Social Icons

Pages

Thursday, November 3, 2011

Sjui Nisemeje...

Hello...
Leo i came across a story iliyotokea Russia - ambapo kuna watoto wawili wa kike walizaliwa in the same hospital ila wakabadilishiwa vile vitag vya mkononi. They were switched (sjui kama ni by bad luck au ni kwa kukusudia). Anyway ilipelekea moja ya familia za these girls kwa their parents ku divorce as baba mmoja alimshutumu the wife kuwa she cheated on him coz mtoto alikua hafanani na huyo daddy kabisa!
12 years later imegundulika kuwa wale mabinti walikua switched after birth baada ya kufanya DNA.
Familia hizi mbili zimekua awarded dola laki 1 each kwa usumbufu uliojitokeza. But imajin kumlea a child for 12 years kisha mwishoni unaambiwa sio wa kwako. Imajin baada ya emotional attachment iliopo kati ya these girls and families zilizowalea kisha wanakuja kung'amua kua this is not my mommy or daddy. Imajin one of the families ni wakristu nyingine ni muslims wamelelewa katika dini na maadili tofauti. Hawa mabinti wamesema hawataki kurudishwa kwa their bilogical parents kuwa wako satisfied kuishi na wazazi waliowalea since birth.
Na hizi familia mbili zimeamua kwa kutumia the money waliyopewa watanunua nyumba moja kubwa na kuishi wote ili wawe karibu na their biological children au wanunue houses next to each other ili wawe neighbours.
But nimekaa hapa I'm thinking how many families wanaishi na watoto who are not theirs? How many women wanashutumiwa kuwa wame cheat na kujifungua watoto ambao sio wa baba huyo kumbe walibadilishiwa watoto. Tena at least huko nchi za nje kuna investigators unaweza kufuatilia vitu - hapa kwetu jee? Si ndo usahau? And kwa mfano ikitokea hapa kwetu - will you be awarded anything?
Which reminds me - eti wale wagonjwa ambao walikosewa kufanyiwa operation - wa mguu akapasuliwa kichwa na wa kichwa akapasuliwa mguu - were they or their families awarded with anything na serikali?

Contact me - babo25@gmail.com or sms 0759 008500

Love ya
xoxo

2 comments:

  1. Jamani hii story imenikumbusha mbaaali sana! Mie nilijifungua kwa scissor katika Hospitali fulani ya taifa hapa Tz. Watoto wa siye tunaojifungua kwa visu hupelekwa wodi nyingine, hivyo hamlali nao??!!!Kesho yake unatakiwa mzazi uliyejifungua umfuate mtoto wako ghorofa ya tano ili kumnyonyesha. Mie asubuhi nikashindwa kupandisha , mchana mdada mmoja akaniambia usipoenda utajakuta wenzio wamnyonyesha mwanao. Duuuh nikashtuka, jioni nikaamua kupandisha huko ghorofani, muda ulipofika wa kunyonyesha watoto nikakuta binti fulani kamchukua mtoto wangu anataka kumnyonyesha regardless ya tags tulizopewa. Na for that matter alikuwa anataka ku mregister na kuondoka naye. Jamani nilichachamaa mpaka akaja Sister incharge wa ile wodi, ndipo muafaka ukapatikana. Ila nilijifunza kitu kikubwa saaaana. Mpaka leo nikimtazama mwanangu huwa namshukuru Mungu.
    Mbarikiwe na Bwana!

    Elmmy.

    ReplyDelete
  2. Nilisoma hiyo story na mimi nikawaza saaana. Tuwe waangalifu hasa tunapojifungua kwenye hospitali kubwa zenye kuzalisha watoto wengi kwa siku

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text