hair.”
Neno tunajua linatumiika sana when having sex - in the heat of the moment tunajisahau tumeshonea weave kisha unamwambia - pull my hair - mara uuuwwiii unakumbuka it's a weave - unadakia - don't pull my hair.. Ni ukweli pia kuwa we can't go swimming kwa sababu (kama sio original weave) zinaharibika! OOhh weeelll kila kitu kina a price to pay - weave ni kwa wanawake to pay!

9. Zinanuka
This is only kwa wale wadada wanaokaa na weave zaidi ya mwezi mmoja kisha hawazioshi! Sasa what do you expect! Hii ni kweli! Kuna jasho, dandruff na mafuta - mchanganyiko wake harufu ya hatari!! Wash your weave girl usituaibishe!

10. Zinaoneka Fake
Do you really want to talk about fake? Mbona hulalamiki about fake nails, fake boobs, fake makalio (ya mchina) na mengineyo? Au unachagua what not to like tu ilimradi? Na sitokataa kuwa kweli kuna weaves nyingine unaona kabisa mshono umepitia hapa au nywele zimeishia hapa, but kuna nyingine zinashonewa vizuriii hadi you guy think it's real hair!!! Sema tatizo zile za ukweli sanaaa hatuwezi ku afford hiyo bei! Wanaoweza ni kina Ashanti, Beyonce na kadhalika.




 11. Hawezi ku run his fingers through nywele
Hii nakubali kiroho safi... Wakati wa ku cuddle na mwenzio kisha anataka akupapase nywele aingize vidole in between the hair, anakua anakutana na visivyoeleweka hapo kati!! Tehetehetehe... Ma lavy davy mengine yamepitiliza ujue!!!  But then again hata kama bila weave na nimetoka kutengeneza my hair salon kisha unapitisha midole - hahahahah no way!! Stay off my hair!!

12. Anajiweka High Class sanaaa..
Mwee! As if that's a bad thing!! Kweli??? Eti guys think kuwa ladies wenye natural hair ni down to earth and wachapa kazi but wenye kushonea weave wanapenda kujiweka high class and love to flirt!! Hii imetoka wapi?? Utakuta ni assumption ya mtu mmoja tu kisha akasambaza kama hizi msg za jokes!! It's a lie oooh (In Nigerian accent)


Ila yote tisa, kumi - It's my hair!! Si nimenunua with my money!!! Be it a weave au kama ni za kwangu original zote ni za kwangu!! Kwani hair inakuhusuje? Au ndo utasema - I love you wholly and completely kwa hiyo inabidi nipende kila kitu. I beg to differ. Nipende kote basi uniachie hiki kichwa! Hahahha! I joke.. Ukipenda boga penda na ua lake- ukinipenda penda na weave yangu!!!





                                                      


Mi mwenyewe I'm rocking a weave and proud of it!!!!

         xoxo
have a good day..                                             

5 comments:

  1. ha ha ha ha ha ts true.... and u knw wat u luk gud dr......

    says
    fetty..

    ReplyDelete
  2. Me mwenyewe my hubby imebidi azipende tu...maana vinywele vyangu original ni balaa so most of the tym nashonea weave n i thank God very rare watu hugundua nimeshonea unless usogee karibu sana au uziguse...ila kuna wengine wana maudhi anashonea nywele mpaka unatamani umfumue maana kwanza unakuta weave baya halafu limeshonewashonewa tu aaagh....

    ReplyDelete
  3. babra mi na my beb tunaish mbali mbali..an i know perfect wee dat hapend hiz weavings he says tukiwa tuna DO anataka aguse my own hair, sasa nmenunu kawig changu kazuuri akitaka kuja nafumua weaving kama tunatoka navaa kiwig changu halaf tukirud nakitoa.....tutafanyaje sasa na ndo wanaume hawa

    ReplyDelete
  4. Fetty Thank u love.. Hugs

    Mdau wa 2 - kwa kweli zingine ni too much..n Unaona hadi uzi ulivyokatiza!

    Mdau wa 3 - Good idea...

    ReplyDelete
  5. By nοw, manу of you havе reaԁ
    sοmеthing roughly tantric massage metеmρsychοsis,
    іnto the troika things of the path - сlеar cleаn, illusorу physiсal structure, and the lеarner's Incorporate stagecoach.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text