Hey,
Nisameheni kwa kua kimya sanaaaa.... There's something tunaandaa kwa ajili ya ladies - Diva's Night na Grooveback - Itakua this saturday pale Nyumbani Lounge. Ntawajuza zaidi as days go by - make a date basi tujumuike pamoja.
That said - kuna haka katabia ambacho nimegundua wanawake ndo tulikua nacho zaidi before but siku hizi it's being done by both men and ladies. Utakuta mtu kaalikwa sehemu maybe for dinner, lunch, party au hata wedding. It could be something big or not. Lakini unakuta wewe uliyealikwa unabeba mtu mmoja au zaidi ya wawili kwenda nao ulikoalikwa and without notifying yule aliyekualika! Maybe huyo aliyekualika alikua kajiandaa kulipia drinks na chakula kwa a specific amount of people. Wee umejibebesha huko washkaji zako ukaenda nao! Yule aliyekualika hatoweza kukwambia chochote because of ukarimu wetu watanzania. But hebu fikiria damage utayosababisha kwenye mfuko wa huyo mtu. Hata kama that person ni tajiri lakini ana budget yake! Hivi unahisi utaalikwa tena na the same person siku nyingine kweli? Na hiki kitabia kimetokea wapi? Wee una tabia hii? Ukifanyiwa wewe how will you feel?
For example wengine wanapewa na invitation card kabisa na imeandikwa jina lako tu - unambeba mkeo au mumeo/ boyfriend au girlfriend au sometimes some friends tu wa kawaida? Huoni aibu?
Tujifunze bwanaa... Kama umealikwa mwenyewe nenda mwenyewe, kama unataka kumbeba mtu basi uliza kwanza, sio kukurupuka tu.. Na wewe mtu akitaka kukubeba juu juu eti kaalikwa sehemu kataaaa!!! Hakikisha you have been invited too...
Anyway - I hope nimeeleweka....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment