Social Icons

Pages

Thursday, October 13, 2011

Kiapo Cha Ndoa...

                                                      
                                          
Hellow,
Najua... Nimekua silent kwa muda. But jamani musiniseme sanaaa.. Hehehhe...I'm sorry...
Hivi have you ever sat down ukajaribu kuangalia, kusoma na kuelewa vizuri kile kiapo cha ndoa ambacho wanandoa hubadilishana in church? Na kama you have - do you think watu watathubutu kuachana ikiwa wamei memorise na kujikumbushua kila wakati mwenzi wako anapo mess up? Tucheki the traditional wedding vows ambayo imekuwepo na kutumiwa for ages:

"Do you, ____, take , ____, to be your (husband/wife), to have and to hold, from this day forward, for better, for worse, for richer, for poorer, in sickness and in health, until death do us part.
I, ____, take you, ____, to be my (husband/wife). I promise to be true to you in good times and in bad, in sickness and in health. I will love you and honor you all the days of my life."
The priest will then say aloud "You have declared your consent before the Church. May the Lord in his goodness strengthen your consent and fill you both with his blessings. That God has joined, men must not divide. Amen."

Although kuna wengine hua wanapenda kuandika vows zao wenyewe which is good kwa sababu unasema kilicho moyoni.. Swali langu ni kua - Hua wanawaza deeply about wanachosema and hua wanakumbuka vows zile everytime au kwenye anniversary?
Tukumbuke kua kuingia kwenye ndoa is not like unakwenda nunua gari so you can do a test - drive before! You are choosing mwenzio utakaye ishi naye maisha milele - baba/mama wa watoto wako. "Through thick and thin, sadness na furaha, kupanda na kushuka" 
Sasa wee unataka uwe naye wakati wa furaha na mali tu - akifilisika au wakati wa matatizo unataka time out? Weeeee!!! It Doesnt work like that! Ndio maana tunaambiwa tuwajue wanandoa wenzetu kwa undani zaidi before kutamka the vows. A marriage is not made to be broken. Kama mume/mke wako ni muongo, mzini, mwizi, two timer, kikojozi, one minute man - lazma uyajue haya mapema and accept hali halisi au jinsi ya kumsaidia mapema. This is before you go mbele ya Mungu na kadamnasi na kutamka vows kwa moyo wako wote!
The vows is where it all begins baada ya pale there's no going back.
Kama ndo unajiandaa andaa for a wedding au ndo kwanza kwenye uchumba and you have a good feeling kuwa relationship yenu inaelekea pazuri - kamuombe your priest vows kabla - zipitie, zisome, zielewe then ukiona sawa - go ahead and marry that person....
And make sure unazikumbuka kila wakati kama your favourite song and ikiwezekana every anniversary ya wedding yenu mukumbushane hizo vows kwa kuambiana tena..

I'm not married - but huu ndio mtazamo wangu...

contact me - barbshassan@gmail.com au sms 0759 0078500

            
                                         




Have a lovely Nyerere Day kesho and a superb weekend after.
xoxo

8 comments:

  1. Usiogope kuolewa Barbara ha ha ha ha!On a serious note uolewe au uoe kama kuna mapenzi ya kweli otherwise katika shida na raha hazina maana sana.
    MamaT

    ReplyDelete
  2. Kiapo ni ishara tu. Hata bila kiapo watu wangewoana sawasawa! Ila yataka moyo!

    ReplyDelete
  3. Kiapo utakikumbuka saa ngapi, na wewe ukiingia kwenye ndoa mchakamchaka wa kukimbizana na mahawara wanaomzengea mume wako unaanza. Lol maisha ya ndoa hakuna kulala mengi yamejaa stress tu.


    DOSCA

    ReplyDelete
  4. Hahahahaaaah Mdau huo Mchakamchaka ni kabambe! Ukishika huku kachomokea huku. Duuuuh............Makubwa!
    Elmmy

    ReplyDelete
  5. Dentаl chаrt good manners of remaindеr in thе ωay
    eаstern anԁ Westerlу medіcinal drug explainѕ how tаntric massage whole shebang.



    my blog - check out this sensual massage

    ReplyDelete
  6. The hosts file is a popular, cross-platform way of blocking access to certain domains, such as ad-serving websites.
    Apparently, it actually lifts up build up from the root and
    therefore stimulates hair growth. You repeat the exact same procedure
    maybe once or twice every week. All-natural oils
    such as olive, coconut, and avocado oil can be used as wonderful hot oil treatments
    for hair. The herbal solution is said to be a natural one, but,
    this does not necessarily indicate that it is more effective than other
    available procedures.

    Review my web-site; olive oil for hair

    ReplyDelete
  7. It is indeed possible to lower high blood pressure by only taking
    herbal medicines and vitamins and eating certain foods that can lower high blood pressure.
    It needs to be rushed to a medical facility which is capable of handling emergencies.

    Pick out ideal food for our daily lifestyle may be the basis to remedy the root in the yeast.
    They began their musical association in Nashville, TN in 1971, performing
    in local clubs. You must be introduced with a display screen with several alternatives
    one particular of which will be safe mode with networking.



    Feel free to surf to my web site - Chionididae

    ReplyDelete
  8. ingia kwanza ndo uzungumzie kiapo

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text