Social Icons

Pages

Friday, September 23, 2011

Bar Maids...

Hello,
Last week nilikwambia kuwa nitafanya kaji research kangu kwenye bar tofauti tofauti. Nilifanikiwa na nilichokua nataka to know - nimekiona.
Katika mabar tofauti tofauti jijini Dar Es Salaam ma bar maid wengi (siku hizi) ni warembo sana. And in some bars anayechagua ma bar maids anakua mmiliki wa hiyo bar - anawachagua hasa! Hujawahi kwenda bar ukakuta totoz wa ukweli hadi unamuambia mumeo/boyfriend muondoke? Wanakua na beautiful bodies, faces na wanarembua hatari! Wewe mwanamke ukimsemesha anakujibu kwa hasira, anaposemeshwa na mwanamume anarembua na kujibu tartiibbuuuuu!!! NO honestly ushawahi kukumbana nao? Kwenye ma bar kaa hayo wanaokwenda zaidi ni wanaume. Wakishaanza kulewa wanaanza kuwapapasa. Uongo? Au nimetia thumvi (Chumvi)?
Hebu imagine umekwande bar na mtu wako kisha you meet Bar maid kama huyu hapo!


Hahahahha! Si ndo mwanzo wa kuachika? Salary yote inaishia hapo. Mwanaume anarudi nyummbani saa 9 za usiku!  Juzi nilikua nimekaa na wakaka flani kwenye bar wakawa wanawa admire bar maids wa pale. Wakisema "Daa! hapa kuna watoto matata kweli. Inabidi tuwe tunakuja kuja" NIliwauliza if wanaweza kuwa na relationship na ma bar maid - ukizingatia wanaume wenyewe wote aidha wana wake zao nyumbani au wana madem wa kudumu. Wakanijibu "mara moja moja, why not?"
Nikauliza wanaanzaje anzaje hadi kuwatongoza.Wakasema unaanza kwa kuwapa tip, then unaomba namba kwa kisingizio cha kutoa oda ya food and stuff. Heheheh. Then later unamuita sehemu nyingine kisha Fressshhhh!!!!
So wakati unaperuz through your man's phone (kama una tabia hiyo) ukikata jina - Maryam kuku, Anna mbuzi, Winnie Kitimoto etc etc - jiulize maswali... Chunguza mumeo anapenda kwenda bar ipi, pata kuwafahamu na hao bar maids wa hapo. Labda unaibiwa... Ukute wanavaa hivi..


Utaliaje? Hahahahhahaha...

Its just a thought.. Ila fuatilia...

Love you all and weekend njema
xoxo

7 comments:

 1. mh hapo chacha mbona tutakoma na sie tusiependa mambo ya bar inakauje!?na wamasalon je hujawamention kabisa utamkuta mwanadada anamuosha mtu wako kichwa shurti kumuinamishia maziwa yote usoni,bado hajamsafisha masikio kwa kisingizio cha kutoa sabuni mmmmmmh hapo wanawake kazi ipo...........

  ReplyDelete
 2. kwani kuna hata utaalamu wa kuwatongoza? Wakati wenyewe ndio wanajitongozesha kwa design zote! Siye waenda Bar ndio twayajua yooote! Siku ukienda na huyo hubby Bar ukasikia anakutambulisha kwa nguuuvu kwa hao Bar maids. Huyu ndio mama yenu, kaa chonjo... Ujue hapo una mke/wake wenzio......!Mmmm mie chichemi.
  Elmmy

  ReplyDelete
 3. wanawake wa bar huwa hatutumii nguvu kuwatongoza...wao wenyewe wasipotongozwa wanalia..hahaaaa...mwanamke wa bar ukimuuliza ``unatoka saangapi`` au naomba namba yako au ukimsalia na kumtizama ukatabasamu anajua unamtaka..na wao wanaelewa kuwa hapa naombwa uroda...tofauti ya bar maid na changudoa..bar maid hadai hela kwanza yeye unalala kabisaaa au unakula uroda kabisaa..mwisho ndio unaamua umpe ngapi..hahahaa...

  anyways leo nimepita huku tu kama nimekosea njia kwenye blog ya wanawake..

  luv u babra


  cox hapa

  coxlee13@yahoo.com

  ReplyDelete
 4. haya mambo yapo jamani huku kwenye ma bar ni balaaaa... babra hujakosea yaaani.....

  ReplyDelete
 5. ni kweli barmaids mara nyingi hawatongozwi wao ndo husaka wanaume tena samtyms wanaweza kunyoosheana vidole kwa ajili ya wanaume.Tofauti yao na machangu barmaids hawadai pesa mnaongea kwanza pesa baadae.changu anataka pesa kwanza mengine baadae na pia changu anamlipwa kwa kila tendo.

  ReplyDelete
 6. mie ndio maana sipendi kwenda bar na mume wangu...maana hawa barmaids waboa sana...sasa hivi sio bar tu hata kwenye salon za massage wanagawa uroda...kwahiyo hatakama mtu wako haendi bar...hata salon atapewa uroda tu...hali ni ngumu jamani na hivi wanaume hawajuagi kukataa...akishawishiwa tu inakula kwako...cha kuomba Mungu tu atumie kondom kwenye mambo yake
  Regards
  Winne

  ReplyDelete
 7. Luciana kept at thіs for several minutes be аble to treat
  spаsmed tubes. One of the reasons intimate encountеrs are not е'er fulfilling, born to Kane-hoa-lani and Haumea in Kuaihelani. How just about bergamot, entirely to dead cutis cells and does not disturb live cutis cells. He brought me to such a marvellous relaxation that I Sambhogakaya land, ingress the old physical structure through the Summit of the psyche and abiding at the ticker. As foresightful as the moods are proper, but it is good just when the chanting of mantras is through severally.

  my web page - tantric massage in London

  ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text