Hello,
Bado tupo mwezi wa 3 (March) ambapo mimi binafsi mwezi huu mzima naamini ni mwezi wa wanawake.. That's why kwenye wimbo wednesday nimekua nikiweka nyimbo zinazosifia wanawake. Wakati wiki hii ikiwa ndio the last week of March, ningependa usikilize and sing along this song with me..
Whitney Houston - I'm Every Woman
Whatever you want
Whatever you need
Anything you want done baby
I do it naturally
'Cause I'm every woman (Every woman)
It's all in me
It's all in me
Yeah
I'm every woman
It's all in me
Anything you want done baby
I do it naturally
I'm every woman
It's all in me
I can read your thoughts right now
Every woman, whoever made ya say...
Whoa whoa whoa
Whoa (oh) whoa (oh) whoa
I can cast a spell
See, but you can't tell
Mix a special groove
Put fire inside of you
Anytime you feel danger or fear
Then instantly
I will appear
Yeah oh
I'm every woman
It's all in me
Anything you want done baby
I do it naturally
Whoa whoa whoa
Whoa whoa whoa
I can set your knees
like playing unto the seas
I can make a rhyme of confusion in your mind
And when it comes down to some little flash of love
I got it, I got it
I got it, got it, baby baby
I'm every woman
It's all in me
Anything you want done baby
I do it naturally
I'm every woman
It's all in me
I can read your thoughts right now
Every woman, whoever made ya say...
Whoa whoa whoa
Whoa whoa whoa
I ain't braggin'
'Cause I'm the one
Just ask me
Oh, it shall be done
And don't bother
to compare
I've got it
Whoa whoa whoa
Whoa whoa whoa
Whoa whoa whoa
Ahhhhh
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman
I'm every woman (Chaka)
I'm every woman (Chaka)
I'm every woman (Ha ha ha)
I'm every woman (Come on girl)
http://www.youtube.com/watch?v=jpGmuhBhR7w
Celebrate the woman in you!!!
much love...
Wednesday, March 28, 2012
Wanawake na Make Up...
Nilikwenda out na marafiki, we had soo much fun. After ku dance kwa muda na hili joto la Dar Es Salaam nikaona niende maliwatoni nika freshen up. Kwenye pochi nilikua nimebeba a comb, foundation, mascara, lip gloss na spray...
Nikaingia ndani I peed, nikatoka kwenda kwenye mirrors kujipaka. Kwanza nikachana nywele, kisha nikawa napaka foundation. Akaingia mdada mmoja. Bila aibu she told me "excuse me naomba foundation yake nipake kidogo"! Mmhh.. Hata skin tone zetu hazifanani, sjui ana ugonjwa gani wa ngozi. Why should i share my personal stuff na mtu nisiyemfahamu. Wakaingia wengine.
"Naomba kitana! Naomba lip gloss dada.. Pliz niwekee kidogo kwenye kidole!"
MIMI: Khaaa!! Nyie kwa nini hamjabeba if you knew mtahitaji ku freshen up?
"Oohh hatukubeba mapochi.."
MIMI: Kwa hiyo mimi ndo nibebe mpochi mkubwaaa nije kunufaisha watu eeh? Hamna ntakayempa anything hapa. "Basi tunaomba spray!"
MIMI: Mumetumwa? Hebu muniache.. Next time bebeni vya kwenu!
Mara ngapi haya yameshakutokea? Labda umeenda harusini au kwenye concert au cocktail dinner or whatever. Ukiingia msalani unakuta wadada, wakikuona na vitu vyako wanakuomba? Why ukubali ku share a comb? Unataka kuambukizwa dandruff? Why ukubali to share foundation, uambukizwe skin disease? Why ukubali ku share mascara, uambukizwe ugonjwa wa macho? Unaweza pia usiambukizwe but why share? Na wewe usiobeba why uombe vitu personal kiasi hicho? Carry your own!!!!
I'm done!!!!
Good day,
xoxo
Thursday, March 22, 2012
Tatua Thursday....
Mambo Barbara,
Mimi ni mdada wa miaka 32, mchagga wa Kibosho, sina mtoto, nina kazi nzuri tu katika Advertising Agency, naishi mwenyewe katika nyumba ya kupanga na namiliki kiwanja (nitaanza kujenga mwaka huu) na gari nzuri. Nimeshawahi kuwa na mahusiano ya mufa mrefu tu lakini tulikuja kuachana baada ya boyfriend wangu ku cheat. Nina mwaka wa 4 sasa hivi nipo mwenyewe. Nimejaribu kweli kutafuta boy friend mpya lakini inaniwia ngumu. Manake ninaokutana nao hawajanifurahisha hadi mie kukubali kuwa nao katika serious relationship. Wakati mwingine kikwazo kinakuwa dini, mara nyingine kipato au kazi yake, wengine walikua na mahusiano tayari ( staki kuwa chaguo la pili), wengine wameoa, wengine hawakuniridhisha kwenye sex. Nimejaribu sanaaa kujichanganya na watu wapya tofauti tofauti. Mara nyingine my girl friends wameni introduce kwa wakaka, hadi nilishajaribu internet dating na blind dates ila bado mwaka hadi mwaka najikuta nipo mwenyewe.
Sijui kama tatizo ni mimi kwa sababu nachagua sana - ila sitaki tena kuumizwa na kuchezewa. Ndo maana nakua very specific na ntakaye kuwa naye next kwa sababu nataka awe wangu wa milele. Naomba musaidie kunishauri
- labda niende maeneo gani kukutana na watu potential.
- niongee nao vipi mara ya kwanza ninapokutana nao.
- nivae vipi labda
- how should I carry myself wajue nataka serious relationship?
Naomba munisaidie... pleeaaassseeee...
Asanteni in advance..
Haya kazi kwako mdau wa blog hii.. Tumsaidie mwenzetu..
xoxo
Wednesday, March 21, 2012
Wimbo Wednesday...
Hello,
Siku ya wanawake duniani ilikua tarehe 8 March. Kauli mbiu yake kwa Tanzania ikiwa 'Kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana'
Wengi waliongelea this issue kwenye media za kila aina - tv, radios, magazeti, blogs etc. But naona after that day wamekua kimya. What is being done kwa hao wanaofanya ukatili kwa wanawake na wasichana? Tunamlinda vipi mwanamke na msichana? Je, sheria zimebadilishwa? Manake bado tunatumia za enzi ya Nyerere.
Anyway mimi niliamua kuweka wimbo unaopinga ukatili dhidi ya women and girls katika simu yangu. Ndio ringtone yangu. Kaimba Eve. And its based on a true story. Ni mambo yalimtokea her best friend. Although kiusanii aliongezea tu kuwa she killed the guy. She didn't. Ndo wimbo wetu leo on Wimbo Wednesday.
Enjoy this wakati bado tunasubiria kuona kitalachofanywa kuhusiana na wanaofanya ukatili kwa wanawake na watoto. Labda mambo yatabadilika kwenye the new katiba tunayoingojea.
"Love Is Blind"
Hey, yo I don't even know you and I hate you
See all I know is that my girlfriend used to date you
How would you feel if she held you down and raped you?
Tried and tried, but she never could escape you
She was in love and I'd ask her how? I mean why?
What kind of love from a nigga would black your eye?
What kind of love from a nigga every night make you cry?
What kind of love from a nigga make you wish he would die?
I mean shit he bought you things and gave you diamond rings
But them things wasn't worth none of the pain that he brings
And you stayed, what made you fall for him?
That nigga had the power to make you crawl for him
I thought you was a doctor be on call for him
Smacked you down cause he said you was too tall for him, huh?
That wasn't love, babygirl you was dreamin'
I could have killed you when you said your seed was growin' from his semen
Love is blind, and it will take over your mind
What you think is love, is truly not
You need to elevate and find (X2)
I don't even know you and I'd kill you myself
You played with her like a doll and put her back on the shelf
Wouldn't let her go to school and better herself
She had a baby by your ass and you ain't giving no help
Uh-huh big time hustler, snake motherf#&*@r
One's born everyday and everyday she was your sucker
How could you beat the mother of your kids?
How could you tell her that you love her?
Don't give a fuck if she lives
She told me she would leave you, I admit it she did
But came back, made up a lie about you missing your kids
Sweet kisses, baby ain't even know she was your mistress
Had to deal with fist fights and phone calls from your bi$%&*s
Floss like you possess her, tellin' me to mind my business
Said that it was her life and stay the f&*k out of it
I tried and said just for him I'll keep a ready clip
Love is blind, and it will take over your mind
What you think is love, is truly not
You need to elevate and find (X2)
I don't even know you and I want you dead
Don't know the facts but I saw the blood pour from her head
See I laid down beside her in the hospital bed
And about two hours later, doctors said she was dead
Had the nerve to show up at her mother's house the next day
To come and pay your respects and help the family pray
Even knelt down on one knee and let a tear drop
And before you had a chance to get up
You heard my gun cock
Prayin' to me now, I ain't God but I'll pretend
I ain't start your life but nigga I'mma bring it to an end
And I did, clear shots and no regrets, never
Cops comin' lock me under the jail
Nigga whatever my bi&*%, f*&k it my sister
You could never figure out even if I let you live
What our love was all about
I considered her my blood and it don't come no thicker
Love is blind, and it will take over your mind
What you think is love, is truly not
You need to elevate and find (X2)
Good day
Xoxo

Tuesday, March 20, 2012
Pumu...
Hello...
Jamani naombeni munisamehe.. nimekua kimya because my daughter anaumwa... Kila wakati hali ya hewa ikiwa haieleweki (hewa ikiwa nzito, mawingu mazito) hua mwanangu anabanwa sana. Nimejaribu dawa tofauti tofauti.. Za hospitali and even za kienyeji.. But hajapata nafuu.. Sometimes inapotea kwa muda, ila ikiibuka inakuwa worse...
Naomba ushauri na usaidizi please...
thank you in advance,
xoxo
Friday, March 16, 2012
Weekend Shopping...
Hello,
Kuna mzigo mpya umefunguliwa duka la Mini Argos - lipo pale Msasani opposite na CCBRT. Kushoto kwako kama you are heading to Msasani Mwisho.
Kuna vitu vingi zaidi kwa ajili ya watoto kama - Swimming costume, towels, lunch/break containers, story books, saa, miavuli, viatu, school bags nk. Pia kuna vitu kwa ajili ya akina mama.. Kuna viatu, lotion, make up kits, bracelets, earings na pete, spray, lip stick etc....
Ila kilichonivutia zaidi at Mini Argos store ni......
Hapo kuna Channel na Tory Burch - mwenzanguuuuu....
And then nikaona Wallets... Kuna aina hii hapa...
Na hii...
I like the colours na kua ziko unique flani na bei affordable..
Sasa kilichonichanganya ......
This Chloe bag - kesho naifuata.. Galina pliz nihifadhie.... :)
Oohh and this Tory Burch
Wahi upate ya kwako leo and hata kama sio mapochi kuna vitu vingine kibao...
Mini Argos Store ipo Msasani - Kimweri road. Au unaweza kucheki nao on number - 0684 746746
Ukitaka kuweka bidhaa zako on this blog.. Contact me
email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759008500
Have a lovely weekend..

Thursday, March 15, 2012
Tatua Thursday....
Habari yako Barbara,
Nina tatizo ambalo ningependa kuliweka mezani katika Tatua Thursday kwenye blog yako.. Naomba ushauri..
Mimi ni mdada wa miaka 28 na nashukuru nina kazi nzuri tu na nina mtoto mmoja wa kiume nje ya ndoa. Bado sijaolewa na mimi na baba mtoto tulishaachana. Nilibahatika pia kukutana na mkaka mzuri, mtanashati mwenye qualities zote ninazo penda awe nazo mwanamume. Ana miaka 35. Nilitambulishwa kwake na marafiki zangu. Tulitokea kupendana sana na tumedumu kwa mwaka mzima. Ameshanitambulisha kwa marafiki zake wote na akanipa ahadi nyingi tu ikiwemo ya kunitambulisha kwa wazazi wake. Pia amekuwa mkweli sana kwangu na alinitamkia kuwa ana watoto wawili ambapo mmoja anakaa na bibi yake na huyu wa pili anakaa na mamake.
Nimekuwa nikienda kwake mara kwa mara na pia kuna vitu vyangu vipo kwake (nilihamia nusu nusu) , kwa kweli nampenda sana. Tulikuja kugombana mwezi jana, kwa sababu alianza kubadilika, akawa anaweza asipokee simu siku nzima na hata sms hajibu. Nikiwepo kwake anatoka nje kupokea simu, Nikimwambia nakwenda kwake anasema hayupo na kuwa amesafiri kikazi. Kila siku kusafiri au anasema atarudi nyumbani usiku wa manane kwa sababu ya kazi anazofuatilia. Kwa mazingira ya kazi anayofanya nilimuelewa. Ila nikawa navumilia tu. Sasa juzi hapa tukarudiana ila kwake hataki niende tena. Kila siku anakuja na story mpya, mara kasafiri, mara wadogo zake wako pale nk.
Jana nimepata habari kuwa kuna mwanamke nyumbani kwake - huyu sijui kama ni mpya au ni yule yule mama mtoto. Anapika na kupakua hapo nyumbani. Kinachoniuma zaidi ni kuwa ananificha mimi. Inaniuma kwa nini asiniambie ukweli, wakati tulipoanza alinambia kila kitu. Najiuliza maswali mengi sana hapa nilipo. Niliamiini kua huyu ndiye atakuja kuwa wangu wa maisha, je, ameniweka wapi katika maisha yake, je, niifanyeje? Sitaki kumuacha na pia sitaki ku share... Nimechanganyikiwa sana... Na nampenda sana na najua hata yeye ananipenda. Nishaurini jamani...
Anna wa Dodoma...
Ukitaka kuelezea story yako email me - barbshassan@gmail.com
au SMS - +255 759 008500
Thursday, March 8, 2012
Tatua Thursday....
Happy women's day kwenu wooooteee...
Nina a friend of mine, nilikua sijamuona siku nyingi. Nimeonana naye juzi kati alikua na mengi ya kusema. Imeniogopesha sana. Imenifanya ni rethink about getting married na kuogopa mahusiano in general.
Huyu dada got into a relationship na a very potential bachelor, mwenye vigezo vyote ambavyo huyu dada alikua anatafuta in a man. Relationship kwa kawaida mwanzoni ilikua taamu na nzuri hadi watu wa nje wakawa wanaionea wivu. Wakaendelea vizuri tu. Waka move in, na kuishi kwenye nyumba moja.
Baada ya muda jamaa akaanza kumsema sema huyu dada - mara chakula hakijaiva, mara nyumba chafu, mara vyombo vinanuka sabuni na kadhalika. Dada yetu akawa anavumilia na kuendelea kujaribu to please the man. Jamaa akaenda kujitambulisha kwa kina huyu dada na kumvisha pete ya uchumba. Dada akaona - eeh kweli nimepata. Baada ya muda jamaa akawa harudi nyumbani, dada akampigia anamwambia - hujui kupika wala kutandika kitanda so nitakula na kulala huku huku nijuako mie. Mmmhhh.. Visa na mikasa vikaanza upya na kuwa zaidi.
Baada ya musa si mrefu, jamaa akawa anarudi nyumbani yuko chakari anampa kisago cha uhakika huyu dada. Heeeee dada akastuka! Yamekua hayo!!! Yule dada hakukubali, akipigwa na yeye anapiga, ngumi kwa ngumi, teke kwa teke. Kumbe yule jamaa hasira ndo zinaongezeka. Akiona kuwa yule dada anajaribu kuwa the man kwenye relationship. Ila wakaendelea kuishi together.
Siku ya siku dada wa wenyewe kalala mwanamume karudi usiku wa manane na kuanza kumvamia yule dada. Kwa vile huyu dada alikua bado usingizini hakuweza kukurupuka na kujihami. Alipigwa hadi basi. Alipokua yupo tika tika kajikunja hapo chini kwenye floor, jamaa akaenda kufuata kisu jikoni, akamchoma choma mwili mzima. Kisha akaondoka. Yule dada hawezi tena kulia wala kunyanyuka, hawezi kutafuta simu wala kuongea. Jamaa akapigia simu ndugu wa yule dada na kuwaambia "Nendeni mukachukue maiti yenu" Kisha akakata simu.
Ndio ndugu kushtuka wakakimbia hadi kwa yule dada. Wakakmkuta hajiwezi kabisa. Wakambeba na kumkimbiza hospital. Yule dada kwa kweli aliponea kwa kudra za Mungu.
But ni nini hasa kinampelekea mwanamume hadi kutaka kumuua kabisa mwanamke aliyekua anaishi naye, anampenda, analala naye, amemchumbia?
Pinga na kataa kabisa Ukatili dhidi ya Wanawake
kwa maoni email - barbshassan@gmail.com
au sms - +255 759 008500
Wednesday, March 7, 2012
Wimbo Wednesday... (For the Woman)
Hello,
Kesho ni siku ya wanawake duniani... I know kama wanawake tunapitia a lot of things, both good and bad. To me, siku ya wanawake duniani ni siku ninayofurahi na ku appreciate kuzaliwa mwanamke. I dont think kama ningekuwa mwanamume ningekua this strong.. hehehehe..
Anyway, kwa wanawake wote wa blog hii nawashukuru sana for being a part of my life - kwa namna moja au nyingine, and my gift for you leo ni wimbo huu hapa wa Alicia Keys - Super woman.
"Superwoman"
Everywhere I'm turning
Nothing seems complete
I stand up and I'm searching
For the better part of me
I hang my head from sorrow
state of humanity
I wear it on my shoulders
Gotta find the strength in me
Cause I am a Superwoman
Yes I am
Yes she is
Even when I'm a mess
I still put on a vest
With an S on my chest
Oh yes
I'm a Superwoman
For all the mothers fighting
For better days to come
And all my women, all my women sitting here trying
To come home before the sun
And all my sisters
Coming together
Say yes I will
Yes I can
Cause I am a Superwoman
Yes I am
Yes she is
Even when I'm a mess
I still put on a vest
With an S on my chest
Oh yes
I'm a Superwoman
When I'm breaking down
And I can't be found
And I start to get weak
Cause no one knows
Me underneath these clothes
But I can fly
We can fly, Oh

And yes YOU ARE....
Happy Womens Day my friends... (in advance)
much love..
End Violence Against Women.....
Tuesday, March 6, 2012
Wasaidizi wa home kwetu - Part 2
Mambo...
Last week niliambiwa story ikanifanya nipate goose bumps. Manake mimi kama mwanamke na mama, hii story inaweza hata kunitokea mimi muda wowote ule.
Ni huko Kimara in Dar Es Salaam. A mother of two children ni mfanya biashara, ili aweze kufuatilia biashara zake ikabidi atafute mdada wa kazi. Alifanikiwa to get one na wamekaa kwa muda pamoja. Sasa hiyo last week yule mama karudi nyumbani mchana, kakuta mwanaye mdogo anaumwa sana. Akamkimbiza hospital. Kufika wakampeleka Emergency. After uchunguzi kidogo Doctors found out yule mtoto kapewa sumu. The poor child akaaga dunia. Yule mama akachanganyikiwa. Mwanaye kala wapi hiyo sumu and kapewa na nani? Akamshuku house girl moja kwa moja because wanae hawala sehemu nyingine yoyote. Akarudi nyumbani kufika, mtoto mkubwa yupo all alone. Akamuuliza dada yuko wapi? Mtoto anagaragara chini anaumwa tumbo akilia. Mama akamchukua na huyo na kumkimbiza hospital ile ile ya kwanza. After uchunguzi akakutwa na yeye alilishwa sumu. Likafumuka. Wakaita polisi. Dada nyumbani hayupo kabeba all her stuff.. Ila kasahau picha zake. Kwa hiyo polisi wangali wanamtafuta.
So ikaja kugundulika kuwa yule dada alipika chakula cha usiku akakitia sumu. Yeye mwenyewe hakula siku hiyo akidai kuwa she had an early dinner. Kwa hiyo family nzima walilishwa sumu. Ila kwa vile yule mtoto aliyefariki ndio mdogo kuliko wote sumu ilimzidi nguvu and she passed away.
Seriously, iliniogopesha sana. Hivi huyo dada unayeishi naye unamjua kwa kiasi gani? Je hua unamkwaza mara kwa mara kwa kumgombeza na hata maybe kumpiga? Je, unajua kwao au ndugu zake? Unajua back ground yake? Jiulize kisha tafakari na uchukue hatua...
Kuwasiliana nami email: barbshassan@gmail.com
au Sms - +255 759 008500
much love..
xoxo
Friday, March 2, 2012
Sharing is Caring...
Hello,
Nakumbuka kuna siku nili share with you kuhusu duka linalouza Nguo, Viatu na handbags linaloitwa Navo's Choice. Nakumbuka pia mulisema siku kukiwa na Sale pale nisisite kuwafahamisha.....
Kuna magauni pamoja na Skirts on sale...
Casuals, office wear na hata dinner dresses...
Discount is at 30% .....
Duka linapatikana pale Mikocheni next to Barclays Bank... Karibuuuuuuuu
Have a lovely weekend...

Thursday, March 1, 2012
Tatua Thursday....
Mambo Babra,
Naitwa Neema ni mkazi wa Arusha. Naomba tusaidiane kujadiliana kuhusu swala la wanaume zetu kuangalia wanawake wengine wakati tukiwa nao. Boy friend wangu ndo zake. Yaani utakuta nimekaa naye sehemu labda tunakula au tunakunywa. Asipite demu - awe mweupe au mweusi, mnene au mwembamba, shape ya 8 au ya 7, lazima ageuke. Amtizameeee kisha ndo anigeukie mimi. Inaniuma sana kwa sababu nahisi kama anajuta kuwa na mimi na ni kama namkatizia kufanya mambo yake. Akiwa anaendesha gari pia mambo ni yaleyale. Kuna siku almanusura agonge gari iliyokua mbele yake. Kisa? Kuna demu alikatiza kafungushia mzigo wa haja!!!
Kiukweli najiamini hata mimi ni mrembo. Ni mrefu, mwembamba juu na hips kubwa. Nyororoo mwili mzima na miguu ya bia. Ila sasa huyu boy friend anasabaisha confidence yangu ipungue. Na nikimuuliza anasema ananipenda na yeye ni wangu tu. Sasa kama ni hivyo why aangalie wanawake wengine hata mimi nikiwepo. Si afanye siri basi. Aangalie akiwa na washkaji zake au aangalie kimpango nisishtukie. Na akipita mrembo kweli kweli my boy friend kabisa anatamka - Duuuu yule demu ni mremboooooo.. daaaaaaaa....
Nimechoka kweli... Please nisaidieni...
Neema...
Toa maoni yako...
Kwa maswali au kama ungependa kutoa maoni yako au kuchagua wimbo wa Wimbo Wednesday au story yoyote niandikie
Email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759 008500
Maoni yangu? Ningekua Neema ningefanya hivi....
Hahahhahahahahahhahhahahhahha.....
Have a good day
xoxo
Subscribe to:
Posts (Atom)