Social Icons

Pages

Wednesday, September 28, 2011

Why women cheat...


Hello,
Jana kuna movie nilikua naiangalia ni nzee kidogo. Inaitwa "Chaos Theory" - Ndani ya ile movie kuna a guy ameoa na wana mtoto mmoja.. Long story lakini to make it short ilimbidi kwenda hospital to chek kama alikua baba wa another child - sio yule wa kwake. Akakutana na majibu asiyo expect. He found out kua ana matatizo na 'chromosomes' zake ambapo ugonjwa huo ulimsababishia awe mgumba - as in he was shooting blanks all through *not funny* - Yule kaka alichanganyikiwa. Try and put yourself in his shoes... Umekaa miaka yote ukijua mtoto ni wako kisha BOOM!! A bomb explodes in your life. Your wife cheating on you!
Then nikakumbuka ule msemo - "Amjuaye baba mtoto ni mama"
Hii story ilinikumbusha a few years back in Dar Es Salaam - ilitokea kwenye familia moja - kupitia matatizo ya afya ya mtoto mmoja - ilibidi familia imchangie yule mtoto damu - after damu kupimwa ikafahamika kuwa yule mtoto hakuwa wa huyo baba. How many other stories kama hizi zipo around? Nyingine hazitufikii tu.
I personally know a lady kaolewa ana watoto wake - but she's cheating on her husband. Kila siku hua najiuliza why anafanya hivi? And nooo, bado mume wake hajamfumania!
Kwenye blog hii, tunaruhusiwa kurekebishana pale tulipokosea. Kwa leo turekebishane about cheating... But you know what maybe tungeanza kujiuliza - Why do women cheat?
Wanawake wengine tuna cheat and make it sooo obvious kwa husbands/ boyfriends - ni kama tunataka kuwaambia indirectly (I'M CHEATING ON YOU!!!) au sometimes tunanogewa zaidi huko nje!

Je - wanawake tuna cheat because of  the following ? :-

- Upweke - mume labda anakua too busy for you na kazi / biashara/ his friends
- Revenge - Unalipiza kisasi baada ya kumfumania mumeo
- Sexual Satisfaction - Labda hufikishwa pale unapotaka wewe
- No excitement - Kama ile iliyokuwepo wakati mukianza mahusiano
- Kutojaliwa - Unabadilisha hair style, una loose weight lakini baba mtu hata haoni tofauti na wala hasemi kitu
- Kuboreka - Munakua na routine kabisa - home, work, home - hamtoki pamoja
- Kutoonyesha Affection and admiration - labda mwanzoni alikua anakwambia anavyokupenda and maybe alikua anakuonyesha pia - kuleta flowers, vijizawadi (sio hadi asubiri valentines) etc
- Tamaa - Yeah binadamu (wanawake kwa wanaume) wote tuna tamaa - yes ya kimwili!
- Kuwahi - Unahisi kuwa mumeo/ boyfriend will eventually cheat on you kwa hiyo hutaki kuwa yule atakayelia zaidi.

Whatever our reasons za kucheat - badala ya kuweka hiyo energy yote kwa relationship tuliyo nayo, kwa nini tunapoteza that energy in a new affair?
Its just a thought...
Maoni?

P.S - kesho ntafanya compilation ya some things ambavyo vimefanyiwa hao tunao cheat nao na our husbands/ boyfriends...

have a lovely day
xoxo



3 comments:

  1. This is real Barbara...

    ReplyDelete
  2. babra bwana..haya wanawake jibuni sasa...

    mimi mwanaume ngoja nikae kando kwanza....

    babra uliwahi kucheat?..eti sex ya kucheat huwa ni tamu siku zotee atiiii

    cox

    ReplyDelete
  3. To be honest Iam Cheating on my hubby, jamani yeye ndio chanzo cha yote hayo, almost hizo sababu hapo juu anazikamilisha ni chache alizobakisha. Ila kucheat kutamu hamzoeani na huyo mtu kila mkikutana wapyaaaaaaaaaaaaaaa. Topic inaanza upya.
    Kama hujawahi ku cheat usijaribu.

    DOSCA

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text