Social Icons

Pages

Tuesday, March 20, 2012

Pumu...

                                                

                 

Hello...
Jamani naombeni munisamehe.. nimekua kimya because my daughter anaumwa... Kila wakati hali ya hewa ikiwa haieleweki (hewa ikiwa nzito, mawingu mazito) hua mwanangu anabanwa sana. Nimejaribu dawa tofauti tofauti.. Za hospitali and even za kienyeji.. But hajapata nafuu.. Sometimes inapotea kwa muda, ila ikiibuka inakuwa worse...
Naomba ushauri na usaidizi please...


                             


thank you in advance,
xoxo

3 comments:

  1. Naomba nipigie kwa 0715293029 nikupe maelekezo atapona mtoto kbs me mwanangu kapona.

    ReplyDelete
  2. Pole sana Barbara kwa kuuguza, I know asthma is achronic disease, kutibika kwake ni vigumu but since it is related to allergy, the most important issue is to avoid the allergens na kuwa na inhallers every time,every where, and i would recommend you to use a nebulizer instead, coz it is more efficient! cz ni ngumu sana kujua asthmatic attack itatokea wakati gani na huduma ya kwanza ni hiyo inhaller, pia avoid aminophylline injections mara kwa mara hasa pasipo ushauri wa daktari as this drug has bad side effects. Dawa za kienyeji zaweza kumsaidia mtoto but make sure u have your inhaller my dear!!! as she grows anaweza kubadilika kwa kocope and her immmune system will be more strong by then, wengi inakua hivyo......... wish her good health!!

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text