Social Icons

Pages

Wednesday, September 14, 2011

Relationships ( part 2 )

                                                   


Hellow,
Hope uko poa.. That day niliandika about Relationships part 1 nilichambwa kidogo, I was told kuchek defination ya neno "Compromise" na nilielewe vizuri.. Nikaambiwa kwa watu wanaopendana lazima wa Compromise each other. Haya nikacheki meaning ya compromise - Kulegeza mkanda au kubadilisha msimamo wako ili kumfurahisha mwenzio..  Kufikia mwafaka ili kila mmoja afurahie au deal lifanyike...  Heheheh.. Duuuu.. Ngumu hiyo! Ila kama kweli unampenda and unamjali uta compromise..
U probably have a boyfriend, fiancee au husband au Man friend! Hivi unajiskiaje wakati wa msimu wa mpira? Iwe ni Serie A, UEFA, World Cup or whatever? Na hata kama muna uwezo wa kutosha ukanunua dish anang'ang'ania kwenda kuangalia at the Bar ili aweze kushangilia na his fellow fans and "kutukana" wakikosa magoli nk. Mechi nyingi especially za UEFA kwa hapa Tanzania hua ni mida ya usiku, other matches zinaisha hadi saa 7 usiku.. Upekweeee... Roho inakuuma, unaanza kuwaza mengine but utafanyaje wakati ndo hivyo the man is a soccer fanatic. Unavumilia tu. Ndo hivyo UEFA Champions League inaendelea, what can you do to keep your man close wakati wa msimu huu wa Soccer? Compromise! Kuna status ya mtu niliona on BBM na Facebook aliandika - Soccer, Wife, Kids in that order.. Imajin!
Sasa kama wanawake ni bora tushike namba the same na hiyo soccer. Cha kufanya :-

- Jipange uweke satellite dish ili asipate reason ya kwenda kuangalia soccer bar.
- Mnunulie his favourite beer au whisky jaza pale home
- Andaa kuku choma au nyama choma
- Tell him aalike a few of his friends waje
- Ukishajua ni timu ipi  anaipenda impress him kwa kuvaa jezi ya timu hiyo au just be neutral na uvae top imeandikwa -  I LUV SOCCER or somthing of the sort






wee hii ni kama mpo wawili tu, kama washkaji zake wanakuja - tafuta kingine cha chini..
- Isiishie hapa, birthday yake - mtafutie something to do with footbal eg A jersey ya his favourite team ambayo imeandikwa jina lake nyuma, towel, an autographed soccer ball ( hii shughuli hadi uipate), a watch etc...
Haya tujaribu ku compromise eeh...
Kuna nilichosahau? Rukhsa kuongezea...

have a lovely day
xoxo

6 comments:

  1. UEFA ikianza my hubby anashabikia sana Chelsea na mie namuunga mkono ila kiujumla hata mechi zingine ataangalia, sasa akiwa amechoka atasema leo siangalii ntalala mapema tu jirani na ninapoishi huwa wanaonyesha hizo mechi basi ikisikia kelele weeeh ataruka kitandani anawahi kuangalia nani kafunga au kufungwa huwa namuonea huruma. Ni shabiki haswa wa mpira wa ulaya.

    DOSCA

    ReplyDelete
  2. Wazungu wana msemo, "A way to a man's heart is through his stomach" ila kwa wengine ni through their sporting teams (me being one of them) jifunze mambo kadhaa kuhusiana na timu yake anayoipenda, timu pinzani.

    ReplyDelete
  3. Most of wanawake wa UK wanafuatilia na wanajua soko simply bcos wanaume wanavutiwa na wanawake wanaofuatilia soka, binafsi sipendi mpira kabisa! but i let him enjoy it with his boiz.. najua i cant compete na siwezi kufuatilia mpira na siwezi kuwa mtumwa kwa ajili ya kumridhisha.. wat i can advice wanawake kama mimi ni kuto compete na mapenzi ya soka ya waume zao,, all you need to do is let him live his life..

    ReplyDelete
  4. My hubby anapenda sana mpira na most men nimenote wanapenda kuangalizia mpira bar or sehemu yenye kelele coz kuna raha yake pia....so of all things when it comes to mpira huwa simwambii akae home I let him akaenjoy huko...mara moja moja akahav fun na friends while watchin football...sometimes i go with him coz na mimi fan japo si sana ila ni outing pia.....

    ReplyDelete
  5. mimi sielewi ni kwanini,nikiwatch mpira with my hubby nakua sifurahii sn ila nikiwa na boyfriend duh naenjoy sa cjui kwa wanaume pia ni hivyo au!

    ReplyDelete
  6. Sρell you cаnnоt beсome a Ηeadmаѕter at tantric mаsѕage from
    а DVD, you surely and thе willingnеss to
    quit worrying if you jаilor thіngs up. Іt feеls gooԁ,
    and to livelihοod the іncreаsed
    use οf assoгted therapies and specifically tantrіc
    mаssagе to help сitizenry with HIV/Aidѕ to lively a
    ρunter аnimation. The mаѕѕage ѕhould include the
    hуperventilаte during the massage as this can crusade numbnеss in the finders or lipѕ.


    My site ... erotic massage London

    ReplyDelete

 

Sample text

Sample Text

Sample Text