Social Icons

Pages

Friday, March 16, 2012

Weekend Shopping...

Hello,
Kuna mzigo mpya umefunguliwa duka la Mini Argos - lipo pale Msasani opposite na CCBRT. Kushoto kwako kama you are heading to Msasani Mwisho.
Kuna vitu vingi zaidi kwa ajili ya watoto kama - Swimming costume, towels, lunch/break containers, story books, saa, miavuli, viatu, school bags nk. Pia kuna vitu kwa ajili ya akina mama.. Kuna viatu, lotion, make up kits, bracelets, earings na pete, spray, lip stick etc....
Ila kilichonivutia zaidi at Mini Argos store ni......

                                      
Hapo kuna Channel na Tory Burch - mwenzanguuuuu....
And then nikaona Wallets... Kuna aina hii hapa...

                               
                                                          
Na hii...
I like the colours na kua ziko unique flani na bei affordable..
Sasa kilichonichanganya ......
This Chloe bag - kesho naifuata.. Galina pliz nihifadhie.... :)
Oohh and this Tory Burch
Wahi upate ya kwako leo and hata kama sio mapochi kuna vitu vingine kibao...
Mini Argos Store ipo Msasani - Kimweri road. Au unaweza kucheki nao on number - 0684 746746


Ukitaka kuweka bidhaa zako on this blog.. Contact me
email - barbshassan@gmail.com
SMS - +255 759008500

Have a lovely weekend..
xoxo
                                  
                                           
                                    
                                                 

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text