Social Icons

Pages

Wednesday, September 21, 2011

Responsibilities aka Majukumu..

           
         

Hellow...
Tatizo la internet naona limekua la kitaifa! Duu! heheheh.. How have you been lakini? Mzima kabisa? Missed you too :)
Juzi i got to hang out na my girlfriends - It's been a long time.. Si unajua majukumu yakizidi. Mara huyu is in a new marriage, yule na new relationship, Yule kapata mtoto etc...
We got talking about kuchukua vacations - I know huu sio utamaduni wetu kama watanzania. But dont you think kuna umuhimu wa kujipa vacations? Anyway - this is a topic for siku nyingine.
Tukawa tunapigishana story za safari zetu za sehemu mbalimbali - ikiwa ni kikazi au binafsi - Of course kama mwanamke utafanya kiji shopping kidogo.
Basi topic ndo ikaanzia hapo. When you go shopping - unampa nani kipau mbele? Is it all about you? Me, Myself and I wenyewe wanasema.
Is it wazazi?
Is it husband/ boyfriend?
Au watoto?
For most single ladies walisema hujifanyia shopping ya wao wenyewe - watanunua viatu, handbags, nguooooooo, wigs/weaves nk. And a perfume for mummy - as an after thought. Heheheh
Kwa wanaoanza relationships - Itakua boyfriend this boyfriend that! You buy mazagazaga kibao for your boyfriend and hukumbuki family. Uongo?
For a married woman - Atamnunulia mama mkwe - katika muendelezo wa kujipendekeza! Hahahah! Although some mothers in law are sweet so wana deserve zawadi. But also utakumbuka watoto and hubby. You might forget hata kujinunulia something.
For single parents - Itakua ni watoto tu and your mum ili kumshukuru kwa kukusaidia kukulelea wanao. Heheheh.

At the end of all this - nikagundua kua we do what we do kulingana na majukumu tuliyonayo. I mean why would a single lady bother about other people? Yupo in her own world. And of coz ana haki ya kujiachia.
Anyway swali ni kwako - When you travel ni nani unampa kipau mbele wakati wa kufanya shopping and why?

PS. Picture courtesy of Shutterstock.com

Have a lovely day
xoxo

3 comments:

  1. Niwe mkweli, Shopping yangu kwanza ni mtoto!!kwa sababu yeye ndie furaha yangu pekee hapa duniani........Baba yake huwa anamind vibaya hiyo issue ya kumpa kipaumbele mtoto! Ila nitafanyaje maana siwezi kujizuia..........

    Elmmy

    ReplyDelete
  2. as i single lady ., i come first but i also buy for my immediate family and close friends (if i have enough money)
    at least somethign small for everyone.

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text