Social Icons

Pages

Wednesday, March 28, 2012

Wanawake na Make Up...

                              


Nilikwenda out na marafiki, we had soo much fun. After ku dance kwa muda na hili joto la Dar Es Salaam nikaona niende maliwatoni nika freshen up. Kwenye pochi nilikua nimebeba a comb, foundation, mascara, lip gloss na spray...
Nikaingia ndani I peed, nikatoka kwenda kwenye mirrors kujipaka. Kwanza nikachana nywele, kisha nikawa napaka foundation. Akaingia mdada mmoja. Bila aibu she told me "excuse me naomba foundation yake nipake kidogo"! Mmhh.. Hata skin tone zetu hazifanani, sjui ana ugonjwa gani wa ngozi. Why should i share my personal stuff na mtu nisiyemfahamu. Wakaingia wengine.
"Naomba kitana! Naomba lip gloss dada.. Pliz niwekee kidogo kwenye kidole!"
 MIMI: Khaaa!! Nyie kwa nini hamjabeba if you knew mtahitaji ku freshen up?
"Oohh hatukubeba mapochi.."
MIMI: Kwa hiyo mimi ndo nibebe mpochi mkubwaaa nije kunufaisha watu eeh? Hamna ntakayempa anything hapa. "Basi tunaomba spray!"
MIMI: Mumetumwa? Hebu muniache.. Next time bebeni vya kwenu!

                          
Mara ngapi haya yameshakutokea? Labda umeenda harusini au kwenye concert au cocktail dinner or whatever. Ukiingia msalani unakuta wadada, wakikuona na vitu vyako wanakuomba? Why ukubali ku share a comb? Unataka kuambukizwa dandruff? Why ukubali to share foundation, uambukizwe skin disease? Why ukubali ku share mascara, uambukizwe ugonjwa wa macho? Unaweza pia usiambukizwe but why share? Na wewe usiobeba why uombe vitu personal kiasi hicho? Carry your own!!!!
I'm done!!!!
 
Good day,
xoxo

2 comments:

  1. For sure Barbra!sharing personal stuff like that is strictly prohibited! woman find your own stuff au vipi potezea....

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text