Social Icons

Pages

Friday, March 2, 2012

Sharing is Caring...

Hello,
Nakumbuka kuna siku nili share with you kuhusu duka linalouza Nguo, Viatu na handbags linaloitwa Navo's Choice. Nakumbuka pia mulisema siku kukiwa na Sale pale nisisite kuwafahamisha.....Kuna magauni pamoja na Skirts on sale...Casuals, office wear na hata dinner dresses...Discount is at 30% .....
Duka linapatikana pale Mikocheni next to Barclays Bank... Karibuuuuuuuu


Have a lovely weekend...
xoxo
                                             
                                 
        

2 comments:

 1. Nguo ni nzuri, size gani zinaanzia mpaka size gani mwesho.

  Mama Alice

  ReplyDelete
 2. Rehema - Navo's choiceMarch 2, 2012 at 1:57 PM

  Hi Mama Alice,tunasize tofauti tofauti from 4US to 16US. Hizo tulizoonyesha ni baadhi tu ya vitu vilivyoko kwenye sale kuna vingi zaidi.
  karibu sana

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text